Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Mkuu nikusahihishe kidogo hapa shida ni uelewa wako mdogo.

Maisha yana mwendelezo huwa hayafiki mwisho kwanza kabisa huu mwili ukioza huanza maisha katika viumbe wengine huzaliwa (kuenguliwa) wadudu n.k na hii ndiyo hutupa picha halisi kuwa maisha huendelea Roho haifi inamwendelezo
Yawezekana mkuu, ila kuna miili ambayo huhifadhiwa kwa muda mrefu sana bila kuoza kwa ajili ya kumbukumbu za vizazi na vizazi. Vipi watu hawa wao maisha yako ndio yanakuwa yameishia hapo?
 
Kajinga sa
Shetani akiwa anazungumza utamjua tu, wala hupati shida.

Mleta uzi unaonekana wewe ni mkatoliki na mafundisho ya dini uliyapata vyema sema umeamua kumwacha Mwenyezi Mungu na kumfata shetani akutumie na atakutumia vizuri tu, ila kumbuka shetani ana mtindo mmoja anakutumia weee then at last anakuacha kwenye ditch.

Ukisoma sentesi yako ya nne, nanukuu
"Dear god,ni kweli siku ya mwisho umepanga kuchoma watu moto
emoji28.png
emoji28.png
.?Et kwa sababu hawakutenda mema?Kwani baba mungu hukujua kwamba hawatatenda mema?We si naskia unatujua hata kabla hujatuumba?.
"

Hapo nilipopaBold panafanana kama na yule nyoka kule bustanini Eden alipokuwa akimdanganya Eva.

Trust me or not a DEVIL is talking inside you. tafuta mtumishi wa Mungu popote alipo akuombee ikibidi akumwagie na maji ya baraka utakuwa sawa kwa imani.

Mwenyezi Mungu akurehemu
a haka kajamaa
 
Atheists wametulia, sisi tunahangaika na visivyoonekana .Mwanzo wa vyote upo ila pambana na vinavyoonekana
 
Mkuu nikusahihishe kidogo hapa shida ni uelewa wako mdogo.

Maisha yana mwendelezo huwa hayafiki mwisho kwanza kabisa huu mwili ukioza huanza maisha katika viumbe wengine huzaliwa (kuenguliwa) wadudu n.k na hii ndiyo hutupa picha halisi kuwa maisha huendelea Roho haifi inamwendelezo
Ninaiona mantiki yako mkuu. Asante kwa kunifungua zaidi. Pia, kwa upande mwingine, umenipa tafakari zaidi.

Bado ninarudi kutafakari zaidi roho ni nini. Ikiwa mimi nitatangulia mbele za haki kabla ya wazazi walionileta duniani, basi nitakuwa ninaendelea kuishi kupitia wazazi wangu kwa kuwa roho zao bado zinaishi. Si ndivyo mkuu?

Kwamba, watoto ni mgawanyo wa roho ile ile. Kwamba roho ni mwendelezo na hazijitegemei. Mzazi anapopoteza mtoto, kwa kiasi fulani amepungukiwa roho?

He, roho siyo "independent" na Kwamba haina ukomo kulingana na kitu kilivyo?

Kwamba, tembo ataendelea kuwa tembo had I atakapokufa. Mdudu ataendelea kuwa katika Bali ya mdudu had I atakapopoteza uhai. Binadamu hali kadhalika.

Yani hata viumbe visivyo na uhai vina roho na roho yao ni Bali ya kutokuwa hai. Ni utimamu unaoelezea uwepo wake.

Binafsi, kwa lugha nyepesi mno, ninaifahamu roho kama uwezo wa kufanya kazi kukingana na namna kiumbe kilivyo.

Roho ya binadamu ni hali ya nguvu inayomfanya aendelee kuwepo na ku-function kama kiumbe hai. Hii ni pamoja na kuwa na akili tofauti na viumbe wengine.

Ninakukaribisha ndugu tuendelee kutafakari.
 
Mungu husamehe saba mara sabini,badili msimamo Mungu anakupenda na anatupenda sote.
Kwani hujui ulitendalo badili mawazo ndugu.
 
