We Lady doctor mbona unadandia treni kwa mbele
Halafu swali la nyongeza umeenda na nani huko uliko aise
Thank God, nimefika salama salmini
Ahsante kwa taarifa na pole kwa waliopatwa na maswahibu.
BTW katika kumbukumbu zangu sikumbuki kama nlishawahi kukukagua. Hebu kam zis wei kwanza nijue mbivu na mbichi.
Ndo maana imekuja hosp sijakukuta Lady doctor..umepanda basi gani?
Sasa mbona hujanialika mimi mgonjwa wako nikusindikize Lady doctor
Unajua sijapona vizuri aise
nakuja na fast jet faster aise maana ninaumwa hapa vibaya sana Lady doctorusijali, we njoo tu tuendelee na matibabu huku
nilipanda KAMWANA,
njoo hata huku nipo kikazi zaidi
Pole sana na msiba mkuu. Naamini mkono wa Mungu umewatangulia kwenye safarini msiba King'asti..thank u much!!
Mh....Kumbe tuko wengi wa Marangu?......
nakuja na fast jet faster aise maana ninaumwa hapa vibaya sana Lady doctor
Oh... sorry! Poleni sana mangi. Mungu awape moyo wa uvumilivu na subira.
BTW nani huyo mpendwa wetu aliyetangulia mbele ya haki.
Oh... sorry! Poleni sana mangi. Mungu awape moyo wa uvumilivu na subira.
BTW nani huyo mpendwa wetu aliyetangulia mbele ya haki.
Nahisi naibiwa tabibu wangu. Kaizer msaada tafazali.......