Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,746
- 861,153
Hizo zipo Tip top sio manzeseLakini manzese vibaka na kelele ni nyingi aisee
Hizo zipo Tip top sio manzeseLakini manzese vibaka na kelele ni nyingi aisee
Hivi tip top sio manzese kumbe? Gharama zake zikoje? Maana kwa awamu hii ya Magu New Africa tumeikimbiaHizo zipo Tip top sio manzese
From: Dar To: DarUNATOKA MKOA GANI? MBONA UMELIWA PESA YAKO KWA BEI HIYO
Kwa Dar sehemu jirani na stendi ya ubungo ni Sinza, Sinza kuna hotel kibao good quality ila bajeti weka kuanzia 40,000/=
Sinza kijiweni kuna Golden park na pacha yake iko jirani nimeisahau jina.
Hiyo 20,000/= au 30,000/= waweza ishia nyumba za ngono tu ambazo ni maalum kwa watu kulana mauloda.
Hotel zina raha na status yake, si kila anayelala hotel yupo kwenye malengo ya ngono na ndio maana hazina short time.
Mimi nimekoma kulala kwenye Guest house maana yale mashuka yananukia janaba muda wote tena waweza jitia nuksi tu.

Nitajie basi majina nikaombe ajira huko naisoma number mjini hapa.WAKINGA WAMEIBADILISHA MANZESE HOTEL HADI ZINA LIFT NI HATAREE MKUU
ef30 gorofani au first floor???Hapo hapo Ubungo kuna hotel nyingi Kibadamo, Mic na Kagame!!
Zote nishalala, Kibadamo imechakaa kwa sasa na hawafanyii ukarabati miundo mbinu yao!! Mfano kukuta mabomba yanavuja bafuni, ac na feni hazifanyi kazi.
Mic ni pazuri saana mie nililala floor ya sita nikawa peke yangu floor nzimaa!! Nikapunguza bei ili nilale floor za chini zikawa hazina utulivu sana!! Japo kuna kadada kamoja reception kana nyodo sana
Kagame nilipapenda saaana!! Ni kama mpya hii hotel. Vyumba kuanzia 25,000/ ila cha 30,000 hutakijutia mtu wangu. Wakarimu na waelewa sana hata kama unashida unaongea nao fresh tu.
oppa pabayaaHaina haja ya kwenda mbaaaali......hapo Ubungo kuna kibadamo hotel, au Ubungo maziwa kuna Oppa hotel, au MIC hotel au Golden Palm Uchukui hata Tax....kwa Dodoma Cairo Lodge n.k
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mkuu awali uliniambia sio manzese ni TIP TOP ndo nami nikauliza kama Tip Top si manzese...
HA HA POLE MKUU WW KAMA UNATAKA KAZI NITAKUELEKEZA SEHEMU HIZO NA HAPA NINAPOKAA MAGOMENI KUNA HOTELI MPYA ITAFUNGULIWA KWENYE WA MWEZI WA 10 NI NZURI HATARI INA LIFT NJE NA NDANI,KUMBI 3 ZA MIKUTANO,GYM,PARKING YA CHINI KWA CHINI,MAJI BARIDI YAKUOGA NK NJOO UTEST BAHATI YAKO MKUUNitajie basi majina nikaombe ajira huko naisoma number mjini hapa.
Mkuu njoo savana tupige kongoroHivi ubungo sio kinondoni? Tafakari lusungo
Gharama ni fair
Aiyaaa nilikuwa Kingstone muda c mrefuMkuu njoo savana tupige kongoro
Cku nyingine mkuu, tuombe uzimaAiyaaa nilikuwa Kingstone muda c mrefu
Kabisa aiseeCku nyingine mkuu, tuombe uzima
Kuwa makini na maelekezo ya hapa, usiyape uhakika wa asilimia 100-ujiongeze!Asante sana