Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,437
Nimefika india kwa safari ya matibabu. Mimi si nheshimiwa hivyo sikuhitaji kibali cha Kazi Ndugu Hai kufika hapa. Package tuliyopata ni accommodation na self catering. Tumekuta flat safi yenye vyumba viwili na sebule.
Katika kujitafutia mahitaji tulifika sokoni. Mboga ni nyingi mno. Kuanzia kisamvu kilichopondwa, majani ya kunde (safa), majani ya maboga (nkhoko). Yote kilichoniacha hoi ni kibwando. Kibwando ni majani ya mlenda yanapatikana Tanzania, hujiotea tu mashambani hasa katika msimu wa mvua.
Mihogo, maboga, bilinganya, nyanya chungu, mbaazi, dengu, choroko, maharage. Kwa kweli vitu tunavyokula ni sawa sawa hata matoke yapo sokoni.

Last edited: