Safarini Dar: Msaada wa hoteli nzuri bei ya wastani

Beauty Eva

Senior Member
Jul 22, 2016
131
374
Wana MMU, hasa wa Dar na Dom. Ninasafari ya Dar, Naombeni kujua hotel/lodge nzuri jirani na Stendi ya mabasi ya mikoani. Iwe ya bei ya wastani kama shilingi 20,000 hadi 30,000 kwa siku. Iwe jirani na chakula kinapopatikana na pia isiwe vichochoroni.

Pia Lodge yenye sifa hizo hizo kwa Dodoma.

Msaada wenu, marafiki
 
Kwa Dar sehemu jirani na stendi ya ubungo ni Sinza, Sinza kuna hotel kibao good quality ila bajeti weka kuanzia 40,000/=
Sinza kijiweni kuna Golden park na pacha yake iko jirani nimeisahau jina.

Hiyo 20,000/= au 30,000/= waweza ishia nyumba za ngono tu ambazo ni maalum kwa watu kulana mauloda.

Hotel zina raha na status yake, si kila anayelala hotel yupo kwenye malengo ya ngono na ndio maana hazina short time.

Mimi nimekoma kulala kwenye Guest house maana yale mashuka yananukia janaba muda wote tena waweza jitia nuksi tu.
 
N:b, ukilala hotel mara nyingi pesa unayolipa ni for bed and breakfast, kwa sababu hizi hotel ndogo breakfast yao siyo ile ya bufee kama hotel kubwa restaurants ziko wazi muda wote na kama ni kubwa unaweza kula nje ya hotel visehemu vya msosi kwa Sinza ni kila baada ya hatua kumi tu.

Karibu sana Dar, tena Sinza ya leo utaifurahia utulivu ni wakutosha kabisa baba Magufuli amenyoosha watu sasa hakuna mbwembwe mahotelini.
 
Matola hapana umeshafika JM hotel? Eraldo Natron je? Silver? Mahanju Inn? Nk nk hizi zote zipo Tiptop ni nzuri zina viwango na bei imepoa
 
Mkuu samahani kama nitakukwaza mimi naishi uswahilini lakini ukishanitajia tu Manzese au Tandale kwakweli mimi hapana.

Sinza ina ustaarabu wake mkuu, ndio maana hizo hotel ni nzuri lakini haziwezi kuwika kwa sababu ya location zilipojengwa.

Sinza itabaki kuwa Sinza tu.
 
Hahhahahaaaa ngoja tusibishane bure tafuta siku nikuchukue ziara
Serious speaking mambo yanapinduka siku hizi huku kunakuwa kule na kule kunakuwa huku
Hizi zote nilizotaja ziko pembeni ya morogoro Rd na zinafikika kwa urahisi sana lakini hebu niambie kule Sinza mfano ukitaka kwenda Namnani
 
Ukishuka chukua tax hadi mabibo hostel mwambie tax driver akuonyeshe hotel inaitwa "lunch time"

Vyumba kuanzia 30,000 ni mahari safi na tulivu kiasi.

Karibu mjini.
sumbai labda iwe imebadili management manake majanga ya pale wee acha tu
 
Hahhahahaaaa ngoja tusibishane bure tafuta siku nikuchukue ziara
Serious speaking mambo yanapinduka siku hizi huku kunakuwa kule na kule kunakuwa huku
Hizi zote nilizotaja ziko pembeni ya morogoro Rd na zinafikika kwa urahisi sana lakini hebu niambie kule Sinza mfano ukitaka kwenda Namnani
Mkuu usitumie nguvu nyingi, ni vigumu kuniconvice mimi kuhusu kwenda Manzese, nina miaka zaidi ya 10 mguu wangu haujakanyaga ardhi ya Manzese huwa napita tu hapo nikiwa ndani ya mkweche wangu.

Kwanza naichukia zaidi Manzese ya sasa tangu wajenge hizi barabara za mwendo kasi hakuna u turn, barabara siyo rafiki mpaka uende mwendo mrefu ndio upate option ya kurudi nyuma.
 
Ukishuka chukua tax hadi mabibo hostel mwambie tax driver akuonyeshe hotel inaitwa "lunch time"

Vyumba kuanzia 30,000 ni mahari safi na tulivu kiasi.

Karibu mjini.
Kwa huduma ya chakula kwa gharama murua utajongea kwa mama kifusi au kwa mama ndumbi wanapatikana karibu na hiyo hotel
 
Mkuu usitumie nguvu nyingi, ni vigumu kuniconvice mimi kuhusu kwenda Manzese, nina miaka zaidi ya 10 mguu wangu haujakanyaga ardhi ya Manzese huwa napita tu hapo nikiwa ndani ya mkweche wangu.

Kwanza naichukia zaidi Manzese ya sasa tangu wajenge hizi barabara za mwendo kasi hakuna u turn, barabara siyo rafiki mpaka uende mwendo mrefu ndio upate option ya kurudi nyuma.
Kumbe ndio maana...Manzese ya 2006 ndio sinza ya leo trust me fanya ziara ya kushtukiza siku moja hutajuta
 
Mimi nadhani nimeathiriwa na tabia nchi, nitakwenda kinondoni lakini siyo Manzese, huu ndio ukweli wangu.

Mimi hata Magomeni nimeanza kwenda juzijuzi tu baada mchizi wangu mmoja kupata mjengo wa bei nafuu pande hizo.

Unaweza usinielewe, hata kariakoo mimi ndio tofauti kabisa siku nikipita kariakoo basi kuna kitu muhimu sana siwezi kukipata sehemu nyingine zaidi ya Kariakoo.
 
N:b, ukilala hotel mara nyingi pesa unayolipa ni for bed and breakfast, kwa sababu hizi hotel ndogo breakfast yao siyo ile ya bufee kama hotel kubwa restaurants ziko wazi muda wote na kama ni kubwa unaweza kula nje ya hotel visehemu vya msosi kwa Sinza ni kila baada ya hatua kumi tu.

Karibu sana Dar, tena Sinza ya leo utaifurahia utulivu ni wakutosha kabisa baba Magufuli amenyoosha watu sasa hakuna mbwembwe mahotelini.
chips nazo chakula?
 
Back
Top Bottom