Sababu zipi zinasababisha chuchu za binti ambaye hajazaa kuanguka (yaani kuwa kama anayenyonyesha)?

mwanamke huwezi kupewa vyote hata wewe una kasoro sema hujajitambua mambo ya kawaida
 
Usihofu mkuu kama unampenda endelea nae, mbona dada zetu tunawachambua sana maumbile yao na ndio maana kuna wenye mawowo, miguu ya bia, macho ya paka, wenye dimpos n.k hivyo na yeye ni maumbile yake hayo tu usiogope
 
Umekula umeshiba na sasa unaanza sema, ohh mbona mboga haina chumvi. Shwali hilo linaashiria kuwa hukufanya home work yako vizuri. Ushauri wangu, hakuna mkamilifu ila ukiridhika naye unaishi naye hata akiwa na makengeza.
 
Hivi kutoa mimba kunaweza sababisha chuchu kulala au tunapiga ramli tu!

Mimi sidhani mtu akitoa mimba ya wiki moja au hata mwezi inaweza ingilia mfumo mzima wa chuchu
 
Habari ndugu zangu!

Nina mchumba wangu 23yrs na bado anasoma ila kinachonishtua ni kwamba matiti yake yamelala kama mama anayenyonyesha.

Ninampenda ila nilipomuuliza kama ameshatoa mimba amekataa.

Kuna sababu nyingine zinazoweza kumfanya mwanamke kuwa hivyo?

Mnunulie sidilia mwana
 
hayaja nyonywa? anamiaka 23 yamelala tusidanganyane huyo alisha chomoa na amekamliwa vya kutosha..kuna jamii demu humgusi matiti kama huja muoa..

tusidanganyane hapa matiti kulala haimaanishi eti alichomoa sana na kukamuliwa ni maumbile tu kwani , demu wangu alikuwa bikira na matiti yamelala kabisa.
 
Sababu nyingine ya kuanguka matiti ni kuvaa sidiria ambayo si size ya matiti ya mwanamke mhusika....sio mara zote yanakuwa yameshikwasjikwa.
 
Habari ndugu zangu!

Nina mchumba wangu 23yrs na bado anasoma ila kinachonishtua ni kwamba matiti yake yamelala kama mama anayenyonyesha.

Ninampenda ila nilipomuuliza kama ameshatoa mimba amekataa.

Kuna sababu nyingine zinazoweza kumfanya mwanamke kuwa hivyo?


Mkuu, kama yanakukera sana peleka kwa mchina..., yatakuwa my milk is standing ndani ya 24 hrs!
Hakuna kinachomshinda mchina...., kuanzia kuongeza ukubwa wa makalio, hips, matiti, kusimamisha matiti n.k!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom