Safarini Dar: Msaada wa hoteli nzuri bei ya wastani

Safarini Dar: Msaada wa hoteli nzuri bei ya wastani

Karibu na stendi nina maana, mahali ambapo itanichukua si zaidi ya dakika kumi kuweza kufika stendi nikitumia daladala.

Na kama ni kwa mguu, basi iwe ni dakika chache tu (Yaani, niwe na uwezo hata wa kuiona stendi)


Okay! MIC hotel au Kagame hotel, zipo mkabala na stand ya ubungo.

Lini unafika Dar nije kukupokea.


Kwa Dodoma kalale Kemmy Lodge ipo area C/D taxi ni 3000 kutokea stand
 
Miruzi mingi humpoteza mbwa.

Mtoa mada naona kimya, anashangaashangaa tu wanadareslam wanavyotifuana kumpokea dar

Naona keshapoteza confidence kabisa ya maisha ndani ya dar

Mara maji,Mara chakula, Mara vibaka n.k.
 
Nilishalala hapo lunch time baada ya kushawishiwa na ile mitaa taa na majengo huwezi amini nililipia 35000 alafu Maji naletewa na ndoo. Daah pale hapana aise
Lunch time imechoka balaa! Bei ni 30 wakati hadhi yake tuiweke kama za 10,000 hairidhishi kabisa
 
Miruzi mingi humpoteza mbwa.

Mtoa mada naona kimya, anashangaashangaa tu wanadareslam wanavyotifuana kumpokea dar

Naona keshapoteza confidence kabisa ya maisha ndani ya dar

Mara maji,Mara chakula, Mara vibaka n.k.


Mpaka dakika hii mgeni anaona blue blue tu. Haelewi ashike lipi.

Wenyeji nao wameonesha ukarimu wa hali ya juu, wengine wamejitolea mpaka kwenda kumpokea stendi. Nahisi hiyo profile picha ya mgeni inawashika masikio wenyeji. Ngoja waende kukutana na uhalisia wa 'ndivyo sivyo' kisha waanze kuzuga na kupoteana.

-Kaveli-
 
Dada wewe ukishuka hapo Ubungo chukua bajaj nenda zako Lunch Time iko jirani na Mabibo Hostel.

vyumba bei inaanzia elf 25.

sio Uchochoroni na chakula kipo tu kizuri,
 
Hahhahahaaaa ngoja tusibishane bure tafuta siku nikuchukue ziara
Serious speaking mambo yanapinduka siku hizi huku kunakuwa kule na kule kunakuwa huku
Hizi zote nilizotaja ziko pembeni ya morogoro Rd na zinafikika kwa urahisi sana lakini hebu niambie kule Sinza mfano ukitaka kwenda Namnani
Manzese inakuja Juu
 
Miruzi mingi humpoteza mbwa.

Mtoa mada naona kimya, anashangaashangaa tu wanadareslam wanavyotifuana kumpokea dar

Naona keshapoteza confidence kabisa ya maisha ndani ya dar

Mara maji,Mara chakula, Mara vibaka n.k.
Hahahaha
 
GHETTO KWANGU Hotel Lodge And Accomodation Services..
Bureee Kabisa!
Karibu
 
Matola hapana umeshafika JM hotel? Eraldo Natron je? Silver? Mahanju Inn? Nk nk hizi zote zipo Tiptop ni nzuri zina viwango na bei imepoa
Uzuri wa JM HOTEL unapata usafiri was alfajiri kwenda ubungo bure kama utachagua kusafiri kwa mabasi.
 
Golden Palm hotel tsh 20,000 tu..ukishuka stendi ya mkoa unavuka barabara unafuata road ya ubungo maziwa mbele kama kilometa 1 tu utaikuta...ni ya gorofa ina rangi nyeupe...ipo njiani kabisa.
Hii ni 50,000/ kuendelea.
 
Beauty Eva, usihangaike Mkuu. Kwa hotel nzuri ambazo zipo karibu zaidi na Ubungo Stand, yaani kutembea kwa mguu dakika 8, ni MIC HOTEL au KIBADAMO HOTEL.

