Safari njema kiwatengu

Safari njema kiwatengu

Asante sana mamito.
Wewe wakague upya then Mimi nitakuwa an hitimisho..
 
Hahahaha mtwara sidhani kama utarudi tena....

nitarudi mkuu, ila wachaga wameendelea sana kimwili na kiroho! duh Kilimanjaro nchi nyingine aisee.. ngoja mtwara na sisi tunaanza kwa nguvu zote..
 
nitarudi mkuu, ila wachaga wameendelea sana kimwili na kiroho! duh Kilimanjaro nchi nyingine aisee.. ngoja mtwara na sisi tunaanza kwa nguvu zote..

Hapo hawana gesi. Umeshangaa lami hadi migombani eeh? Shule.umeziona? Maji? Majumba?
 
Hapana fanya mchezo...unayalinganisha vipi na kijijini nachingwea

Kijiji changu ni Likolombe mkubwa..tarafa ya Litehu, wilaya tandahimba, mkoa mtwara, kanda ya kusini..
haya majumba kwetu hayapo! but here we are coming..
 
Hapana fanya mchezo...unayalinganisha vipi na kijijini nachingwea

Kijiji changu ni Likolombe mkubwa..tarafa ya Litehu, wilaya tandahimba, mkoa mtwara, kanda ya kusini..siyo nachingwea..
haya majumba kwetu hayapo! but here we are coming..
 
Afu huu mwandika naufananisha sana na mtu flani hivi.

Hebu cacico na amu kujeni pande hii, mwaeza fumbua hili fumbo....
nimepitia humo nimeshindwaaaaaaaaaaaaa kumuelewa! yaani ni yeye live yule mtu! kazi ipo nimekwambia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom