Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

(1)Malaki 4:3 Nanyi mtawakanyaga waovu; maana watakuwa majivu chini ya nyayo za miguu yenu; katika siku ile niifanyayo, asema BWANA wa majeshi.
Fungu hili linaonesha Mungu atawaangamiza waovu,maana watakuwa majivu.

4)Ezekieli 18:23 Je! Mimi ninafurahia kufa kwake mtu mwovu? Asema Bwana MUNGU; si afadhali kwamba aghairi, na kuiacha njia yake, akaishi?
 
Mtoa Mada ana points ya msingi sana, ila sababu ya kufungwa na hisia za kidini aka wafia dini. Basi hutopata majibu mazuri but yaliyojaa hisia za kidini ambayo dini zenyewe zimekuja toka huko middle east na pale kwa mzee papa, Italy.
Dini zetu za asili hazikutufunza kuhusu hell, but only good things.
 
Huyu naye ni gt hivyo unapomjibu umjibu kwa reference za kibiblia maana inajitosheleza.
Mungu anasema hapendi hata mtu mmoja apotee bali wote waufikie uzima wa milele.......Tena anawaambia waisrael ambao hawakutii wakati ule akasema Ninawajaribu ili nipate kujua uthabiti wenu.
Imagine kwa watoto wako nyumbani kwako umewazaa ili baadaye uwatese?.Hapana unawapenda wote,unawatendea haki wote na wale wanaoumia ingawa ni wanao ni kwa sababu ya kukiuka,miongozo unayotoa kama baba laiti wangeifuata wasingeumia.
Ugumu wa mioyo yetu umetuingiza ktk mateso mengi duniani.Nchi nyingi duniani zinapigana vita wanauana kwa sababu tu ya ugumu wa mioyo yao (kutokutii kujua yaliyo mapenzi ya Mungu ili tuyafanye).
Mateso mengi ni zao la kutokutii miongozo mizuri.Mkinitii na kufuata amri zangu....mkifanya yaliyo mapenzi yangu hakika sitaangamiza nchi yenu.Kwa hiyo hapa utajua kuwa tumekosa utii mioyoni mwetu mbele za baba yetu(Mungu).
Anza mazoezi mema ya kufanya utii wewe umekiri kuwa ni muovu tayari kwa ishara hiyo tu wewe umeokoka maana Mungu anasema atakayenikana mbele za watu nami nitamkana......
Je wewe ukiwa baba wa nyumba unapenda watoto wako wakudharau?.Na kama hupendi unafanyaje kuleta nidhamu ktk nyumba yako?.Je unajisikiaje watoto wako wanapoishi kwa muongozo uutakao wewe?.Je hujawahi watisha wanao kuwa wakifanya jambo fulani baya watapatwa na balaa fulani (rejea hadithi za mafunzo kwa watoto) maishani mwao?.
Mungu ni upendo kwetu,Mungu ni upendo kwa wote,endelea kuamini uwepo wa Mungu hata kama ukifika ukamkosa huna hasara compared na kutokuamini uwepo wake then ukaenda ukamkuta.
Kwa maelezo yako naona hukufuru bali hii ndiyo njia yako sasa ya kumrudia Mungu na kushuhudia atakavyokubadilisha ili uwafundishe na wengine.
Nakutakia mubaraka mwema usome matayo 11:6.Imeandikwa anayo heri mtu yeyote asiye na mashaka nami asema bwana wa majeshi.Amina.
 
Mi siamini kama ipo jehanamu au siku ya mwisho. Ni uongo tu wa wazungu, ukifa utazaliwa tena
Mm pia mara nyingi nimekuwa nikiamini kuwa ukifa unazaliwa tena kwa mtu mwingne japo utakuwa hujitambui kuwa uliwahi ishi duniani,, ila hayo ni mawazo yangu naamini kuwa MUNGU anajua nisiyojua maana yeye ndo muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo
 
Mungu angetak kukuangamiza haitachukua hata sekunde,kuna sabab upo hai,..maumiv unayopitia mpaka umkufulu ivi yote yanakupeleka uko unakotakiwa ufike,kua na imani na tubu dhambi zako,Mungu atakuongoza,coz ni upendo,..jitaidi uwe MTU wa sala sana zitakusaidia
 
