Nisalimie wakwe zangu watarajiwa huko Moshi mkuu nategemea kuwaibia mchaga wao aje Lushoto nahisi ataipenda Lushoto manake hali ya hewa somehow inafanana.
Umbea ndo habari ya mjini, nipishe mie. Nnanunua viatu vya kumzikia langa, tulisokota nae jani vibaya sana.nilijua tu kuna mbea atauliza ni msiba best
umesahau matala, kileseu..oh sorry huku sio mamba..hata riata sio mamba! afu masia ziko mbili!!
ha ha ha..uko deep kweli kweli..sasa kwanini ukatengwa?
yeah ila sio katika maisha tunayoishi kwa sasa aisenajua nyie wachaga hamwachi asili...
yeah ila sio katika maisha tunayoishi kwa sasa aise
masuala ya technolojia yanatuacha solemba na masuala ya mila na desturi za nyumbani unajikuta huna njia ila kuishi namna dunia inavyoenda
Huwezi ukasema mwanangu leo atakijua kichagaa maana unaweza jikuta mimi wa marangu may be mke mmachame au mrombo mle ndani ya nyumba hatuwezi kuongea kilugha maana hatutaelewana so watoto wanabakia ni kiswahili na hizi english medium na kiingereza na kifaransa
Sasa hapo tutaacha vipi kutengwa mkuu kiwatengu
ha ha ha fundisha watoto lugha ya kwenu..wakue na maarifa hayo
poleni kwa matatizo, safari njema pia...
Thank God, nimefika salama salmini
Ahsante kwa taarifa na pole kwa waliopatwa na maswahibu.Wapendwa wana chitchat naomba mshirikiane nami kumtakia safari njema na
kuiombea familia ya kipenzi changu Mr kiwatengu kwa matatizo waliyoyapata.
Mungu awasafirishe salama na kuwapa nguvu na kuwaondolea hofu.
yote ni mapenzi ya mungu.
Habari zimfikie;
- mama mkwe; Mamndenyi
- shem; Erickb52
- mkaguzi mkuu; Asprin
- mweyekiti; Baba V
- family doctor; Lady doctor
- NAWENGINE WOTE mtakaoguswa
marejesho tulia bana ukiongea kimndenyi huku wanachama ni wengi sana wacha tuu aiseMh....Kumbe tuko wengi wa Marangu?......