a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 3,498
- 3,994
INJILI ZA KILEO
zimemtengeneza tafsiri ya Mungu inayoendana na matakwa yao na tamaa zao za mwilli,yaani Mungu wa aina mpya kwa sura ya Mungu atakayewachukuliana na dhambi zao bila kuwa adhibu,mwenye neema nyingi hata kama mtu ataendelea kudumu katika dhambi bila kuwa na lengo la kutubu na kuiacha ,hata kama ataendelea kutenda dhambi kwa makusudi bila ya kuwa na nia ya kuiacha dhambi hiyo basi huyu MUNGU waliomtengeneza ataendelea kuwapa neema ,na kuwavumilia bila kukasirika ,Mungu mwenye upole ,asiyewarudi na mwenye kuwavumilia tu ,tofauti na yule Mungu wa agano la kale.
Wengi wanaupenda upande mmoja tu wa Mungu wa neema na rehema,na upole wengine wanaenda mbali mpaka wanafikia kuhalalisha dhambi kama ulevi,mapambo,uzinzi na ndoa za wake wengi na kuanza kusema hizo eti sio dhambi,?
wengine wamefikia hata kusema hakutakuwa na hukumu ya jehanamu ya moto kwa watenda dhambi,kwa vile akilini mwao wamemtengeneza Mungu upya ambaye ni mpole asiye na hasira anayevumilia dhambi kama baba mpole sanaa asiye adhibu wakosaji..kwamba haiwezekani awachome moto watoto wake hata kama watadumu katika dhambi bila kuwa na nia ya dhati ya kuziacha dhambi zao. yani wanamtengeneza Mungu ambaye hachukii dhambi ila ni mwingi tubwa rehemaa na NEEMA.
na wanajificha kwenye kichaka cha NEEMA kwa kusema tu ,tunaokolewa kwa NEEMA ,yani ni neema ,tu hakuna mkamilifu,kwanza Mungu haangalii matendo ana tupa tu neema tu...yani ni KWA NEEMA TU ..YANI NEEMA TU IPO TU NYINGI TU .
Wasichokijua
Si sahihi kuipungukia NEEMA ,kwa kudumu katika dhambi kwa kuwa eti kuna Neema ,ili neema izidi kuwa nyingi.
na hii Neema inatufundiasha kuukataa UOVU.
lakini Mungu ni yule yule jana leo ,kesho na milele hajabadilika,Mungu habadiliki
Upande wa pili wa Mungu kama BABA mkali mwenye hasira ,mwenye ghadahabu,anayechukia uovu,baba anayewarudi awapendao kwa FIMBO kama mchungaji wa kondoo anayewarudi kondoo wake kwa fimbo na gongo kwa ajili ya shetani ,ila fimbo kwa ajili ya mtoto.