Mkuu,
Mwenyezimungu asingeweza kukuchoma jehanam bila ya kukuleta duniani kwanza. Cha kwanza alipokuleta akakupa akili na uwezo wa kupambanua zuri na baya,haki na batili. Akaleta mitume yake duniani yote ikiwa na lengo moja la kuwaelekeza watu wamjue yeye aliyewaleta na wamwabudu. Kuna mambo mengi ambayo ni miujiza tosha iliyopo mbele ya macho yako bila hata ya kusafiri useme nauli sina kama na Mimi ningeenda ulaya kuona ushahidi wa uwepo wa mungu. Mwenyezimungu amekupatia kila kitu afya,pumzi na ukiugua kwa uwezo wake utapona.
Mtake msamaha mungu kaa chini waone watu wenye elimu ya dini ya kutosha watakutosheleza kwa majibu ya maswali yako badala ya kukaa na maswali bila ya kuhangaika kwa makusudi ili uweze kuelewa wema wa Mungu.
Nakuombea kwa Mungu upate kumjua na kuondoa mawazo hasi juu yake.
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

Wafu wako katika hali gani?

JIBU LA BIBLIA: “Walio hai wanajua kwamba watakufa; lakini wafu, hawajui lolote kamwe, wala hawana malipo tena, kwa maana kumbukumbu lao limesahauliwa. Yote ambayo mkono wako unapata kufanya, yafanye kwa nguvu zako zote, kwa maana hakuna kazi, wala utungaji wala ujuzi wala hekima katika Kaburi, mahali unapokwenda.”*—Mhubiri 9:5, 10.

Kwa ufupi, Kaburi, ni mahali ambapo wanadamu huenda wanapokufa; na ni mahali pa mfano au hali ya kutotenda. Mwanamume mwaminifu Ayubu alielewa nini kuhusu Kaburi? Alipoteza mali zake zote na watoto wake wote kwa siku moja, na kupigwa na majipu yenye maumivu makali mwilini. Ayubu alimsihi Mungu hivi: “Laiti ungenificha katika Kaburi [“motoni,” kulingana na Biblia ya Douay Version ya Wakatoliki], kwamba ungenificha.” (Ayubu 1:13-19; 2:7; 14:13) Ni wazi kwamba, Ayubu alijua kwamba Kaburi si mahali penye moto wa mateso, ambapo angeenda kuteseka zaidi. Badala yake, alipaona kuwa mahali ambapo angepata kitulizo.
 
Bado una nafasi ya kuitafuta kweli zaidi.. Hujachelewa ila nnamini ipo siku utalia na Kuomba MUNGU akusaidie.. Ikiwa umeamka salama, smart phone mkononi na una afya njema kabisa na pengine una uhakika wa kula au kufanya chochote utakuwa na mawazo hayo.. Ni ulevi tu ulevi wa kipuudhi kabisa kujiona kuwa we ni zaidi ya wengi wanaoamini, ndio ulevi huo utakufanya uwaite wafia dini au jina lolote lile wale wanaoamini... Ila ipo siku na mda kwa mdomo wako na akili yako utamuita sana MUNGU walau ajidhihirishe kwako hta kwa dk moja.. Utakuwa pia umezungukwa na watu huku wakibubujikwa na machozi na dua zao zote zikielekezwa kwa MUNGU.. Hautakuwa na smartphone yako wala huku JF hawatojua kuwa unaexist tena ila itakuwa ni kati yako wewe na MUNGU wako... Sina neno sahihi la kukuelezea.. Lakini walau nimeweza ili kutimiza wajibu wangu kama mwanadam tu.. Kwaheri na MUNGU akubariki
 
Mungu hayupo. Angekuwepo kusingekuwa na shaka juu ya kuwepo kwake.
 
