Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Msafiri salama, Mungu awe pamoja nanyi.
Poleni sana kwa msiba, Mungu awape faraja katika hili
Poleni sana kwa msiba, Mungu awape faraja katika hili
Mkwe, mimi mama niko nahangaika na maisha huku bongo
hebu niambie kuna nini tena huko kijijini, si unajua moshi ni mbali kuliko huko mliko
kiwatengu acha hizo, why not haukunitumia hata sms,
safari njema na Mungu awapiganie kwa kila hali.
Ndima mama mkwe wa hapa bongo.
Nikajua umekufa rafiki yangu, dah samahani bwana kumbe ni safari.
Msafiri salama, Mungu awe pamoja nanyi.
Poleni sana kwa msiba, Mungu awape faraja katika hili
Ha ha ha ha...una mambo wewe!!
kiwatengu how come unakijua kichagga sasa au umeao huko nini aise utuambie mkuuha ha ha ha....unamfahamu buddy wangu wakaribu anayeitwa MMAHE? by the way i'm proud to be makonde...
Nilishtuka sana Mkuu manake juzi kati nilikuwa nasoma comment zako kwenye ule uzi wa mustakabali wa elimu yetu halafu huku naona salamu za kuagwa.
Sale unaenda kumuomba nani msamaha hapa
haya nitengeni tuu ila mi siwezi kuwa kyasaka hata siku moja Mamndenyi mi ni chagga bana popote pale nitakapokuwa am proud to be chagga tena wa marangu
kiwatengu how come unakijua kichagga sasa au umeao huko nini aise utuambie mkuu
Haya bana hongera kwa kuwa Makonde bana siku moja nitaenda Ntwara na Chongea kuwasalimia
hapana mkuu, tupo pamoja bado...
pamoja.
Hahahhaa kiwatengu nitarudi tuu bana nimekuwa mtu wa safari nyingi situlii home na halafu sipati ile kitu yao ile wanaita mbege basi wananiona mi mchagga pori
hebu niambie sehemu 3. ambazo unazijua vyema kwa upande wa Mamba. Ukitoa kisambo!!
pamoja..nakaribia himo sasa!!