Safarini Singida, nikakaribishwa na...

hayo kwa kinyaturu tunayaita ng'ongo, singida mjini karibu na uwanja wa mpira wa namfua, kuna haya mang'ongo kibao basi kama kuna mechi na iinahitaji viingilio basi juu ya mawe haya watazamaji ni wengi kuliko ndani ya uwanja, teh teh, wakisubiria fungulia mbwa, singida nimepamiss sana wakuu,

Hilo kwenye picha linaonesha ndio baba la ma ng'ongo yote.
 
Watu samtimes tunachoka. tehetehetehete nimefurahi kwa kweli, muda si mrefu watu wataaanza kutalii hapo
 
Hapa hata wenyeji hawajui kama kuna kitu cha ajabu kama hichi,wanajua labda majabali tu!!!!!
 
Kuna nchi wanaabudu hiyo kitu, tukiwafanyia kampeni watakuja kuabdu hiyo.
 
Back
Top Bottom