HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,669
Anza kuaanda mbingu yako mkuu ...ushakua mtu mzima na ufahamu wa kutosha jitegemee sasa.
Mungu yupo.Asingekuwepo kusingekuwa na hata mazungumzo ya uwepo wake.Mungu hayupo. Angekuwepo kusingekuwa na shaka juu ya kuwepo kwake.
Prove it!Pole mkuu kwa yalokukuta.
Ila mwenyezi Mungu hachukiwi, jifunze kumpenda kidogo kidogo kwan ndiye mwenye mamlaka
Mungu yupo.Na njia pekee Ni kuamini.Unapoanza kutumia akili yako kung'amua kila kitu it turns to be a paranoid.Because we just can't explain God.Its beyond human intelligence.Mungu hayupo so point zako ni invalid.
Kama yupo basi anavyosema ni mwenye rehema na upendo kuliko binadamu yeyote anatudanganya maana angekua nao dunia isingekua kwenye mess hii.
Ana paradox nyingi mno kiasi kwamba his own existence can't be possible in anyway. Anasema anajua yote yatakayokuja na yaliyokuwepo,hehe meaning story ya adam n eve ka ni kweli then anamlaumu eve bure tu maana yeye alijua wazi watakachokifanya na bado akaweka mti pale, kosa ni la kwake 100% ni sawa na mzazi kujua mtoto ukimpa wembe atajikata alafu unampa then anajikata unamtupia lawama na kumuongezea adhabu juu.
Siku nilipoachana na fix za dini akili ilifunguka, kuishi kwa uoga uoga tena hakuna, mtoto ukimjaza kitu utotoni anakishika kama kilivyo, acheni watoto wenu wakue then wachague, hamtobaki na mtu anayeamimi haya maduduwasha
Wewe umezidisha kufuru ndio maana unajiona hauko free kufanya madhambi makubwa kuliko ulio kua nayo .Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.
1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)
2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?
3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?
4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way He is and we have to live with it.
5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.
6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mm nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.
Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa ntakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo. So im just keeping it real.
Mungu yupo.Na njia pekee Ni kuamini.Unapoanza kutumia akili yako kung'amua kila kitu it turns to be a paranoid.Because we just can't explain God.Its beyond human intelligence.
Hatuwezi tukazungumzia intelligence iliyotuumba,hatuwezi tukamjadili Mungu Kama specimen.Mungu aliyeumba the universe.Universe Ina Kama galaxies trillion mbili! ambazo technology ya mwanadamu inaweza ikaona,ziko zaidi.Na galaxy yetu Ina mpaka nyota billion 400 na zaidi labda,na Kama sayari billion 100.Galaxy yetu Ina mpaka solar systems 500 na zaidi zinagundulika.
Sisi binadamu kwenye solar system yetu yenye sayari nane na satellites au miezi Kama 150 hivi na nyota moja(jua)…tunathubutu kusema Mungu hayupo?
KABISAMkuu nadhani hata shetani anakuigopa kwa mawazo yako hayo
Ndo maana tunaishi kama yeye heri ya jana mbele Moto nyuma Moto sukari 3000 unga 2500 hela hakuna kazi hakuna biashara hazitokiMpende sana shetani wala usimwache, yeye hana double standard, ni mzuri na ana upendo wa dhati kwa watu wake
Pole sana, ila pia bidii hiyo hiyo ya chuki kwa Mungu ungewekeza katika kumpenda ingewezekana pia. Ila kwa kuwa ume-comply na pando la adui niseme tu kuwa Yesu Kristo akutokee kipekee sana ili "UUONE MKONO WA BWANA KATIKA NCHI YAO WALIOHAI" na dhambi inayokutaabisha ilishindwa msalabani, ni wewe tu kuamua kuambatana na huyo aliyeishinda dhambi au kuendelea na huyo anayepanda dhambi.Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.