MIC hotel, vyumba vipo vya kuanzia Tsh 35,000 kwa siku.

KIBADAMO hotel, vyumba vipo kuanzia Tsh 25,000 kwa siku. Restaurant nzuri ya kula ipo jirani tu hapo inaitwa Pazuri Garden. Pia waweza amua kunyoosha miguu na kwenda kula sehemu zingine za jirani hapo.

Hizo hotel zipo karibu kabisa na Ubungo Bus Terminal. Ukipata vyumba vya juu ghorofani, stand unaiona ileee. Ni friendly zaidi kwa mgeni mwenye mishe zake downtown, coz dakika 8 tu unafika road na stendi ya daladala ipo hapo hapo, mwendo-kasi pia unapandia/unashukia hapo hapo.

Ukishuka Stand, wala usipate tabu, njoo nje ya stand pale getini utaona Taxi na bodaboda nyingi tu, kwa Taxi bei haizidi Tsh 3,00 kwenda pale.

Kama umefika mapema (sio usiku), basi ulizia tu uende kwa mguu, dakika 8 maximum kufika. Ila angalia na mtu wa kumuuliza, sio unamuuliza teja mpiga debe eti MIC hotel iko wapi, ataona fursa hii then utakaribishwa DarSlum kwa kusomeshwa namba za kirumi.

Kwa vile ni mgeni, to be on safe side chukua tu taxi, bei haizidi sh. elfu 3. Au bajaji or bodaboda sh elfu moja tu.

Mic na Kibadamo zipo jirani. Inaanza Mic, then kwa mbele zaidi ni Kibadamo.

Wish you an enjoyable stay in DarSlum jiji la Makonda. Take maximum care and be risk-conscious.

Endapo utaamua kufanya utalii wa ndani ya jiji, usiishie kwenda kucheck mnara wa askari tu, au daraja la kigamboni tu, bali karibu pia huku kwetu Mbagala kwenye hewa safi.

-Kaveli-

Mbagala utalii wa hewa safi?! Hewa safi ina muonekano gani, ielezee vizuri inaweza kuingia kwenye list ya maajabu ya dunia watalii wakamiminika.
 
Usidanganywe, nenda kibadamo hotel ni sh 25000 kwa siku na pembeni yake kuna sehemu ya kula inaitwa pazuri garden ipo mbele ya kibadamo. Ni ghorofa lipo nyuma ya standa ya mkoa barabara ya MIC hotel mbele yake kidogo then kushoto. Achana na sinza sinza ni mbali. Ukienda MIC hotel andaa 35000
Kibadamo imechakaa kwa sasa!! Kuna hotel mbele ya Kibadamo inaitwa Kagame chumba ya 30,000 na huduma zao huwezi kujutia
 
Sharon hotel na Kagame hotel zipo karibu na stand mwendo wa dk4 tu on foot
 
Karibu na stendi nina maana, mahali ambapo itanichukua si zaidi ya dakika kumi kuweza kufika stendi nikitumia daladala.

Na kama ni kwa mguu, basi iwe ni dakika chache tu (Yaani, niwe na uwezo hata wa kuiona stendi)
Hapo hapo Ubungo kuna hotel nyingi Kibadamo, Mic na Kagame!!

Zote nishalala, Kibadamo imechakaa kwa sasa na hawafanyii ukarabati miundo mbinu yao!! Mfano kukuta mabomba yanavuja bafuni, ac na feni hazifanyi kazi.

Mic ni pazuri saana mie nililala floor ya sita nikawa peke yangu floor nzimaa!! Nikapunguza bei ili nilale floor za chini zikawa hazina utulivu sana!! Japo kuna kadada kamoja reception kana nyodo sana

Kagame nilipapenda saaana!! Ni kama mpya hii hotel. Vyumba kuanzia 25,000/ ila cha 30,000 hutakijutia mtu wangu. Wakarimu na waelewa sana hata kama unashida unaongea nao fresh tu.
 
Back
Top Bottom