Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Ikitokea kwa bahati mbaya kuwa kuna Mungu, basi itampsa Mungu awaombe watu msamaha kwa udhaifu wa uwepo wake ambao ni uharibifu mtupu.

Mungu yupo Mkuu sema hakuna aliyewahi kumuona.
Si Shetani si malaika wote hawamjui wala hawajawahi kumuona ndio maana hafananishwi na çhochote ila yupo.

Shida ni kwamba watu hudhani wakifika huko mbinguni watamuona Mungu kumbe wanajidanganya. Shetani mwenyewe hajawahi kumuona ndio maana akamkadiria nguvu zake akidhani atashinda matokeo yake ndio haya.

Hata ukisoma katika kitabu cha historia ya wayahudi kiitwacho Biblia. Utaona Nyoka akimdanganya Hawa kuhusu kufanana na Mungu ambaye Shetani mwenyewe Alitamani kufanana naye. Hawa anaingia tamaa ya kutaka kuingia katika daraja la juu lisilo na mfano yaani lisilo onekana. Yaani Mungu aliyeumba kila kitu.

Hivyo kijana acha kuhangaika kubisha vitu ambavyo huvijui. Ni bora ukae kimya. Lakini simanianishi upelekwe pelekwe na ngonjera za Hawa watu wanaojifanya wanajua kumuelezea Mungu wakati hata waliowapa hizo habari hawamjui. Hata manabii hawamjui. Hata waliowapa ufunuo manabii yaani Malaika hawamjui. Hata huyo wanayemuita Shetani hamjui huyo Mungo japo anatambua kuwa yupo na nmheshimu.

Kwa ufupi hakuna anaemjua Mungu. Hakuna aliyewahi kumuona. Kama Shetani angebahatika kumuona Mungu asingeshindwa kuvujisha jinsi alivyo.

Kilichotokea mbinguni ni kugombania Mamlaka baina ya viumbe waishio huko ambako wanadamu Kwa lugha zao hukuita Mbinguni.
 
Mim ni mwana science,Ulimwengu una aproximately bilion 900 za galaxies,dunia hii tuliyomo ipo kwenye moja ya galaxies hizo,inaitwa milky way,.galaxies hiz zina nyota zake,(JUA LETU,ni moja ya nyota)..ukubwa wa galaxy ndio una determine uwingi wa nyota,..mfano galaxy yetu ina nyota zake nying tuu moja wapo ndo hili jua,hii tena ni nyota ndoogo saana ambayo,(jua ni kubwa kuliko dunia mara milion1),galaxy yetu ni moja ya galaxy ndogo saaaana.kuna galaxy zenye nyota zaid ya 10,..so kila nyota hubaatika kuzungukwa na sayari,mfano nyota yetu jua inazungukwa na sayar zijulikanazo ambazo ni almost 9,sayari hizi zina miaka bilion na ma bilioni,mfano sayar yetu dunia ina miaka almost 4.5bilion na ni sayar ndoogo sana kulinganisha na hizo zilizoko kwenye galaxies zingine..sasa mifumo yooote hii inalindwa na nguvu za asili ambazo inazifanya zi balance bila kuingiliana ama kuleteana mushker zenyew kwa zenyew,..nikimaanisha zna self control ambayo iko systematic.,na well balanced..kwa sayansi hii peke yake,inakupa kitu,..ok tuje kwa viumbe,tukiacha wanyama wengne na mimea na bacteria na virus na wadudu wengne amba wana mifumo yao,..kila binadam umuonae dunian hapa ana kitu kwenye seli yake kinaitwa DNA,..cha ajab kila bnadam ana aina yake pekee ya hii kitu,yan huwez fanana na mwenzio,..tuko bil.7,kila mtu ana take pekee,na mifumo yetu ya mwili iko systematic,moyo ,ubongo,mapafu,damu,mifupa etc,..hii pia ni vilevile kwa mimea na wanyama na wadudu,..pia tukija kwa vitu ambavyo sio viumbe hai,ni same thing,kila rock/miamba ina identity yake pekee.so..kwa science hii kubwa na uwezo huu mkubwa,..Mungu wa ukweli ambae huenda sio huyu tunaefundishwa au kusikia ambae kwa mafundisho yaliyopo yanamfanya awe kama wa kawaida i mean kama bnadam vile,na ndomana kunakua na controversies nying watu wanakua hawaelew, hii ni very wrong,..Huyu alietuumba ,yan original Creator of all atakua anatushangaa sana.tunahangaika inshort...huyu creator ni very powerful,na science yake na phylosophy yake si ya kitoto,hana kwanza mda wa ku kedeal na mihemko ya watu wasio elewa au niseme kaumba kila kitu kiwe na self control kwasabab hakupenda kumuingilia mtu.so haya tunayo experienc ulimwenguni ni matokeo ya the life we choose n decide by ourselves,mfano,kufa,kuzaliwa,ulemavu,njaa,shibe,..etc n thts y leo hii ukiamua kujitoa dunian ,u can do tht,or kusitisha maisha ya mtoto alie tumbon,u can do tht.so doctrine aliyonayo the creator of all,ni kuubwa kuliko unavyodhani,.na projects anazozifanya the creator(We call him GOD) ni huuge ambazo haziko kwenye upeo wa mwanadamu.so The creator hajaumizwa na alichoandika huyu bwana sabab anajua hafaham the truth..The creator hana mda wa kumchoma mtu or sjui nin,sjui jehanam,etc na story nyiing za uongo,he created,n the creation goes on and on and on kwan sis wenyew we do sub creations humu humu ulimwengun...niishie hapo,kuna meng sana
Mkuu kwanza nikupongeze kwa huu mtiririko wako.Naona umegusa Big Bang na ukapita mulemule, kila ulichosema ni kweli.