Mim ni mwana science,Ulimwengu una aproximately bilion 900 za galaxies,dunia hii tuliyomo ipo kwenye moja ya galaxies hizo,inaitwa milky way,.galaxies hiz zina nyota zake,(JUA LETU,ni moja ya nyota)..ukubwa wa galaxy ndio una determine uwingi wa nyota,..mfano galaxy yetu ina nyota zake nying tuu moja wapo ndo hili jua,hii tena ni nyota ndoogo saana ambayo,(jua ni kubwa kuliko dunia mara milion1),galaxy yetu ni moja ya galaxy ndogo saaaana.kuna galaxy zenye nyota zaid ya 10,..so kila nyota hubaatika kuzungukwa na sayari,mfano nyota yetu jua inazungukwa na sayar zijulikanazo ambazo ni almost 9,sayari hizi zina miaka bilion na ma bilioni,mfano sayar yetu dunia ina miaka almost 4.5bilion na ni sayar ndoogo sana kulinganisha na hizo zilizoko kwenye galaxies zingine..sasa mifumo yooote hii inalindwa na nguvu za asili ambazo inazifanya zi balance bila kuingiliana ama kuleteana mushker zenyew kwa zenyew,..nikimaanisha zna self control ambayo iko systematic.,na well balanced..kwa sayansi hii peke yake,inakupa kitu,..ok tuje kwa viumbe,tukiacha wanyama wengne na mimea na bacteria na virus na wadudu wengne amba wana mifumo yao,..kila binadam umuonae dunian hapa ana kitu kwenye seli yake kinaitwa DNA,..cha ajab kila bnadam ana aina yake pekee ya hii kitu,yan huwez fanana na mwenzio,..tuko bil.7,kila mtu ana take pekee,na mifumo yetu ya mwili iko systematic,moyo ,ubongo,mapafu,damu,mifupa etc,..hii pia ni vilevile kwa mimea na wanyama na wadudu,..pia tukija kwa vitu ambavyo sio viumbe hai,ni same thing,kila rock/miamba ina identity yake pekee.so..kwa science hii kubwa na uwezo huu mkubwa,..Mungu wa ukweli ambae huenda sio huyu tunaefundishwa au kusikia ambae kwa mafundisho yaliyopo yanamfanya awe kama wa kawaida i mean kama bnadam vile,na ndomana kunakua na controversies nying watu wanakua hawaelew, hii ni very wrong,..Huyu alietuumba ,yan original Creator of all atakua anatushangaa sana.tunahangaika inshort...huyu creator ni very powerful,na science yake na phylosophy yake si ya kitoto,hana kwanza mda wa ku kedeal na mihemko ya watu wasio elewa au niseme kaumba kila kitu kiwe na self control kwasabab hakupenda kumuingilia mtu.so haya tunayo experienc ulimwenguni ni matokeo ya the life we choose n decide by ourselves,mfano,kufa,kuzaliwa,ulemavu,njaa,shibe,..etc n thts y leo hii ukiamua kujitoa dunian ,u can do tht,or kusitisha maisha ya mtoto alie tumbon,u can do tht.so doctrine aliyonayo the creator of all,ni kuubwa kuliko unavyodhani,.na projects anazozifanya the creator(We call him GOD) ni huuge ambazo haziko kwenye upeo wa mwanadamu.so The creator hajaumizwa na alichoandika huyu bwana sabab anajua hafaham the truth..The creator hana mda wa kumchoma mtu or sjui nin,sjui jehanam,etc na story nyiing za uongo,he created,n the creation goes on and on and on kwan sis wenyew we do sub creations humu humu ulimwengun...niishie hapo,kuna meng sana
 
Mkuu kwanza niseme umeeleza vzr,

Yapo mambo kadhaa ambyo yanapaswa kunyoshwa kidogo

Kwanza dunia hii haina umri wa 4.5b may be useme umetumia vipimo vip kujustfy hlo au umetumia kipimo cha carbon 14?

