Safari yangu nchini India

Safari yangu nchini India

Naomba utibiwe na kichaa chako kwenye ubongo uwe mzalendo uache ushabiki maandazi wa siasa
 
Kisambaa kilichozungumzwa hapa kimenikumbusha mabasi ya long time kwenda Lushoto;

1. Chakito.

2. Shambalai.

3. Umba River.

Nimekumbuka miwa aisee; Ushoto bwana.
 
Kisambaa kilichozungumzwa hapa kimenikumbusha mabasi ya long time kwenda Lushoto;

1. Chakito.

2. Shambalai.

3. Umba River.

Nimekumbuka miwa aisee; Ushoto bwana.
Umesahau neeivyo gai ya seboga,ila hii ikienda mkuzi kutokea muheza
 
Nimefika india kwa safari ya matibabu. Mimi si nheshimiwa hivyo sikuhitaji kibali cha Kazi Ndugu Hai kufika hapa. Package tuliyopata ni accommodation na self catering. Tumekuta flat safi yenye vyumba viwili na sebule.

Katika kujitafutia mahitaji tulifika sokoni. Mboga ni nyingi mno. Kuanzia kisamvu kilichopondwa, majani ya kunde (safa), majani ya maboga (nkhoko). Yote kilichoniacha hoi ni kibwando. Kibwando ni majani ya mlenda yanapatikana Tanzania, hujiotea tu mashambani hasa katika msimu wa mvua.

Mihogo, maboga, bilinganya, nyanya chungu, mbaazi, dengu, choroko, maharage. Kwa kweli vitu tunavyokula ni sawa sawa hata matoke yapo sokoni.
Upone haraka dada etu bado tunakupenda saaana.
 
Mimi nimeshangaa kuona mchunga (ule wa sungura) unauzwa supermarket kama mboga za binadamu huku ujerumani [emoji23][emoji23][emoji23]
Usiniambie siyo rocket salad hiyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom