Safari yangu nchini India

Safari yangu nchini India

Unanikumbusha enzi zangu kule South India. Chicken biryani ndo nilikua napenda pamoja na dosa kwa ajili ya breakfast. Bora mmeenda Mumbai safari imekua fupi.
 
Wapishi wakubwa kwenye mikahawa ni wanaume
 
Bora hata mkubaliane bei fixed maana akiwasha mita lazma akuzungushe njia ndefu kama hujui unapoenda. Wahindi wanapenda sana pesa

akiwasha mita hata kama akikuzungusha inakula kwake pia.. sababu faida iko kwa parcent iliyosetiwa kwenye mita... hii ndio maana wengi hawataki kuwasha mita.. wanasingizia mbovu...

ingekuwa kukuzungusha kunawalipa.. wasingjifanya mita mbovu.. wangekuwa wanakuzungusha tu... nimekaa india sana najua nachokiongea
 
Kuna siku moja jamaa alinitajia bei fixed nikambishia awashe mita kilichofuata ni majanga.
 
nimekaa india zaid ya mwaka.. najua ujanja wao.. mita kwao inawabana.. na kwa wageni huwa hawataki iwashwe
 
Population vipi maana twaambiwa kuna mijiwatu mingi kweli na vipi kuhusu mpangilio was jiji tukianzia na hapo ulipo Kwa maoni yako ndugu yetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom