Naomba unielewe braza au una maana ananyonyesha?
unachoshindwa kuelewa ni kipi...nauliza unalalamika yanalala, wewe huwa huyanyonyi? au umeacha?
Amekujibu Kaunga kuwa inawezekana ni maumbile, maana pia wako waliozaa na wanaonyonyesha lakini pia matiti yao hayajaanguka. Kama umempenda na umeridhika na tabia zake we endelea nae tu usije ukamtafutia visababu na kujikuta unamchukia kwa kosa lisilo lake.
Habari ndugu zangu!nina mchumba wangu 23yrs na bado anasoma ila kinachonishtua ni kwamba matiti yake yamelala kama mama anayenyonyesha.Ninampenda ila nilipomuuliza kama ameshatoa mimba amekataa. Kuna sababu nyingine zinazoweza kumfanya mwanamke kuwa hivyo?
haayo ni maumbile yake 2 wengine unakuta hata hawajanyonywa lkn kitu kimeisha kua lapa
mkuu comment zako huwa nazipenda sana!!! ubarikiwe!!!!
Ni chemicals zimekuwa nyingi siku hizi, ndio maana hata watoto wadogo unakuta wana maziwa....but pia wanaanza kufanya kale kamchezo mapema sana na siku hizi wanaona fasheni ni kunyonyoa hata visivyonyonywa