Pili kizazi hiki hakizaliani tu bila ukomo, kunasiku lazima ukomo utakuwepo, kwa sabb HIM(GOD) AMESEMA

kanuni ipo hivi

Ukwel+ukweli=ukwel
Uongo+ukwel=uongo
 
stress ni mbaya mno. kwa wote mnaemuhukumu mtoa mada mjue tu kwamba mnakosea, hayuko sawa kabisa huyu jamaa.
 
Mi siamini kama ipo jehanamu au siku ya mwisho. Ni uongo tu wa wazungu, ukifa utazaliwa tena
Duuh,kwa hiyo mkuu wewe ulikuwa nani kabla hujazaliwa kuwa huyo uliye sasa?Je unaushahidi kwa mfano Hitler alikuwa,sasa yule aliyezaliwa kutoka kwa Hitle hao waliokuambia ukifa unazaliwa tena walishawahi kukuonyesha?
Ungetuletea list za marehemu na wale waliozaliwa tena kama unavyoamini labda tungefikiria ukweli wa unachoakiamini lakini kwasasa hizo ni story tu.
 
Ukiisha kuonana na Mungu uso kwa uso na kumweleza hasira yako na duku duku ulilonalo usisite kurudi hapa jamvini kuja kutupa mrejesho! By the way asemalo mtu kwa kinywa chake ndilo lililoujaza moyo wake hivyo nakutakia mafanikio ya kiwango cha juu kwenye jeshi lako la ndugu shetani, perhaps utapewa u-brigadier huko!
 
Na mimi nina wasiwasi huenda simpendi mungu unajua kwa nini hataki kimtia adabu kiongozi wa wang'oa kucha mtupa mili ya watu waliouliwa .watekaji na wote wati wasiojurikana.
 
Mleta mada wengi wanaokujibu hawajui chanzo cha dini zimetoka wapi.
Hivyo wanaishia kutumia hisia kukujibu kutokana wazazi wao ndo wamewafundisha kutokuhoji.

Majibu ya watu humu nimeamini kweli dini ni chanzo cha umasikini africa.
 
Mleta mada wengi wanaokujibu hawajui chanzo cha dini zimetoka wapi.
Hivyo wanaishia kutumia hisia kukujibu kutokana wazazi wao ndo wamewafundisha kutokuhoji.

Majibu ya watu humu nimeamini kweli dini ni chanzo cha umasikini africa.
Kwanini iwe chanzo cha umasiki africa wakati hatuongozi nchi zetu kwa kutumia dini?
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way He is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mm nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa ntakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo. So im just keeping it real.
Hujafika hata robo ya aliyopitia Ayubu halafu unalalamika hivyo...

Sasa hv uumzima mpaka upo jamii forum, kuna watu wako ICU wanaomba wapate muujiza walau wa kuwa kama wewe.

Mshukuru sana Mungu kwa namna ulivyo, wakati ulionao ni sasa. Na katika kumshukuru huko ndiko baraka hushuka. Yamkini kuna fursa kibao hapo ulipo sema shetani amekuziba macho usizione ili maisha yawe magumu ili uendelee kumkufuru muumba wako.
 
Waweza fikiri ni sifa mbele za watu kuzungumza haya, Mwisho wa siku hatima ya maisha yako yako mikononi mwake. Without asking for God presence this life feels so empty even if u have all the "material richness".

Mark my word as we continue to live in this life u will come realize that nothing in this life will quench ur thirst until you come across the LIVING WATER(Jesus Christ).

Hi members,

Kimsingi namchukia sana mungu kwa sababu ama maswali yafuatayo ambayo yanaacha utata.Niseme tu kwamba mm sio muumini wa dini yoyote na siamini katika chochote.

kitokea nimekutana na mungu leo hii nitamuuliza maswali haya.

