CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,475
HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017
Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa Mahakamani na Mawakili wa Kujitegemea na inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3 mwaka huu.
Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December
Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?
Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee