Pole sanaNimefika india kwa safari ya matibabu. Mimi si nheshimiwa hivyo sikuhitaji kibali cha Kazi Ndugu Hai kufika hapa. Package tuliyopata ni accommodation na self catering. Tumekuta flat safi yenye vyuma viwili na sebule.
Katika kujitafutia mahitaji tulifika sokoni. Mboga ni nyingi mno. Kuanzia kisamvu kilichopondwa, majani ya kunde (safa), majani ya maboga (nkhoko). Yote kilichoniacha hoi ni kibwando. Kibwando ni majani ya mlenda yanapatikana Tanzania, hujiotea tu mashambani hasa katika msimu wa mvua.
Mihogo, maboga, bilinganya, nyanya chungu, mbaazi, dengu, choroko, maharage. Kwa kweli vitu tunavyokula ni sawa sawa hata matoke yapo sokoni.
Khoko, aloo kumbe na wewe wa Tanga? [emoji12] safi sana umbujeNimefika india kwa safari ya matibabu. Mimi si nheshimiwa hivyo sikuhitaji kibali cha Kazi Ndugu Hai kufika hapa. Package tuliyopata ni accommodation na self catering. Tumekuta flat safi yenye vyuma viwili na sebule.
Katika kujitafutia mahitaji tulifika sokoni. Mboga ni nyingi mno. Kuanzia kisamvu kilichopondwa, majani ya kunde (safa), majani ya maboga (nkhoko). Yote kilichoniacha hoi ni kibwando. Kibwando ni majani ya mlenda yanapatikana Tanzania, hujiotea tu mashambani hasa katika msimu wa mvua.
Mihogo, maboga, bilinganya, nyanya chungu, mbaazi, dengu, choroko, maharage. Kwa kweli vitu tunavyokula ni sawa sawa hata matoke yapo sokoni.
Ukiwa huko ndo unatumia voda..?Nimefika india kwa safari ya matibabu. Mimi si nheshimiwa hivyo sikuhitaji kibali cha Kazi Ndugu Hai kufika hapa. Package tuliyopata ni accommodation na self catering. Tumekuta flat safi yenye vyuma viwili na sebule.
Katika kujitafutia mahitaji tulifika sokoni. Mboga ni nyingi mno. Kuanzia kisamvu kilichopondwa, majani ya kunde (safa), majani ya maboga (nkhoko). Yote kilichoniacha hoi ni kibwando. Kibwando ni majani ya mlenda yanapatikana Tanzania, hujiotea tu mashambani hasa katika msimu wa mvua.
Mihogo, maboga, bilinganya, nyanya chungu, mbaazi, dengu, choroko, maharage. Kwa kweli vitu tunavyokula ni sawa sawa hata matoke yapo sokoni.
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 jf usipocheka utakuwa mgonjwa.Anhaaa kumbe wewe ndiye yule niliyemuona sokoni
Ingekuwa New Delhi ningekuelekeza "Noida Estate" ama hata "Barakhamba" au "Nehru Place", haki ya nani aunt zako wangekufungashia vya kurudi navyo DSM.Mumbai mkuu
Mbona ukusema ili tuombe mchango mpaka kwa jiwe?maana jiwe ni mchangaji mzuri sanaMumbai mkuu
Umeenda kukatwa utumbo?Nimefika india kwa safari ya matibabu. Mimi si nheshimiwa hivyo sikuhitaji kibali cha Kazi Ndugu Hai kufika hapa. Package tuliyopata ni accommodation na self catering. Tumekuta flat safi yenye vyuma viwili na sebule.
Katika kujitafutia mahitaji tulifika sokoni. Mboga ni nyingi mno. Kuanzia kisamvu kilichopondwa, majani ya kunde (safa), majani ya maboga (nkhoko). Yote kilichoniacha hoi ni kibwando. Kibwando ni majani ya mlenda yanapatikana Tanzania, hujiotea tu mashambani hasa katika msimu wa mvua.
Mihogo, maboga, bilinganya, nyanya chungu, mbaazi, dengu, choroko, maharage. Kwa kweli vitu tunavyokula ni sawa sawa hata matoke yapo sokoni.
Hongera mwenetu. Watoto wa kitanga utawajua kwa urembo, busara, mapishi, figure na mengineyo ya ndani kwa ndaniNimefika india kwa safari ya matibabu. Mimi si nheshimiwa hivyo sikuhitaji kibali cha Kazi Ndugu Hai kufika hapa. Package tuliyopata ni accommodation na self catering. Tumekuta flat safi yenye vyuma viwili na sebule.
Katika kujitafutia mahitaji tulifika sokoni. Mboga ni nyingi mno. Kuanzia kisamvu kilichopondwa, majani ya kunde (safa), majani ya maboga (nkhoko). Yote kilichoniacha hoi ni kibwando. Kibwando ni majani ya mlenda yanapatikana Tanzania, hujiotea tu mashambani hasa katika msimu wa mvua.
Mihogo, maboga, bilinganya, nyanya chungu, mbaazi, dengu, choroko, maharage. Kwa kweli vitu tunavyokula ni sawa sawa hata matoke yapo sokoni.
Taratibu zao za matibabu zokoje ukilinganisha na huku kwetu?maana huku tunakufa kwa kukosa huduma ya matibabu sahihi na kwa wakati sahihiMumbai mkuu