1)mungu katuumba na kutuleta dunian tumtii na kufata maarisho yake na sio kufanya maasi kama alivyoyakataza.na aliahidi waovu wote makazi yao ni motoni.
2)shetani kikawaida yupo kwaajil ya kupotosha watu,mfn(ww afanyapo kosa sasa ivi usimlaumu mzaz lile kosa litahesaba ni lako na utahukumiwa ni ww)ndivo ilivo kwa adam wao walijua fika shetan ni mtu wa vishawish na he is exist,lkn shetan aliwazid akili ,kwaio kosa hapo si la alietuumba bali lihesabike kwa alielitenda.
3)Tunamtumikia mungu kwasaabu yy ndie alietuumba na kutupa pumzi ambayo leo hii tunaipumulia,tunakula na kutembea juu ya mgongo wa ardhi yake bila malipo yyt.
Iweje usifate amri zake ,tunafata amri zake kwani mafundisho yake siku zote yanafaida kubwa kwetu na makatazo yake ukiyachunguza basi jua yanamadhara makubwa mno kwetu.Pia tunamtii aliahid wote watakaomfuata maarisho yake na kumtii basi makazi yetu ninpeponi na si moton.
4)kama kuchoma moto ni his nature iweje mpk leo hii uko hai ww,kwanini hajakuangamiza mpk dakika hii ambapo kabla hukuandika thread ungekikua ushaangamizwa,hana ukatili uo kwani yy ndie aliekuumba na kukuwacha uwe hai mpk dakika hii hapa upo hapa jf.
5)hawez kamwe kukujib faceface kama ww ni nani kwa mfano.
Kumbuka sisi wanaadam wote tuko ktk majarbu hapa dunian,tukifanyacho ndicho tukijengacho huko akhera,
Ww unapokua chumba cha mtihani unaenda ww kama ww pale ndo inatizamwa akili yako kama utavurunda au utajenga ndipo sasa tulipo,tupo duniani tunaishi ishi tu majibu tunayo wenyew,sasa ni upto u.
mwisho wa siku mtihani wako uliopewa dunian kuujaza utahesabiwa na utalipwa kwa ulichokichuma.
6)dunia ni nzuri ila watu ndo waovu,umechoka kuishi usimlaumu aliekuumba umeletwa in exam fanya kilichokuleta ukivuruga ni ww ukijenga pia ni ww,kila mtu atakufa pekeake kama ulivokuja dunian pekeako ndivo utavoondoka.