Safari njema kiwatengu

Safari njema kiwatengu

Huyu jamaa hana mkr ana wake watatu.na masuria wawili watatu.na ndiye mkaguzi mkuu sijui kama ameshakukagua?

nilishatuma kila kitu inbox hope keshakamilisha ukaguzi ,sasa huyu mkaguzi ana wake 3 na wanachama itakuwaje?
 
kiwatengu naona marangu kampan imekuwa kubwa ukoo utaongezeka sasa
 
Last edited by a moderator:
Kuja PM....

poa poa!!!!! Nikisha kukagua wewe Mr Rocky ajiandae
kiwatengu shem langu ukitoka Marangu pitia pande hii kwa ukaguzi
Bishanga atakuwa nyuma yako
The secretary naomba msaada kwa watakao goma
Madame B usijali japokuwa uliwakagua, ngoja me niwarudie kunawengi tayari wamesha kongoroka humu wanahitaji service...... Nikisha wakagua nitakufikishia majibu!
 
ha ha ha ha..naogopa sindano..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom