Safari Dar to Mwanza na Runx nitatoboa?

Safari Dar to Mwanza na Runx nitatoboa?

Hilo ni gari Mkuu sio mnyama useme atachoka. Wewe nenda mwendo wa kawaida tu. Kuna muda funga vioo kuna mida fungua kioo chako na cha nyuma cha abiria upande wa kushoto.

Zaidi ya yote ukihisi uchovu pumzika kidogo, usize gari ghafla kama umetembea umbali mrefu kama 500km, acha liwe silence.

Epuka mbio na watu, kama sio mziefu wa masafa na kuendesha gari barabara za taifa, tembea 80 - 120 P/h.

Usitupie kabisa mitungi. Usiseme utaenda, usiage inapobidi. Wewe ingia barabarani tu.

Safari njema
Asante sana kwa ushauri wako expert nipo Morogoro
 
Wazoefu wa Masafa marefu na vigari vidogo.

Wakuu ile RUNX mpya ya majuzi nataka niende nayo Mwanza kwa ajiri ya mapumziko kikazi, vipi nitatoboa nayo 1200 kilomita??

Nitatumia muda gani?
Speed natakiwa kutembelea ngapi?

Anyways
1.Tyre zote mpya
2. Service bado inadai 2000Km
3. Kila kitu kipo sawa
Weka hiyo baby walker kapande mabasi Kuna zuberii, super sama, ally's

NB. Ukishupaza shingo Utatoboa japo Kuna factors unabidi uzishinde uzoefu barabarani + usingizi na uchovuuu naweza nikakuandalia schedule ya safari Yako iweje iweje ili ufike salama

All the best.
Wasalaam
 
Thanks chief, nimetoka saa 9 usiku sina mbio ni speed kawaida tu, nimetoka morogoro...hapa nimepumzika sehemu tu kwa muda then naendelea.....nikichoka kuna flatbed litabeba mimi nitadandia bus
 
Hiyo kubwa sana na inafika salama kabisa muhimu wewe na utimamu wako tu, ndugu yangu mmoja alikuwa na IST alitoka nayo Mbozi Mbeya akaenda nayo Musoma, na baadae akaenda nayo Geita, akarudi Mwanza...baadae akarudi Mbozi Mbeya na sasa miaka 3 gari ipo anaendelea kutumia. Zingatia usalama wa gari na mahitaji yake yote tu
 
Dereva upo peke akoo? pia kaka usitumie kilevi.
Usi over speed? JE una uzoefu na route ndefu..
Badae nta share safari yeti tukiwa na gari mbili premio na alphahad dar es salaam to Kanda ya ziwa.

Safari tulianza jioni saa 11 iviii aisee usiku Kuna malori na mabasi yaoo speed yanamulika mwanga mpaka una acha kuona sekunde kadhaa kipande CHA dar to dom ni nomaa
 
Barabaran nakutana nazo nyingi sana hivyo najipa hope kuwa nitafika
 
Dereva upo peke akoo? pia kaka usitumie kilevi.
Usi over speed? JE una uzoefu na route ndefu..
Badae nta share safari yeti tukiwa na gari mbili premio na alphahad dar es salaam to Kanda ya ziwa.

Safari tulianza jioni saa 11 iviii aisee usiku Kuna malori na mabasi yaoo speed yanamulika mwanga mpaka una acha kuona sekunde kadhaa kipande CHA dar to dom ni nomaa
Nipo mwenyewe tu mkuu, situmii kilevi, speed yangu ni 100Km/h
 
Dereva upo peke akoo? pia kaka usitumie kilevi.
Usi over speed? JE una uzoefu na route ndefu..
Badae nta share safari yeti tukiwa na gari mbili premio na alphahad dar es salaam to Kanda ya ziwa.

Safari tulianza jioni saa 11 iviii aisee usiku Kuna malori na mabasi yaoo speed yanamulika mwanga mpaka una acha kuona sekunde kadhaa kipande CHA dar to dom ni nomaa
Nipo mwenyewe tu mkuu, situmii kilevi, speed yangu ni 100Km/ nina uzoefu kiasi kwa route ndefu.
 
Vizuri kabisa Kuwa tu makini kuna tabia flan ya madereva wa magari madogo unatakiwa usifanye hizo tabia usiovertake kama huoni mbele au kwa kuifata nyuma gari inayoovertake kwa kumtegemea dereva wa mbele ukihisi ni salama kisa yeye anaovertake yeye anajipigia hesabu yeye hakupigii hesabu wewe usije ukauziwa kicheche ukaingia chini ya lori.

Ukihisi kuchoka pumzika , usiendeshe usiku kama hauna uzoefu.
 
Nimeamua haya....
Nikichoka nalala
Speed 100Km/h
Yakinizidi navizia flatbed linabeba gari mim nadandia Bus.
 
Wazoefu wa Masafa marefu na vigari vidogo.

Wakuu ile RUNX mpya ya majuzi nataka niende nayo Mwanza kwa ajiri ya mapumziko kikazi, vipi nitatoboa nayo 1200 kilomita??

Nitatumia muda gani?
Speed natakiwa kutembelea ngapi?

Anyways
1.Tyre zote mpya
2. Service bado inadai 2000Km
3. Kila kitu kipo sawa
Umeangalia tairi zimetengenezwa mwaka gani? Safari njema ila nakushauri kila baada km kadhaa park gari engine itulie
 
Back
Top Bottom