Safarini Dar: Msaada wa hoteli nzuri bei ya wastani

Safarini Dar: Msaada wa hoteli nzuri bei ya wastani

KAGAME HOTEL Nyuma ya UBungo mkoa
wako vizuri kwa kweli as far as their price rates are concerned.
By then nimelala hapo ilikuwa kuanzia elfu 25, elfu 30 nafikiri na 35.
Hicho cha 25 ukilala hauta REgret at all kuwapo hapo. Chumba kizuri, AC,choo na bafu safi. Wafanyakazi wakarimu pia


KIBADAMO ..(IF I have spelled right)
Nayo iko nyuma ya ubungo Mkoa. Unaipita kwanza hii ndo unaelekea Kagame.
Hii ilianza vizuri sana hapo mwanzo. Kipindi hicho walikuwa wanaanzia 25 elfu... lakini kilikuwa very classic. AC, Tv with DSTV, choo na bafu smart.
Si nikapotea njia juzi nikarudi tena with expectations mambo ni murua vilevile. Kwanza wakaniambia chumba vinaanzia 35elfu mpaka elfu 45. Nikahisi kutakuwa na mambo mazuri zaidi. Si nikalipia.....OMG!! I was much dis appointed. Hawa jamaa ni wahuni. Wenzao wanaongeza bei ya huduma coz kuna positive improvements...Bafuni hovyo, TV channel mbili tu ndo zinashika, hakuna AC. For really ...I was much dis appointed.
SI mshauri mtu aende pale..labda kama kwengine kote with that line kutakuwa kumejaaa.


LUNCH TIME HOTEL. opposite na njia ya kuingilia Mabibo Hostel.
UKIIangalia kwa nje unaweza ukasema hapa ndo penyewe. I can darely speak kuwa hapo ndo the worst than all above.
Na kero inayoudhi kubwa zaidi ni ya maji. Either utakuta mabomba ya chooni yanavuja uncontrollablY...au Ukiwa lucky basi utapewa maji kwenye ndoo ndio uoge. TV channel moja etc.
BEI NI SH 25 elfu mpaka elfu 40. Lakini hicho cha elfu 25 you better go huko Uswahilini ulale vya elfu 7 labda utakuwa much comfortable

Kwa upande wa KSf'S (KEY SUCCESS FACTORS) au strengths.. HUYU hotel owner anayoendelea kuitegemea imletee wateja
MOJA iko barabarani
MBILI ni ya Ghorofa
ukibahatika kupata floor kuanzia ya nne kuendelea unapata view ya maeneo mengi ya jirani vizuri.

HAYA MTOA MADA NA WENGINEO WANAOKUJA DAR HUSUSANI MAENEO HAYA TAJWA KAZI KWENU.
 
Akikosa kabisa pa kwenda basi aende Club de Barcelona pale atamkuta Nifah.

Atampa hifadhi ya muda.
 
Eraldo Natron, JM ,Silver Sawe mahanju, list ni ndefu ila hizo ulizotaja mimi hata bure silali
ACHANA NAO HAO HAWAJAFIKA MANZESE KUONA WAKINGA WANAVYOFANYA MAAJABU HADI LIFT ZA NJE NDANI SIYO KITOTO MANZESE KUNA HOTEL ZA QUALITY ZA AINA ZOTE KULINGANA NA MFUKO WAKO TU
 
Usidanganywe, nenda kibadamo hotel ni sh 25000 kwa siku na pembeni yake kuna sehemu ya kula inaitwa pazuri garden ipo mbele ya kibadamo. Ni ghorofa lipo nyuma ya standa ya mkoa barabara ya MIC hotel mbele yake kidogo then kushoto. Achana na sinza sinza ni mbali. Ukienda MIC hotel andaa 35000
Mic Hotel room zinaanzia elf 40 nilikua huko juzi
 
Kwa Dar sehemu jirani na stendi ya ubungo ni Sinza, Sinza kuna hotel kibao good quality ila bajeti weka kuanzia 40,000/=
Sinza kijiweni kuna Golden park na pacha yake iko jirani nimeisahau jina.

Hiyo 20,000/= au 30,000/= waweza ishia nyumba za ngono tu ambazo ni maalum kwa watu kulana mauloda.

Hotel zina raha na status yake, si kila anayelala hotel yupo kwenye malengo ya ngono na ndio maana hazina short time.

Mimi nimekoma kulala kwenye Guest house maana yale mashuka yananukia janaba muda wote tena waweza jitia nuksi tu.
Umenena vyema mkuu,hizi za elfu 20 unaweza kuta taulo limefutiwa viatu na halijafuliwa
 
Umenena vyema mkuu,hizi za elfu 20 unaweza kuta taulo limefutiwa viatu na halijafuliwa
Mbulu hapana sio huku, unajua 20000 ni pesa kubwa sana yaani wekundu wawili? Hiyo huku unapata chumba very standard lakini kwa sinza utapata kama hicho unachosema
 
Mbulu hapana sio huku, unajua 20000 ni pesa kubwa sana yaani wekundu wawili? Hiyo huku unapata chumba very standard lakini kwa sinza utapata kama hicho unachosema
Pamoja na hali yangu duni mkuu,napenda nilale sehemu nzuri na safi
 
Hata buguruni na vingunguti kuna mabadiriko makubwa ya miundombinu baada ya kunufaika na mradi wa World bank wa DMP, but/lakini buguruni itabaki kuwa buguruni na uswahili wake halikadhalika na Vingunguti pia.

Same applies to Manzese.
Buguruni karibu na makutano ya uhuru na Mandela kuna New Apex nao wako vizuri.
 
Usidanganywe, nenda kibadamo hotel ni sh 25000 kwa siku na pembeni yake kuna sehemu ya kula inaitwa pazuri garden ipo mbele ya kibadamo. Ni ghorofa lipo nyuma ya standa ya mkoa barabara ya MIC hotel mbele yake kidogo then kushoto. Achana na sinza sinza ni mbali. Ukienda MIC hotel andaa 35000
Kibadamo safi sana. Hata breakfast ni buffen
 
Back
Top Bottom