Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,502
- 7,201
Baada ya kukaa mwezi mzima amerudi leo wadau huwa mnawqpokeaje wapenzi wenu wakirudi toka safarini?
Mlete kwangu.Baada ya kukaa mwezi mzima amerudi leo wadau huwa mnawqpokeaje wapenzi wenu wakirudi toka safarini?
HaaaaaahMlete kwangu.
Ndiyo kaka kila sikuMlikua mnawasiliana?
Ila nataka nimpime HCG positiveMlikua mnawasiliana?
Usisahau kinga (condom)Baada ya kukaa mwezi mzima amerudi leo
Nataka nimpime mimba kabla ya yote bado trust nobodyKwanza uhalali wa safari, alikuaga?
Kama alikuaga ulijihakikishia 100% kwamba anaenda sehemu alokwambia ?
Kama ameenda huko basi
Andaa ka zawadi kadogo tu kulingana na uwezo wako! Alafu jiandae na mechi
Nikukumbushe.Baada ya kukaa mwezi mzima amerudi leo wadau huwa mnawqpokeaje wapenzi wenu wakirudi toka safarini?
Hayaee Hance fuatilia nyuzi zangu utaelewaNikukumbushe.
Hapa sio Facebook.
Kweli aende maana sredi za kitoto zinamtesa! Sijui kama PCM ataiweza.Afadhari bado siku 3 shule zifungue
Atalia kuliko ambulance😂😂😂View attachment 3622393Angalia kwenye pochi kama hana hilo kopo.