1.Dear God wewe ni muweza wa yote ,je ilikuwaje ukatumia siku sita kuumba ulimwengu?.Kwa maana ungeweza kuviweka vitu vyote mahala pake hata kwa sekunde moja maana wewe ni muweza wa yote.Kutumia siku sita inamaanisha kwamba ulikuwa unafikiri nini kifuate/nini cha kuumba.
Na kwa maana hiyo kuna source nyingine inayokuoa uwezo wa kufikiria(maana mungu wewe huhitaji kufikiria.Lakini Baba hivi ilikuwaje ukaamua kuumba?Wazo hilo ulitoa wapi?Na kwa nini hivi vitu havikuanza mara moja na wewe yaani vikatokea na wewe mwanzo kabisa.

Mungu lakini pia kila ulipokuwa unamaliza kuumba ulikuwa unakiona ulichoumba kwamba ni chema,je hukujua kabla kwamba kitakuwa chema.Wewe ni mungu kweli?
Pia baba ulisema hapo mwanzo roho yako ilikuwa inaranda randa kwenye vilindi vya maji je hayo maji ni tofauti na yale uliyokuja kuyaumba?au uliumba kabla.Na kwanini roho yako n k
?haikua na mahala pa kutulia?

Halafu baba Ilikuwaje ukaumba maji yasiyo na oksjeni?.maana oksjeni umeiumba ulipomuumba mtu(Adam)huku ukiwa tayar ushaumba maji,hayo maji yalikuwaje.Halafu baba ilikuwaje baada ya uumbaji ukapumzika ?.Kwani mungu unahitaji kupumzika?Huwa unachoka kumbe?au wanatudanganya tu wala hukupumzika?

2.Dear God,Tunajua kwamba binadamu na kila kiumbe vimeumbwa wewe ,je inakuwaje mtu anazaliwa bila miguu ama mikono ama mlemavu (hasikii,haoni,bubu n.k).Je huwa unakosea ama?Kule japani watu mpka leo wanazaliwa hawana baadhi ya viungo ,sisi tunasema ni kutokana na athari za mabomu yake ya nagasaki na yeroshima baba we unasemaje ?

Je ni kweli bado unaendelea kuumba mpaka sasa ama umesitisha?.Je Swala la wanadamu kutahiriwa ikiwa ni moja ya maagizo yako unalichukuliaje?Kwa nn hukutumba tukiwa tumetahiriwa?.Je hayo ni mapungufu ya uumbaji?
Je mungu swala Appendix unaliongeaje kwenye mafundisho yako?.Isingekuwa juhudi zetu sisi wanadam kugundua operation ingekuwaje?.Je baba ukoma bado ni laana kama kitabu chako(biblia) kinavosema?

3.Dear God,Hivi ni kweli ulituumba ili tukuabudu,tukutukuze?na mwisho tuje kwako mbinguni?.Mungu wewe ni mpenda sifa kama sisi?.Je wewe sio muweza na mwenye nguvu zote?.Unafaidika nini kwa ibada zetu na nyimbo tunazokuimbia?Mungu kwani unahitaji sifa zetu?

4.Dear god,ni kweli siku ya mwisho umepanga kuchoma watu moto.?Et kwa sababu hawakutenda mema?Kwani baba mungu hukujua kwamba hawatatenda mema?We si naskia unatujua hata kabla hujatuumba?.

5.Dear god,Hivi ilikuwaje ukamtuma yesu mwanao wa pekee(ambaye pia naskia ni wewe ila katika nafsi ya pili)aje duniani kuteseka na kupigwa vile?.kwani hukujua yatamtokea yale?.Halafu naomba kuuliza hivi sababu ya yeye kuja hasa ni ipi?.Dhambi gani katuondolea?.Mbona bado dhambi zipo na watu ndo wanazidi kukukimbia.Halafu mbona kitendo kile kama hakieleweki yaani akaja kutuokoa kutoka katika adhabu yako ya moto lakini wakati huohuo unayechoma moto ni wewe huyohuyo halafu ni wewe huyo huyo uliyekuja katika nafsi ya pili,(YOU CAME IN YOURSELF IN ODER TO SAVE US FROM YOURSELF.