Kwa haya maelezo yako, moja kwa moja umepingana na uwepo wa Personal GOD.Mungu anayedhaniwa kujua hadi idadi ya nywele zetu pamoja na kutuona kwenye privacy zetu na kurekodi tuyafanyayo ili siku ya mwisho aje atuulize kwanini tuliyafanya.Ni Mungu ambaye yupo interested sana na maisha ya watu.Huyu Personal God ambaye ndiye Mungu anayehubiriwa na dini zote, kimsingi tunaweza kumwita Mungu mnoko.

Lakini pia naona unaonesha kuamini uwepo wa 'Einsteinian GOD' Mungu ambaye ndiye source na creator wa kila kitu na akishaumba hana haja ya kuja kudili na viumbe vyake tena. Sasa nina maswali machache juu ya huyo 'Mungu wako'.

1.Je ni Mungu mwenye consciousness? yaani anajua kwamba sasa hivi naumba kitu fulani na kwa ajili ya jambo fulani?
2.Je ni nini chanzo cha huyo Mungu?

3.Nini lengo la huu uumbaji wake?

4.Kuna ushahidi gani wa uwepo wa huyo Mungu?

5.Huoni kwamba idea ya uwepo wa The Creator ni maelezo ya wanasayansi waliyoyatengeneza kwenye fikra zao ili iwe kama jibu pindi waulizwapo nini chanzo cha universe? Mimi nadhani kusema kwamba kuna The Creator ni alternative scientific answer ya swali linalouliza nini chanzo cha ulimwengu baada ya lile jibu la 'mythological Personal God' kutoku-appeal kwenye akili za scientists?
 
Ukiona watu wanaanza kuhoji na kuchukua tahadhari za namna hii, ujue IQ za watu zinaongezeka.
Tuendako taifa litakuwa na watu makini wasio laghaiwa kirahisi kwa mawazo mfu kama vile uwepo wa Mungu.
Hata kama Mungu angekuwepo angeshajinyonga kwa aibu.
Yaani umenishinda tabia.[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Kama havina uwiano sasa dini kibao za nini? Hizo imani za uwepo wa Mungu zinaanzia wapi? Wanaojifanya wanaelewa si wamesoma?Kama uliwahi kuona muislam anasoma semonari,basi dini na imani ni tofauti
Kaka unatesa watu wegi humu ambao walikalilishwa imani zao......hayo maswali yote yemesha jibiwa ktka kitabu tatakatifu Qurhani. huko sahihi amna mungu hapaswi kuabdiwa Isipo kuwa "Allah" kunatofuati ya Mungu unae manisha na Allah (swt) kwa reference zaidi njoo pm
 
Mungu yupo Mkuu sema hakuna aliyewahi kumuona.
Si Shetani si malaika wote hawamjui wala hawajawahi kumuona ndio maana hafananishwi na çhochote ila yupo.

