JK kwa sasa yupo Sunderland kuangalia uwezekano wa kuzungumza na wamiliki wa Club ya Sunderland ya UK ili waanzishe Academy ya mpira Tanzania. kweli kuna manufaa yeyote hapa?
JK kwa sasa yupo Sunderland kuangalia uwezekano wa kuzungumza na wamiliki wa Club ya Sunderland ya UK ili waanzishe Academy ya mpira Tanzania.
wakati mwengine akili zake zinamtosha yeye mwenyewe na genge lake, sasa raisi mzima uende ugenini ukatie nanga sunderland kisa kupata ushauri wa academy jamaa wa TFA wanashughuli gani sasa.JK kwa sasa yupo Sunderland kuangalia uwezekano wa kuzungumza na wamiliki wa Club ya Sunderland ya UK ili waanzishe Academy ya mpira Tanzania.
JK kwa sasa yupo Sunderland kuangalia uwezekano wa kuzungumza na wamiliki wa Club ya Sunderland ya UK ili waanzishe Academy ya mpira Tanzania.
Hii ndio shida ya kuongozwa na wagonjwa....
mambo mengine ni aibu htakuyackiaJK kwa sasa yupo Sunderland kuangalia uwezekano wa kuzungumza na wamiliki wa Club ya Sunderland ya UK ili waanzishe Academy ya mpira Tanzania.
Mh Rais zungumza na chama cha soka cha England timu ya Taifa ipige ziara huko PiaJK kwa sasa yupo Sunderland kuangalia uwezekano wa kuzungumza na wamiliki wa Club ya Sunderland ya UK ili waanzishe Academy ya mpira Tanzania.