Safari yangu nchini India

Safari yangu nchini India

Wape habari wadada wakibongo huko kuwa ukijisugua na jiwe la kingosha unatakata afu usichelewe kurudi nyumbani utapitwa kuna tetesi Shishibaby naye anataka kupewa kitengo igunga.
Watamuonea Shishy babe,
 
Mumbai mkuu
Bilashaka mmepeta hospitali nzuri na yenye kutambulika Sky maana India kuna utapeli flani wa kiudalali, unadalaliwa hadi matibabu! Watoka ulipotoka unafuata hospitali uliyoelekezwa na jamaa au mitandao ukifika huko unagundua si hospitali kitu bali ni kama ka dispensary ambapo wata wa admit then wanatafuta daktari kutoka kwenye hospitali kubwa awe anakuja hapo.

Yaani India uangalifu ni muhimu Sky......I hope pia mmepata na good package ya gharama kama ulivyosema mwenyewe
 
Nimefika india kwa safari ya matibabu. Mimi si nheshimiwa hivyo sikuhitaji kibali cha Kazi Ndugu Hai kufika hapa. Package tuliyopata ni accommodation na self catering. Tumekuta flat safi yenye vyuma viwili na sebule.

Katika kujitafutia mahitaji tulifika sokoni. Mboga ni nyingi mno. Kuanzia kisamvu kilichopondwa, majani ya kunde (safa), majani ya maboga (nkhoko). Yote kilichoniacha hoi ni kibwando. Kibwando ni majani ya mlenda yanapatikana Tanzania, hujiotea tu mashambani hasa katika msimu wa mvua.

Mihogo, maboga, bilinganya, nyanya chungu, mbaazi, dengu, choroko, maharage. Kwa kweli vitu tunavyokula ni sawa sawa hata matoke yapo sokoni.


Kama hivyo vitu vipo si ule tu, hatujakukataza kula….wewe kula ukiona vipi beba leta hapa Tanzania ili iwe kumbukumbu yako.
 
Naomba utibiwe na kichaa chako kwenye ubongo uwe mzalendo uache ushabiki maandazi wa siasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom