Safarini Dar: Msaada wa hoteli nzuri bei ya wastani

Safarini Dar: Msaada wa hoteli nzuri bei ya wastani

Wana MMU, hasa wa Dar na Dom. Ninasafari ya Dar, Naombeni kujua hotel/lodge nzuri jirani na Stendi ya mabasi ya mikoani. Iwe ya bei ya wastani kama shilingi 20,000 hadi 30,000 kwa siku. Iwe jirani na chakula kinapopatikana na pia isiwe vichochoroni.

Pia Lodge yenye sifa hizo hizo kwa Dodoma.

Msaada wenu, marafiki
ukitelemka mtafute bajaji mtanashati kila kitu kitakaa sawa
 
Back
Top Bottom