Wala usimchukie,tunavyovisoma huku duniani wala huko mbinguni hakuna,na wala mungu hana roho mbaya ya kumchoma MTU moto na wala shetani hakuna jiulize shetani awepo wa kazi gani,INA maana kama yupo basi wanatufanyia comedy,ukichunguza sana neno shetani limeletwa ili watu wapige hela tu hakuna lolote,wala haya madini hakuna,dini za kazi gani ilihali mungu yuko mmoja,au labda kama wapo wengi kila mungu na watu wake,we bwana okoyoko unachotakiwa ni kuamini kuwa mungu yupo na sababu ya kuwa mungu yupo ni kwa kuwa sisi binaadamu tupo,Nina imanisha kuwa ukiona simu basi kuna aliyeitengeza
 
Mungu hayupo so point zako ni invalid.

Kama yupo basi anavyosema ni mwenye rehema na upendo kuliko binadamu yeyote anatudanganya maana angekua nao dunia isingekua kwenye mess hii.

Ana paradox nyingi mno kiasi kwamba his own existence can't be possible in anyway. Anasema anajua yote yatakayokuja na yaliyokuwepo,hehe meaning story ya adam n eve ka ni kweli then anamlaumu eve bure tu maana yeye alijua wazi watakachokifanya na bado akaweka mti pale, kosa ni la kwake 100% ni sawa na mzazi kujua mtoto ukimpa wembe atajikata alafu unampa then anajikata unamtupia lawama na kumuongezea adhabu juu.

Siku nilipoachana na fix za dini akili ilifunguka, kuishi kwa uoga uoga tena hakuna, mtoto ukimjaza kitu utotoni anakishika kama kilivyo, acheni watoto wenu wakue then wachague, hamtobaki na mtu anayeamimi haya maduduwasha
 
Huyu naye ni gt hivyo unapomjibu umjibu kwa reference za kibiblia maana inajitosheleza.
Mungu anasema hapendi hata mtu mmoja apotee bali wote waufikie uzima wa milele.......Tena anawaambia waisrael ambao hawakutii wakati ule akasema Ninawajaribu ili nipate kujua uthabiti wenu.
Imagine kwa watoto wako nyumbani kwako umewazaa ili baadaye uwatese?.Hapana unawapenda wote,unawatendea haki wote na wale wanaoumia ingawa ni wanao ni kwa sababu ya kukiuka,miongozo unayotoa kama baba laiti wangeifuata wasingeumia.
Ugumu wa mioyo yetu umetuingiza ktk mateso mengi duniani.Nchi nyingi duniani zinapigana vita wanauana kwa sababu tu ya ugumu wa mioyo yao (kutokutii kujua yaliyo mapenzi ya Mungu ili tuyafanye).
Mateso mengi ni zao la kutokutii miongozo mizuri.Mkinitii na kufuata amri zangu....mkifanya yaliyo mapenzi yangu hakika sitaangamiza nchi yenu.Kwa hiyo hapa utajua kuwa tumekosa utii mioyoni mwetu mbele za baba yetu(Mungu).
Anza mazoezi mema ya kufanya utii wewe umekiri kuwa ni muovu tayari kwa ishara hiyo tu wewe umeokoka maana Mungu anasema atakayenikana mbele za watu nami nitamkana......
Je wewe ukiwa baba wa nyumba unapenda watoto wako wakudharau?.Na kama hupendi unafanyaje kuleta nidhamu ktk nyumba yako?.Je unajisikiaje watoto wako wanapoishi kwa muongozo uutakao wewe?.Je hujawahi watisha wanao kuwa wakifanya jambo fulani baya watapatwa na balaa fulani (rejea hadithi za mafunzo kwa watoto) maishani mwao?.
Mungu ni upendo kwetu,Mungu ni upendo kwa wote,endelea kuamini uwepo wa Mungu hata kama ukifika ukamkosa huna hasara compared na kutokuamini uwepo wake then ukaenda ukamkuta.
Kwa maelezo yako naona hukufuru bali hii ndiyo njia yako sasa ya kumrudia Mungu na kushuhudia atakavyokubadilisha ili uwafundishe na wengine.
Nakutakia mubaraka mwema usome matayo 11:6.Imeandikwa anayo heri mtu yeyote asiye na mashaka nami asema bwana wa majeshi.Amina.
Kwenye biblia anaongea specific na waisraeli ...je sisi ni waisraeli? Na kwanini anapendelea taifa moja wakati tupo wengi.
 
Back
Top Bottom