Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Imani/dini havitumii akili.
Ukitumia akili yako huwezi kupata majibu.
Akili ya mwanadamu ina ukomo.
 
Kwenye biblia anaongea specific na waisraeli ...je sisi ni waisraeli? Na kwanini anapendelea taifa moja wakati tupo wengi.
Umejua kusoma na kuandika kwa kuwa tu neema ya maarifa haya ilimfikia mtu mmoja kwa mapenzi ya Mungu naye akajua kusoma then nawe ukafahamu.
Kitendo cha kujua tu kusoma wewe ni sawa na yule mwalimu wako wa kwanza ama zaidi hivyo wewe tayari ni kabila moja na mwalimu wako ktk ulimwengu wa elimu,mwaongea lugha moja,mwaelewana pote.
Mungu alipitia kwa wayahudi ili nasi tupate kuwa wayahudi kwa njia ya injili yake.Tumefanywa wamoja kwa njia ile moja tu ya neno lake.Angeamua kwenda kwa wafipa,wachaga,waarabu,wakongomani bali mapenzi yake alipitia kwa wayahudi.
Mungu anasema tusali sala ya baba yetu....yaani mapenzi yake yatimie.Tuyaue mapenzi yetu kwanza ili mapenzi ya Mungu yastawi ndani yetu.
Unapotoka na zawadi ukarudi nyumbani kwako waweza kumpa mtoto mmoja awagawe wenzio ama ukaanza kuwagawa mwenyewe ukianza na mmoja kwanza.
Mfumo wa elimu huanza na mmoja kisha makundi makundi kisha mihadhara hadi wote.
Hiyo ndiyo fomula iliyotumika na haina madhara.Hapa tz baadhi ya makabila hawakuwa na watu waliosoma hivyo walimu walitoka mbali wakawafikia wakawafundisha hadi leo nao wana walimu wanafundisha kwingine ilimradi tu wote tuwe sawa na Mungu ni hivyo hivyo.
 
Kwanz nianze na haya ndug mtoa mada:
1. unaamini uwepo wa uchawi/ushirikina/majini au waganga kuwa wanatibu?? Kam n YES...MUNGU yupo tena sanaaaa...Kam n NO ila weng huwamini shirik bas pia MUNGU yupoaaa kwel kwel
2.Ukitak kuijua dini vizur husifuate DHEHEBU wala DINI ila tafuta KWELI
3.Dini wala c kaz nzito/mzigo fulan mzito ila watekelezaj wake ndio huleta UGUMU mzito
4.Najua waamin SAYANSI na vingine ving tu vya NEWTON,GALILEO,DARWIN...waamin ila c vyote wavijua bali wafaham tu
5.Tafuta asili ya mwanadam...SAYANS au DINI kuna kimoja kitakujibu tu
6.Ishara unazo nying ktk mwili wako ambapo hakuitaji kuelezwa bali ww wajua kuwa kaz ya MUNGU hakuna awezaye
7.Hizi DINI zetu n nzur na zina ukwel ila waliozielewa wanatutaabisha sana sio kutuelewesha
HITIMISHO
mungu amekupa akili itumie,
ukifuata dini utakuwa TEAM DINI/MFIA DINI yaan sio muelewa bali MBISHI CAMP
Mwisho kabsa hakika ninyi yaan ww mtoa mada MUNGU hupenda kuwatumia coz mkimjua yy huwa mnaweza sana kuokoa watu wengne kwa wingi japo kuupata ukweli n kaz kidogo
 
Kama huamini kama yupo, na kama huyaamini kuwa anaweza fanya hayo uliyo na mashaka gani UTAWEZAJE KUMCHUKIA?
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way He is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mm nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa ntakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo. So im just keeping it real.
Usimchukie mungu ndugu yangu, mbona yeye anakupenda ndio maana amekupa njia za wazi kabisa ili kuwa pamoja na yeye,na akakuambia ili uwe na Mimi Fanya hivi,usiibe,tafuta cha halali,usizini ina maana tafuta Mke oa,usiseme uongo yaani kuwa mkweli,muheshimu baba na mama yako,mpende Jirani yako kama unavyojipenda,na mengineyo,kwa hiyo amekuwekea utaratibu wa kuwa pamoja na yeye,ili usiingie kwenye moto ambao ame uumba kwa ajili ya wakaidi na watukutu.
 
1....jehanamu iliumbwa kwa ajili ya ibilisi na malaika wake, ila wewe binadamu unapofanya matendo ya ibilisi yaani kuungana na ibilisi nawe unakuwa sehemu yake ibilisi....kumbuka hao malaika hata huyo ibilisi mwenyewe walikuwa malaika wa Mungu
Ndio mana mwenzio kauliza kwann akiweka ibilis ??? [emoji74] Napita 2.......
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way He is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mm nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa ntakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo. So im just keeping it real.
Kabla ujaelekeza lawama na usaliti juu ya huyu (Mungu) tunaye MUABUDU...

Ni vyema kuelekeza lawama zako na usaliti kwa WAZAZI wako wawili walio KUZAA..

Katika imani ya DINI nyingine tunafundishwa kuwa PEPO (Paradise) iko chini ya MIGUU miwili ya wazazi..

Jiulize lini au mara ngapi umeangukia na kunyenyekea kwa kumshika MAMA au BABA miguu yake miwili...

Jiulize na ujitafakari UPYA kwa kutazama ni kitu gani kilicho pelekea wewe kufikia UMRI ambao leo hii umegundua kutokuwa na IMANI ama UHITAJI wa uwepo wa Mungu...!

Mungu kupitia wazazi wako wawili ambao ndio dhamana katika malezi yako...amekusimamia na kukuwezesha KUKUA na KUJITAMBUA (jiulize wangapi wamekatiza MAISHA baada tu ya kuzaliwa) ajabu badala ya kupeleka lawama na chuki kwa WAZAZI ama WALEZI wako ghadhabu unamuelekezea MUNGU MUUMBA..

Acha kukufuru....
Kumbuka Mungu amemuumba ADAM..the rest (tulio baki wote) tumetokana na MANII/MBEGU ZA UZAZI..

Namuomba Mungu atuongoze tusiwe na KIBURI....

......aaamina.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom