Sababu zipi zinasababisha chuchu za binti ambaye hajazaa kuanguka (yaani kuwa kama anayenyonyesha)?

Sgaga

Member
Sep 28, 2011
76
13
Habari ndugu zangu!

Nina mchumba wangu 23yrs na bado anasoma ila kinachonishtua ni kwamba matiti yake yamelala kama mama anayenyonyesha.

Ninampenda ila nilipomuuliza kama ameshatoa mimba amekataa.

Kuna sababu nyingine zinazoweza kumfanya mwanamke kuwa hivyo?
 
Ndio maumbile yake mkuu.....yapo madogo,XXXXL,saa 6 mchana,saa 6 usiku nk.
chaguo ni lako....
 
Ni chemicals zimekuwa nyingi siku hizi, ndio maana hata watoto wadogo unakuta wana maziwa....but pia wanaanza kufanya kale kamchezo mapema sana na siku hizi wanaona fasheni ni kunyonyoa hata visivyonyonywa
 
Amekujibu Kaunga kuwa inawezekana ni maumbile, maana pia wako waliozaa na wanaonyonyesha lakini pia matiti yao hayajaanguka. Kama umempenda na umeridhika na tabia zake we endelea nae tu usije ukamtafutia visababu na kujikuta unamchukia kwa kosa lisilo lake.
 
Last edited by a moderator:

mkuu comment zako huwa nazipenda sana!!! ubarikiwe!!!!
 
Last edited by a moderator:
Habari ndugu zangu!nina mchumba wangu 23yrs na bado anasoma ila kinachonishtua ni kwamba matiti yake yamelala kama mama anayenyonyesha.Ninampenda ila nilipomuuliza kama ameshatoa mimba amekataa. Kuna sababu nyingine zinazoweza kumfanya mwanamke kuwa hivyo?

Yaani wewe tatizo lako ni matiti tu? Je idara nyingine za huyu binti ziko sawa?
 
Mapenzi yako yapo kwenye maziwa?Ulikuta kitu kipo sealed?Kama sivyo achana na kutaka kujua maana ukimchunguza sana bata huwezi kumla.
 
haayo ni maumbile yake 2 wengine unakuta hata hawajanyonywa lkn kitu kimeisha kua lapa
 
haayo ni maumbile yake 2 wengine unakuta hata hawajanyonywa lkn kitu kimeisha kua lapa

hayaja nyonywa? anamiaka 23 yamelala tusidanganyane huyo alisha chomoa na amekamliwa vya kutosha..kuna jamii demu humgusi matiti kama huja muoa..
 
Nadhani pia mabadiliko ya mwili kama unene hivi yanachangia....unaweza kukuta wakati anavunja ungo alinenepa kiasi flani so na matiti yalikuwa yamejaa, anavokuja kupungua kadiri muda unavyoenda na mabadiliko ya kimaisha na lishe yanachangia kubadili umbo na mwonekano wa maziwa yake.

Ila nikutahadharishe tu kwamba usiwe mtu wa kuangalia mabadiliko ya kimaumbile, angalia sana mabadiliko ya kitabia. Maumbile yapo an yanabadilika, lazima ujiandae la sivyo utajikuta kila siku unamlalamikia.

LA muhimu zaidi, wewe binafsi upoje kimaumbile na kitabia? hujawahi kuona mabadikliko kwenye mwili wako? Kama urefu kuongezeka, unene, na kadhalika?

Ijapokuwa siwezi kukataa kwamba kuna sababu nyingine zilizochangie maziwa yake kuwa hivyo, nachelea kukubali kuwa yupo hivyo kwa sababu amepotoka kitabia na kwamba ametoa mimba. Inawezekana kabisa ni mabadiliko ya kimaumbile tu. Ukipenda boga, penda na ua lake.
 
Ni chemicals zimekuwa nyingi siku hizi, ndio maana hata watoto wadogo unakuta wana maziwa....but pia wanaanza kufanya kale kamchezo mapema sana na siku hizi wanaona fasheni ni kunyonyoa hata visivyonyonywa

Si kweli watu wa siku hizi wanawahi kuliko zamani! Zamani ukivunja ungo tu, ndoa tayari, hapo ni 11, 12 hadi 17 sasa utasema vipi siku hizi wanawahi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom