Safari ya JK Davos Pata Picha

Safari ya JK Davos Pata Picha

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,621
Reaction score
4,312
Kipanya.jpg Nilipata hii picha kwa hisani ya mzee mzima Masoud Kipanya safari ya JK kwenda Davos, bado naendelea kufuatilia matukio picha zitawadia baadae.
 
Siku nyingine ntakua sikuchukui lol

- Be careful Masoud
 
Masoud Kipanya my hero ,ng'ang'ana na uzalendo Mkuu
 
Jamaa mkali
Masoud namkubali sana yuko wazi na wala hafichi fichi wala kuogopa impact ya kile atakachokiandika
 
hivi akiwa Davos akiulizwa effects of poor human development kwenye uchumi in relation to the current situation hapa home anaweza kujibu nini?
 
Ingawa jamaa haja'mention hata jina moja lakini ujumbe umefika.
 
Mzee AHM aliwahi kwenda Uwanja wa Taifa kusakata "INDE MONII" ya KandaBongoMan katika hali tete kama hii mwaka 1990.
 
Tumeambiwa jana kwamba ni muhimu kwake kuonana na Bill Gates..........hayo ya wagonjwa can wait.
 
hivi akiwa Davos akiulizwa effects of poor human development kwenye uchumi in relation to the current situation hapa home anaweza kujibu nini?

Atasema yeye sio daktari wa wagonjwa. Kamuulizeni Blandina Nyoni maana anajua hilo.
 
hapa tunahitaji watu wengi wakweli kam huyu jamaa
maisha yatazidi kuwa mabaya kama hatutachukua hatua
 
'Kipanya' anawakilisha wakosoaji wa serikali ya Jk ambao wanaamini katika maneno ya Dr Slaa kwamba angepata Urais asingesafiri angebaki pale magogono Ikulu na kula mihogo.
 
Atawauliza; Mgomo wa Madaktari unanihusu nini? Kwani mimi Mgonjwa!

kwa hiyo unataka kusema Jk aache kusafiri kwa sababu tu madaktari wamegoma.....are you kidding? tupate hasara mara mbili kwani amekwenda kutembea au kwa faida ya nchi? wabunge nao wakigoma abaki Ikulu, waalimu na wengineo vivyo hivyo...hapana haikubaliki Rais ni taasisi ndio maana chini ya Rais kuwa viongozi rukuki wa kumsaidia. kwani wakikutana na Pinda kuna tatizo gani?
 
Back
Top Bottom