kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,309
- 17,844
nimepitia humo nimeshindwaaaaaaaaaaaaa kumuelewa! yaani ni yeye live yule mtu! kazi ipo nimekwambia!
www.shansharie.kansas/kiwatengu
fuata hiyo link for more details.!
nimepitia humo nimeshindwaaaaaaaaaaaaa kumuelewa! yaani ni yeye live yule mtu! kazi ipo nimekwambia!
hebu nikumbushe babito! Nipo sana tu, Asprin kanificha!
uwiiiiiiii nimekumiss! upo? mzima?ama kweli kakuficha
majanga hayo!www.shansharie.kansas/kiwatengu
fuata hiyo link for more details.!
niko wanguu..we ndio umefichwa...na babu...hahahahahahauwiiiiiiii nimekumiss! upo? mzima?
majanga hayo!
hahaha yaani huyo Madame B hanifikii hata tone, hii ni chata ingine.....
Halafu msizoee kula maharage kila siku wakati nyama ipo! Hamuogopi kutoa honi za tumbo? Shauli zenu nyie kataeni tu mapinduzi mapya, si bure we utakuwa gamba