Sisi tumekuja na barua ya daktari kutoka Tanzania, wameanzia hapo vipimo kwanza. Mgonjwa ni mzee. Wana vifaa vya kisasa na majibu ya kwanza yatakuwa tayari ndani ya wiki mojaTaratibu zao za matibabu zokoje ukilinganisha na huku kwetu?maana huku tunakufa kwa kukosa huduma ya matibabu sahihi na kwa wakati sahihi
Nimecheka balaaBora hata mkubaliane bei fixed maana akiwasha mita lazma akuzungushe njia ndefu kama hujui unapoenda. Wahindi wanapenda sana pesa
priyanka anakomaa marekani mkuuwasalimie KATRINA KAIF,na PRIYANKA CHOPRA waambie sms zao nimeziona
Na misun Chakarabotwasalimie KATRINA KAIF,na PRIYANKA CHOPRA waambie sms zao nimeziona
Ajitahidi amuone na GovindaNa misun Chakarabot
Kuna watu wanakatwa utumbo ? Kwanini ?Umeenda kukatwa utumbo?
Nimefika india kwa safari ya matibabu. Mimi si nheshimiwa hivyo sikuhitaji kibali cha Kazi Ndugu Hai kufika hapa. Package tuliyopata ni accommodation na self catering. Tumekuta flat safi yenye vyuma viwili na sebule.
Katika kujitafutia mahitaji tulifika sokoni. Mboga ni nyingi mno. Kuanzia kisamvu kilichopondwa, majani ya kunde (safa), majani ya maboga (nkhoko). Yote kilichoniacha hoi ni kibwando. Kibwando ni majani ya mlenda yanapatikana Tanzania, hujiotea tu mashambani hasa katika msimu wa mvua.
Mihogo, maboga, bilinganya, nyanya chungu, mbaazi, dengu, choroko, maharage. Kwa kweli vitu tunavyokula ni sawa sawa hata matoke yapo sokoni.
hii nimecheka sanawasalimie KATRINA KAIF,na PRIYANKA CHOPRA waambie sms zao nimeziona
Ni mzima kabisa tunasuburu majibu ya vipimo ukikwama matibabu yaanze.