Safarini Singida, nikakaribishwa na... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Safarini Singida, nikakaribishwa na...

Discussion in 'Jamii Photos' started by zomba, Dec 1, 2011.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Uncle Zomba, huwachi vituko?
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
 4. driller

  driller JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mh asee hilo jiwe kama naniiiiiliii haaa..!?
   
 5. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  nature mkuu ikitumiwa vizuri ni utalii tosha.....teeeeeeh teeeeeeeeeeh

  2.jpeg
   
 6. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hii kitu nayo iko Singida?
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Mafuriko, ndio fahari ya Tanzania
   

  Attached Files:

 8. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Jamani singida noma muhaya kakimbia kule. Muhaya anakupa kwa elfu kumi kitu yake.but mwanamke wa kisimgida anakupa kwa elfu kumi na kuku nusu bure.. U buy nyau 4 ten taoo u get kuku bonus.. Sasa wewe wachagua nini wahaya wamekimbia kule. singidaaa nii nooooomaaaa!!!!!!!!
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huko ni kwa Mohamed Dewji.
   
 10. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  kaziii yakee molaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hiyo ipo karibu kabisa ya Singida mjini, kuna sehemu inaitwa Puma hilo jiwe haliko mbali na hapo Puma, KM 10 -15 kutoka katikati ya mji wa Singida, barabara kuu ya Dodoma-Singida.
   
 12. che-guavara

  che-guavara Member

  #12
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunamwita mughway.utakaribishwa na wanaume wasopenda maongezi kijinga au umat?¥~ko.
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na wewe 100% ukitembea kuanzia Dodoma mpaka baada ya Singida, ni sehemu ambayo inavutia sana kwa mawe yalivyojipanga yako ya kila aina, kuna ambyo ukiyatazama kwa mbali yanafanana na maumbo tofauti.

  Wizara ya utalii isikazanie tu kuwa Wanyama na Kilimanjaro kubaki kuwa vivutio pekee vya utalii, Tanzania kuna vivutio vingi sana vya utalii wa asili.
   
 14. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Hii tutaiweka katika maajabu 7 ya dunia!
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Msini sahau copy rights jamani.
   
 16. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kabla hujapita hebu jaribu kupanda juu ulikalie na upige picha uipost tujue kwli uko eneo hilo
   
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,544
  Trophy Points: 280
  tafuta tafuta pembeni yake utaona ingine nzuri zaidi.
   
 18. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye avatar yako umekalia nini? ndio unaonesha mfano?
   
 19. Julieth Ms

  Julieth Ms Senior Member

  #19
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hukushtuka ulipo ona?
   
 20. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,456
  Likes Received: 3,702
  Trophy Points: 280
  hayo kwa kinyaturu tunayaita ng'ongo, singida mjini karibu na uwanja wa mpira wa namfua, kuna haya mang'ongo kibao basi kama kuna mechi na iinahitaji viingilio basi juu ya mawe haya watazamaji ni wengi kuliko ndani ya uwanja, teh teh, wakisubiria fungulia mbwa, singida nimepamiss sana wakuu,
   
Loading...