Shida ni kwamba watu hudhani wakifika huko mbinguni watamuona Mungu kumbe wanajidanganya. Shetani mwenyewe hajawahi kumuona ndio maana akamkadiria nguvu zake akidhani atashinda matokeo yake ndio haya.

Hata ukisoma katika kitabu cha historia ya wayahudi kiitwacho Biblia. Utaona Nyoka akimdanganya Hawa kuhusu kufanana na Mungu ambaye Shetani mwenyewe Alitamani kufanana naye. Hawa anaingia tamaa ya kutaka kuingia katika daraja la juu lisilo na mfano yaani lisilo onekana. Yaani Mungu aliyeumba kila kitu.

Hivyo kijana acha kuhangaika kubisha vitu ambavyo huvijui. Ni bora ukae kimya. Lakini simanianishi upelekwe pelekwe na ngonjera za Hawa watu wanaojifanya wanajua kumuelezea Mungu wakati hata waliowapa hizo habari hawamjui. Hata manabii hawamjui. Hata waliowapa ufunuo manabii yaani Malaika hawamjui. Hata huyo wanayemuita Shetani hamjui huyo Mungo japo anatambua kuwa yupo na nmheshimu.

Kwa ufupi hakuna anaemjua Mungu. Hakuna aliyewahi kumuona. Kama Shetani angebahatika kumuona Mungu asingeshindwa kuvujisha jinsi alivyo.

Kilichotokea mbinguni ni kugombania Mamlaka baina ya viumbe waishio huko ambako wanadamu Kwa lugha zao hukuita Mbinguni.
Kama unasema hakuna aliyewahi kumwona wala kumjua Mungu, ni kwa nini watu wanamwabudu Mungu?
 
Jamani naombeni niseme ivi,mnataka kujua kua tunachezewa akil na huyu mtu,nenden google then mkaandike hiko kichwa cha habar cha huo uzi ndio mtajua kua kafanya copy paste, kufurahisha jukwaa,tangu 2013 io topic ililetwa,na 2016 pia ililetwa mpk ktk magazetin, sasa sjui nani anamlisha ayo matango.

Kama una hakika na unayoongea, naomba i-tag habar unayodai nimecopy na kupaste hlf uilete hapa jukwaani kila MTU aione, Usihukumu watu bila evidence, hlf mbaya zaidi unasema uongo mchana kweupe Arabian queen
 
Hii mada sijaiandika nikiwa under stress, hayo mawazo sikuanza kuwa nayo Leo, mm huwa na-question vi2 vingi ninavyoona na kuvisikia. Nia yangu si kumwandika Mungu kiboya, Bali ni kuujua ukweli halisi wa mambo.

Wewe mwenyewe kwa juu juu unaweza kujiona kuwa unampenda, unamuogopa, na unamuheshimu Mungu, lakn ukijichunguza vizuri matendo yako, hayaendani na huyo unaempenda..

Honestly nijibu, kama kweli unampenda na kumuheshimu Mungu asilimia ngapi ya muda wako kwa kila wiki unaitumia kumwaza Mungu? na mambo ya mbinguni? Sana sana utakachokuwa unawaza ni mambo ya hapa duniani, lyk kufanikiwa kipesa, kuolewa, ngono etc..

Maybe ulinielewa vibaya along the way, Mimi simchukii Mungu (coz hakuna baya kubwa ambalo amenifanyia) ila tu simpendi (partly because kuna vitu kuhusu yeye ambavyo sijavielewa) na najitahid kutafta ukweli halisi kuhusu yeye, nimjue zaidi.

