Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,455
Lala white mark hapo ubungo nhc. Bei ni affordable
Mbagala utalii wa hewa safi?! Hewa safi ina muonekano gani, ielezee vizuri inaweza kuingia kwenye list ya maajabu ya dunia watalii wakamiminika.
kuna sehemu inaitwa half london pale ubungo maziwa karibu na ubungo terminal kwa mguu ni dakika 10 tu.Wana MMU, hasa wa Dar na Dom. Ninasafari ya Dar, Naombeni kujua hotel/lodge nzuri jirani na Stendi ya mabasi ya mikoani. Iwe ya bei ya wastani kama shilingi 20,000 hadi 30,000 kwa siku. Iwe jirani na chakula kinapopatikana na pia isiwe vichochoroni.
Pia Lodge yenye sifa hizo hizo kwa Dodoma.
Msaada wenu, marafiki
Hapa huku hakuna roba kabisaMsipigwe roba tu...hahaha
Mkuu mimi ni mzawa wa Dar, nimeshindwa kumuelewa Mshana Jr ni Manzese ipi hiyo nisiyoijuwa mimi mpaka uniconvice kwenda?
Upo sahihi kabisaKumbe ndio maana...Manzese ya 2006 ndio sinza ya leo [emoji23] [emoji23] [emoji23] trust me fanya ziara ya kushtukiza siku moja hutajuta
The Boss Unazungumzia moshi hotel na kutoa hukumu ya jumla? Kweli kabisa? Napingana nawe pls fanya ziara ya chache nilizotaja uone....actions speak louder than wordsManzese siku zote ni low class....Hiyo Lunch time ni kelele za nje tele na vyumba vidoogo hata kusimama tu shida
achilia mbali maji
Kuna hoteli Manzese iko barabarani yu inaitwa Moshi Hotel
usijaribu...hoteli ya ghorofa lakini maji tu hakuna
nna ndugu yangu tulikuwa tunamtafutia hotel ya kukaa karibu na stendi
mwisho tulienda MIC .....hapo Moshi hotel aliacha na hela hapo hapo
hakuwa na jinsi...alilipa kabla hajapanda juu kutazama vyumba
lunch time kelele mtindo mmoja no space...
MIC hotel for now naona ndo best hotel kwa wanaootaka kusafiri hapo Ubungo
Sinza Dar nzima inakupa options za hotel kuliko sehemu nyingi..
Manzese siku zote ni low class....Hiyo Lunch time ni kelele za nje tele na vyumba vidoogo hata kusimama tu shida
achilia mbali maji
Kuna hoteli Manzese iko barabarani yu inaitwa Moshi Hotel
usijaribu...hoteli ya ghorofa lakini maji tu hakuna
nna ndugu yangu tulikuwa tunamtafutia hotel ya kukaa karibu na stendi
mwisho tulienda MIC .....hapo Moshi hotel aliacha na hela hapo hapo
hakuwa na jinsi...alilipa kabla hajapanda juu kutazama vyumba
lunch time kelele mtindo mmoja no space...
MIC hotel for now naona ndo best hotel kwa wanaootaka kusafiri hapo Ubungo
Sinza Dar nzima inakupa options za hotel kuliko sehemu nyingi..
The Boss Unazungumzia moshi hotel na kutoa hukumu ya jumla? Kweli kabisa? Napingana nawe pls fanya ziara ya chache nilizotaja uone....actions speak louder than words
Eraldo Natron, JM ,Silver Sawe mahanju, list ni ndefu ila hizo ulizotaja mimi hata bure silalimie naomba unitajie majina ya hizo hotel nitaenda...
lakini kwa Lunch time na Moshi hotel ni zero kabisa....
Niliwahi kufikiria kuanzisha thread ya mahotel na guest na restaurants na bar
watu wazi rate huduma zao....unaweza saidia pia....tukiwa na thread yenye mrejesho
labda owners watabadilika na huduma zitakuwa bora baadae...
hotel na guest houses nyingi Dar hazina viwango
na uongo ni mwingi ...wanatangaza full DSTV ndani unakuta channel mbili 2...
Vyakula ovyo kwenye restaurants zao.....
wahudumu jeuri....na mengi tu
Eraldo Natron, JM ,Silver Sawe mahanju, list ni ndefu ila hizo ulizotaja mimi hata bure silali
Mimi sio mpenzi wa dstv kwahiyo hili siwezi kujibuZitaje zote tu ili wanaozijua waseme
nakuuliza maswali ya hizo ulizotaja uniasaidie...
Ipi yenye Dstv?
vyumba rates zao ikoje?
vyakula menu yao rates ikoje?
security ikoje?
Wakinga wana hotel ngapi hapa Dar niwapongeze hawa watani zangu.NENDA MANZESE NDO KILA KITU KWASASA HAPA DAR ES SALAAM WAKINGA WAMEJENGA MAHOTELI YA KUFA MTU TENA JIRANI ROADS KWA BEI HIYO TAJWA
...tulia dawa iingie, mrembo mwenyewe katulia shemeji keleleeee kibaaao.....Acha kijitowa akili, soma thread uelewe content.
kama ni ile inaitwa Kibadamo Hotelkaribu kabisa na stendi ya ubungo kuna hoteli ya 30,000/= na ni ya kiwango kizuri. nafikiri inaitwa kidamo hotel. ukiwa ubungo bus stand unaiona.
YamekaukaAjiandae pia kuruka madimbwi ya majimachafu
Hapa ni kijiweni tosha.Hii thread imenifurahisha sana ni kama wachangiaji wapo kijiweni.