Safari ya JK Davos Pata Picha

kama Jk hana akili basi na madaktari hawana akili timamu. wewe daktari huyo mgonjwa aliyeko mbele yako amekulipia school fees kwa kodi yake huna haja ya kumwacha afe kwa kisingizio cha kudai maslahi wakati na yeye alipokuwa anakusomesha maslahi yake yalipunguzwa kwa njia ya kodi ili wewe daktari uende shule. tafuteni adhabu nyingine dhidi ya serikali sio roho za waliowasomesha.
 
Kipanya yuko kazini kwenye biashara sio lazima kibwengo chake kiwakilishe hali halisi.
 
Masoud Kipanya my hero ,ng'ang'ana na uzalendo Mkuu

Ili uwe mzalendo mtukane kikwete...... hiki ni kipimo kipya kabisa cha uzalendo kilichotolewa na maabara ya Froida. kwa mwendo huu uzalendo kwa nchi yetu utazidi kufa
 
Tumeambiwa jana kwamba ni muhimu kwake kuonana na Bill Gates..........hayo ya wagonjwa can wait.

Jk alipoingiza fedha za Bill gate ambazo bado zinaingia na bill clinton hakuna anaeona na zimeendelea kusaidia wagongwa na taasisi za tiba nchini. Mbona kipanya hakuchora mapesa hayo?
 
Ili uwe mzalendo mtukane kikwete...... hiki ni kipimo kipya kabisa cha uzalendo kilichotolewa na maabara ya Froida. kwa mwendo huu uzalendo kwa nchi yetu utazidi kufa

MP, uko sawa kweli hapo up stairs, au ndo kuna zile wanazosema 'shake well before use?
Hapo katajwa nani, kwa nini unahisi ni Kikwete katukanwa? Hiyo msg mfumbo - mwenye akili zilizotulia atajua hicho kibwengo kinaongelea nini.
 
Kitaaluma kipanya si mwandishi wa habari na hata katuni zake siku zote hazizingatii miiko (ethics) za uandishi. Katuni kama hii ni ya uchochezi na haifai kuwekwa kwenye gazeti lolote makini zaidi ya Tanzania Daima lenye mlengo kama wa kipanya.
 
Duh!! Nilitaka kushangaa mzee wa kuuza sura asiende DAVOS!! Haya mkuu wewe nenda kakinge bakuli, usisahau kujumlisha na pesa wanazoomba nyeongeza wataalamu wetu wa afya!!

Ingawa ungeweza pata hizo kwa kukata mtandao wenu wa puppets kama FF an wenzake!!!
 
Siku zote watu wanaona safari za JK hazina tija, hivi watanzania tunataka yote anayokwenda kuyafanya nje yawe yanatangazwa???? Huu ni utaratibu gani na tangu lini yaliwekwa wazi kwa awamu zote zilizopita?
 
kwa hiyo unataka kusema Jk aache kusafiri kwa sababu tu madaktari wamegoma.....are you kidding? tupate hasara mara mbili kwani amekwenda kutembea au kwa faida ya nchi? wabunge nao wakigoma abaki Ikulu, waalimu na wengineo vivyo hivyo...hapana haikubaliki Rais ni taasisi ndio maana chini ya Rais kuwa viongozi rukuki wa kumsaidia. kwani wakikutana na Pinda kuna tatizo gani?

wewe huna maana kabisa,pinda na mawaziri wake wote waoga kishezi
 
kwa hiyo unataka kusema Jk aache kusafiri kwa sababu tu madaktari wamegoma.....are you kidding? tupate hasara mara mbili kwani amekwenda kutembea au kwa faida ya nchi? wabunge nao wakigoma abaki Ikulu, waalimu na wengineo vivyo hivyo...hapana haikubaliki Rais ni taasisi ndio maana chini ya Rais kuwa viongozi rukuki wa kumsaidia. kwani wakikutana na Pinda kuna tatizo gani?

kama Uraisi ni Taasisis mbona hakumtuma waziri anayehusika? Inabidi tuanzishe wizara ya Ombaomba na tumpatie kaka yako kwa kuwa anaonekana ni expert eneo hilo.
 
Hili koti sijui kanunua Sheikh nani sijui......

dav1.jpg
 
kwa hiyo unataka kusema Jk aache kusafiri kwa sababu tu madaktari wamegoma.....are you kidding? tupate hasara mara mbili kwani amekwenda kutembea au kwa faida ya nchi? wabunge nao wakigoma abaki Ikulu, waalimu na wengineo vivyo hivyo...hapana haikubaliki Rais ni taasisi ndio maana chini ya Rais kuwa viongozi rukuki wa kumsaidia. kwani wakikutana na Pinda kuna tatizo gani?

Unawaza kwa kutumia yale madude huna lolote....
 
Huyo jamaa ni mfalme wa safari za kimatonya duniani. Tehe tehe tehe.
 
Back
Top Bottom