Kwanini asikupitie umsaidie kumpeleka pale mkuuUkishuka chukua tax hadi mabibo hostel mwambie tax driver akuonyeshe hotel inaitwa "lunch time"
Vyumba kuanzia 30,000 ni mahari safi na tulivu kiasi.
Karibu mjini.
Ndio ni mwenyeji mitaa hiyo?Mazingira tip top mbona ?????mkuuu
[emoji1] [emoji1] [emoji23]Nilishalala hapo lunch time baada ya kushawishiwa na ile mitaa taa na majengo huwezi amini nililipia 35000 alafu Maji naletewa na ndoo. Daah pale hapana aise
Tip tipo kweli vilodge vipo vingi lakini mazingira sio mazuri mkuuNdio ni mwenyeji mitaa hiyo?
Golden Palm hotel tsh 20,000 tu..ukishuka stendi ya mkoa unavuka barabara unafuata road ya ubungo maziwa mbele kama kilometa 1 tu utaikuta...ni ya gorofa ina rangi nyeupe...ipo njiani kabisa.Wana MMU, hasa wa Dar na Dom. Ninasafari ya Dar, Naombeni kujua hotel/lodge nzuri jirani na Stendi ya mabasi ya mikoani. Iwe ya bei ya wastani kama shilingi 20,000 hadi 30,000 kwa siku. Iwe jirani na chakula kinapopatikana na pia isiwe vichochoroni.
Pia Lodge yenye sifa hizo hizo kwa Dodoma.
Msaada wenu, marafiki
Kwa warembo ni chakula tosha kabisa, ila majita tunasogea pale B bar unagonga mdudu kwa ugali dona.chips nazo chakula?
Wana MMU, hasa wa Dar na Dom. Ninasafari ya Dar, Naombeni kujua hotel/lodge nzuri jirani na Stendi ya mabasi ya mikoani. Iwe ya bei ya wastani kama shilingi 20,000 hadi 30,000 kwa siku. Iwe jirani na chakula kinapopatikana na pia isiwe vichochoroni.
Pia Lodge yenye sifa hizo hizo kwa Dodoma.
Karibu na stand ya mabasi ya mkoa tafuta maeneo ya Sinza. Bajeti ongeza kidogo 30000-40000
Msaada wenu, marafiki
Mkuu mimi ni mzawa wa Dar, nimeshindwa kumuelewa Mshana Jr ni Manzese ipi hiyo nisiyoijuwa mimi mpaka uniconvice kwenda?Tip tipo kweli vilodge vipo vingi lakini mazingira sio mazuri mkuu
Sio sawa na sinza lakini hasa barabaraTip tipo kweli vilodge vipo vingi lakini mazingira sio mazuri mkuu
Usidanganywe, nenda kibadamo hotel ni sh 25000 kwa siku na pembeni yake kuna sehemu ya kula inaitwa pazuri garden ipo mbele ya kibadamo. Ni ghorofa lipo nyuma ya standa ya mkoa barabara ya MIC hotel mbele yake kidogo then kushoto. Achana na sinza sinza ni mbali. Ukienda MIC hotel andaa 35000Wana MMU, hasa wa Dar na Dom. Ninasafari ya Dar, Naombeni kujua hotel/lodge nzuri jirani na Stendi ya mabasi ya mikoani. Iwe ya bei ya wastani kama shilingi 20,000 hadi 30,000 kwa siku. Iwe jirani na chakula kinapopatikana na pia isiwe vichochoroni.
Pia Lodge yenye sifa hizo hizo kwa Dodoma.
Msaada wenu, marafiki
Ajiandae pia kuruka madimbwi ya majimachafuUsidanganywe, nenda kibadamo hotel ni sh 25000 kwa siku na pembeni yake kuna sehemu ya kula inaitwa pazuri garden ipo mbele ya kibadamo. Ni ghorofa lipo nyuma ya standa ya mkoa barabara ya MIC hotel mbele yake kidogo then kushoto. Achana na sinza sinza ni mbali. Ukienda MIC hotel andaa 35000
Kwa sinza ni pazuri kweli lakini ni mbali kidogo na ubungo, kwani yeye anataka karibu na stand.Sio sawa na sinza lakini hasa barabara
Ndio maana nikakuomba ufanye ziara kwa gharama zanguMkuu mimi ni mzawa wa Dar, nimeshindwa kumuelewa Mshana Jr ni Manzese ipi hiyo nisiyoijuwa mimi mpaka uniconvice kwenda?
Kwa warembo ni chakula tosha kabisa, ila majita tunasogea pale B bar unagonga mdudu kwa ugali dona.
Karibu na stand ina tafsiri pana kwakuwa hajataja umbali halisiKwa sinza ni pazuri kweli lakini ni mbali kidogo na ubungo, kwani yeye anataka karibu na stand.
Hapo sasa????Karibu na stand ina tafsiri pana kwakuwa hajataja umbali halisi
Hii kitu inaitwa half lost, haina mchuzi selwa au sotojo.
Mkuu hayo madimbwi ni hadi kipindi cha mvua, sasa hivi hakuna. Mi naishi mitaa hiyo.Ajiandae pia kuruka madimbwi ya majimachafu