Safari njema kiwatengu

Safari njema kiwatengu

Uende salama kiwatengu

Umkumbuke shansarie na Mungu akipenda tutaonana tena

Pole kwa matatizo
 
Last edited by a moderator:
Safari njema sana kiwatengu na pole sana kwa matatizo mkuu
Mungu akutangulie katika safari yako mkuu

Aise uniletee ule mzizi huko ukifika
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mbona sasa huko ni home kabisa kiwatengu maana my mother anatokea huko aise usije kuta ni ndugu yangu bana

Aisee! huwezi jua..ila huko kwenye msiba ni sehemu alikoolewa mama yangu mkubwa..na aliyekufa ni baba mkwe wake!
 
Last edited by a moderator:
Aisee! huwezi jua..ila huko kwenye msiba ni sehemu alikoolewa mama yangu mkubwa..na aliyekufa ni baba mkwe wake!

hahahaha yote mema mkuu kiwatengu wasalimie huko bana maana hiyo ni mitaa yangu wakati nikiwa mdogo nakuja kw ababu zangu na wajomba aise

Siyo mzizi mkuu uliza kwa Arushaone, Bujibuji, Mentor au Mamndenyi watakuambia "kilochindi" ni kitu gani..
Wamekataa kuniambia mkuu 'kiwatengu sijui wananiona mchagga pori aise Arushaone, Bujibuji, Mentor na Mamndenyi pulizi kamu zis wei mniambie kilochindi ni nini
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom