Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,671
- Thread starter
- #61
Unajipa moyo eeeh hahaa nipo Shinyanga nimeicha Nzega sio muda, nalala Shinyanga.......nimekula mikeka 2 ya chap chapSio rahisi, sio mzoefu.
Alianza safari saa tisa, saa tatu kasoro akawa moro. Saa tisa hii hawezikua kavuka Dodoma.