kwa hiyo unataka kusema Jk aache kusafiri kwa sababu tu madaktari wamegoma.....are you kidding? tupate hasara mara mbili kwani amekwenda kutembea au kwa faida ya nchi? wabunge nao wakigoma abaki Ikulu, waalimu na wengineo vivyo hivyo...hapana haikubaliki Rais ni taasisi ndio maana chini ya Rais kuwa viongozi rukuki wa kumsaidia. kwani wakikutana na Pinda kuna tatizo gani?
Unajua mgomo wa madaktari na madai yao nini? Hilo fungu la safari kwa nini wasiwape madaktari wanachodai? Safari zake huwa zinaisha? Akimaliza hiyo ataanzisha nyingine..