Safari ya JK kwenda kutembelea timu ya Sunderland inamnufaisha nani?

mchonga

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,233
247
JK kwa sasa yupo Sunderland kuangalia uwezekano wa kuzungumza na wamiliki wa Club ya Sunderland ya UK ili waanzishe Academy ya mpira Tanzania.
 
JK kwa sasa yupo Sunderland kuangalia uwezekano wa kuzungumza na wamiliki wa Club ya Sunderland ya UK ili waanzishe Academy ya mpira Tanzania. kweli kuna manufaa yeyote hapa?

Ndiyo, kuna manufaa makubwa sana kwa soka la Tz. Wewe huoni hilo?....ZINDUKA YOU!
 
JK kwa sasa yupo Sunderland kuangalia uwezekano wa kuzungumza na wamiliki wa Club ya Sunderland ya UK ili waanzishe Academy ya mpira Tanzania.
wakati mwengine akili zake zinamtosha yeye mwenyewe na genge lake, sasa raisi mzima uende ugenini ukatie nanga sunderland kisa kupata ushauri wa academy jamaa wa TFA wanashughuli gani sasa.
 
ImageUploadedByJamiiForums1371396554.135832.jpg
jk wenu
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1371396567.536529.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1371396567.536529.jpg
    79.6 KB · Views: 190
JK kwa sasa yupo Sunderland kuangalia uwezekano wa kuzungumza na wamiliki wa Club ya Sunderland ya UK ili waanzishe Academy ya mpira Tanzania.
Mh Rais zungumza na chama cha soka cha England timu ya Taifa ipige ziara huko Pia
Awaombe simba na yanga wapige mechi ya kirafiki na liverpool,man u,Asenal nk bila kusahau Azamu angalau watambue tz soka ipo japo Leo matokeo ni 4 kwa 2
 
Cha msingi Mh Rais angewaalika makocha wote wa ligi kuu kisha Serikari iwalipie nauli watembelee vilabu vyote vikubwa vya ulaya wakutane na makocha wakubwa wapigwe msasa mkali angalau wajifunze live jinsi soka la kisasa linavyoendeshwa wajifunze mpaka lishe za wachezaji namna ya kudumisha nidhamu nje ya uwanja kwani mapungufu Haya Ndio tatizo sugu kwenye soka letu na endapo yatafanyiwa kazi Hakika soka letu litakuwa kwa kasi sana
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom