Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 957
- 1,663
Wazoefu wa Masafa marefu na vigari vidogo.
Wakuu ile RUNX mpya ya majuzi nataka niende nayo Mwanza kwa ajiri ya mapumziko kikazi, vipi nitatoboa nayo 1200 kilomita??
Nitatumia muda gani?
Speed natakiwa kutembelea ngapi?
Anyways
1.Tyre zote mpya
2. Service bado inadai 2000Km
3. Kila kitu kipo sawa