Pia mm ni mtenda dhambi wa kukusudia Mara kwa Mara so siwez ku-claim kuwa nampenda Mungu, huo utakuwa ni uongo joanah
HAUWELEWEKI KWA LANA ZA MUNGU ULIZO BIGWA NAZO NA MUNGU
 
Pole sana umeonekana kukata tamaa na maisha yako unahitaji kupata msaada wa kiroho, Kwa haya ulioandika ni ushuhuda tosha Mungu bado anakupenda na anamakusudi yake na wewe. Jaribu kuomba Mungu akufunulie kusudio lake yeye kukuleta duniani, kama Mungu angekuwa hana upendo na wewe kwa dhihaka ulioandika angesha kuadhibu vibaya, Jambo moja jua Mawazo ya Mungu hayachunguziki. Mungu anasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa na wewe ni mmojawapo unaelekea kuangamia usipo mtafuta Mungu kwa bidii kupitia neno lake jawabu la kila kitu lipo kwenye BIBLIA isome muombe akufungulie atakuokoa na hii laana ya kutomuamini, Kwa jina la Yesu Kristo na kwa damu yake ya thamani ikusafishe dhambi zako na kukufungua uokoke kabla shetani hajakuangamiza.amen
 
HILO SIYO FUNDISHO LA BIBILIA:-

Kwani biblia inafundisha wazi wazi kwamba hakuna moto wa mateso ambapo mtu mwovu huteswa milele

Nitatoa majibu baadae kidogo

Asante
 
Kama una hakika na unayoongea, naomba i-tag habar unayodai nimecopy na kupaste hlf uilete hapa jukwaani kila MTU aione, Usihukumu watu bila evidence, hlf mbaya zaidi unasema uongo mchana kweupe Arabian queen
Sinaga tabia ya uongo as how u did for the one who created u.

Naomba wanajf wotee wanaitambua google waende wakagoogle alaf waje waseme wenyewe hapa.
 
Mtoa mada ndani ya siku chache utakufa. Tafuta mtu wako karibu aje atupe TANZIA yako. Usimjaribu Bwana Mungu na Muumba wako. Naona unachokitafuta utakipata tu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mtoa mada ndani ya siku chache utakufa. Tafuta mtu wako karibu aje atupe TANZIA yako. Usimjaribu Bwana Mungu na Muumba wako. Naona unachokitafuta utakipata tu.

hatakufa kwa sababu anania ya kujifunza, Mungu atampa upeo ili ajue moyo wake utakacho, Mungu anawapenda watu wanaofikiri na kujaribu kumuwazia yeye na kwa hao hujitokeza na kuwafundisha maana wanao moyo wa kutafuta maarifa
 
Humpunguzii wala humuongezei chochotee
Inalillah Waina Ilayhi Rajiuna
 
Pole sana umeonekana kukata tamaa na maisha yako unahitaji kupata msaada wa kiroho, Kwa haya ulioandika ni ushuhuda tosha Mungu bado anakupenda na anamakusudi yake na wewe. Jaribu kuomba Mungu akufunulie kusudio lake yeye kukuleta duniani, kama Mungu angekuwa hana upendo na wewe kwa dhihaka ulioandika angesha kuadhibu vibaya, Jambo moja jua Mawazo ya Mungu hayachunguziki. Mungu anasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa na wewe ni mmojawapo unaelekea kuangamia usipo mtafuta Mungu kwa bidii kupitia neno lake jawabu la kila kitu lipo kwenye BIBLIA isome muombe akufungulie atakuokoa na hii laana ya kutomuamini, Kwa jina la Yesu Kristo na kwa damu yake ya thamani ikusafishe dhambi zako na kukufungua uokoke kabla shetani hajakuangamiza.amen

Sijaandika haya kwa nia ya kumdhihaki Mungu ila tu najarib kujua ukweli kuhusu yeye. Sina shida kuhusu uamuzi wa kutubu dhambi na kuokoka, ila tu kuna vitu kuhusu yeye inabidi nivijue, huenda nitaokoka. Coz mm kiukweli ni mtenda dhambi lyk I recklessly meddle with sin, hlf Nina moyo mgumu kweli ila I hope in the future nitapata majibu ya haya maswali enoah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom