Safari Dar to Mwanza na Runx nitatoboa?

Safari Dar to Mwanza na Runx nitatoboa?

Kigari kitafika ila wakati wa kurudi itabidi urudi peke yako bila hicho Kigari.

😀😀
 
-Zingatia alama za barabarani
-Usitumie kilevi cha aina yoyote
-Utakapohisi uchovu pumzika
-Epuka kula kula ovyo
-Epuka mwendokasi.

Nikutakie safari njema
 
Wazoefu wa Masafa marefu na vigari vidogo.

Wakuu ile RUNX mpya ya majuzi nataka niende nayo Mwanza kwa ajiri ya mapumziko kikazi, vipi nitatoboa nayo 1200 kilomita??

Nitatumia muda gani?
Speed natakiwa kutembelea ngapi?

Anyways
1.Tyre zote mpya
2. Service bado inadai 2000Km
3. Kila kitu kipo sawa
Mkuu unaanzaa mbaaali. Tushajua unamiliki Gari.
 
Wazoefu wa Masafa marefu na vigari vidogo.

Wakuu ile RUNX mpya ya majuzi nataka niende nayo Mwanza kwa ajiri ya mapumziko kikazi, vipi nitatoboa nayo 1200 kilomita??

Nitatumia muda gani?
Speed natakiwa kutembelea ngapi?

Anyways
1.Tyre zote mpya
2. Service bado inadai 2000Km
3. Kila kitu kipo sawa
Zinaenda IST kwanini hiyo isifike? Make shure unapumzika after km kadhaa ku cool off gari
 
Umenipa moyo, mimi ni mtu nayependa sana kudrive nilikuwa nataka kwenda Kigoma shida njia mpaka nafika 😅😅😅😅 au nifate Google map?
Mkuu safari, njema Mwenyezi Mungu akutangulie, ukihisi uchovu upumzike hivyohivyo.
 
Nenda unafika.. tembea wastani wa speed 80 hadi 100. Zingatia vibao vya speed na Alama za barabarani, pia angalia upepo wa tairi zako, check oil engine level. Kabla hujaludi Dar itabidi umwage oil.
 
Back
Top Bottom