6.Dear god,katika amri zako ulizompa mosses kuna ile inasema usiue!.Lakini mbona mosses ulimwamuru aue kila kitu on the way back to the promised land?.Hadi watoto wazee mifugo,walikuwa na kosa gani baba?.Kwa nini hao waisrael wasingeamka tu wakute wako Kwao we si muweza wa yote?.Halafu zile amri mbona kama ziko outdated?kwa mfano ile ya kutamani na kuzini,Wewe umetuumba na kutufanya tupevuke tukiwa around 12-15yrz Halafu unasema tusitamani wala kuzini hadi tuoe ama kuolewa hivi changamoto za mtaani unazijua baba?Ikiwa nitaamua kuo nikiwa na 35 yrz muda woote huo nisizini?.si nitapiga puli kitu ambacho ni kibaya pia.

7.Dear god ,kwani wewe unajipambanua katika kitabu kipi hasa?.Maana vipo vingi sana na dini zaidi ya mia.Tukufuate wapi hasa?.Baba mungu kwani wewe ndo huyo huyo ALLAH? Mbona kule unakuwa na hasira sana lakini huku pengine hata bia poa tu ila usilewe.Kwani baba una double standard ?Hivi ni kweli wale wanajilipua kwenye kadamnasi wanakujaga kwako?.Baba hivi wali mabudha wa india wote utawachoma moto?maana wanaabudu ng'ombe ama hujastukia?

8.Dear god Hivi watoto wadogo wachanga kabisa kwa nini wanakufa hata hawajaona jua?Halafu huwa wanaenda wapi vile?Kwan baba wanakosa gani wale au ni ile dhambi ya asili?
Lakini kwa nini watoto wafe na wewe upo kwa nini huwalindi angalau wafikie miama kadhaa.

9.Dea god,Ile freewill unayosema kwenye vitabu vyako kwamba umetupa tuchague baya na jema una uhakika kwamba ulitupa?.Binafsi ungenipa freewill ningeomba kutokuumbwa kabisa kwa nini unaniumba bila ridhaa yangu halafu unichome moto et kwa sababu ya shetani?

Maana nabebeshwa mizigo ambayo hata siijui na wala sikuwepo..Mfano baba DHAMBI ya asili inanihusu nini mimi na wala sikuwepo?.Kwa nini hukumalizana nao hao wakina Eva na Adam,yaani kosa lao mpaka leo tunasafa.Halafu baba kwa nn hukuwasamehe ?Mbona wewe unasisitiza msamaha saba mara sabini?.Wewe kosa moja ukawahukumu mazima.Lakini hata hivyo baba si ulijua kabisa kwamba watakosa ?mbona uliwahukumu?.

10.Dear god,Baba hivi ni kweli shetani amekushinda?Huyu si kiumbe wako?.Si ulimuumba wewe sasa mbona mnatufanyia hivi.Wote hamuonekani mmetuacha tunafarakana.Kwani si umuue kabisa atoke hapa ulimwenguni?.Ama na wewe unafurahia anavotupelekea kutenda maovu.Lakini baba ilikuwaje shetani akaasi ?.Lile wazo la kuasi alitoa wapii maana hakukuwa na shetani kabla

11.Dear god hivi wanyama nao wana roho?.Hivi wakifa roho zao zinaenda wapi?.Hivi na wenyewe watafufuliwa siku ya mwisho au nn sisi tu na kwa nn?.Mbona unanifanya niamini kwamba HAUPO na hiz ni theory tu na uoga wetu.?
Je wanyama watachomwa moto?.

12.Dear god Ukishatuchoma moto sisi wakosefu utafaidika na nini?.Je kuna maisha baada ya moto maana navojua adhabu lengo lake ni kufundisha mtu asifanye tena kosa hilo!.Sasa mbona hujasema kama kuna maisha baada ya moto?

13.Dear god sasa ni miaka 10,000 tangu uumbe dunia(japo sio kweli maana hakuna ushahidi kwa kuwa carbon 14 inatuambia dunia imefanyika miaka 13.7 bilions ago.) niaje hakuna tena miracles ?kwa nini matukio ya miujiza hakuna tena kulikoni.Mbona sanamu hazitoe tena machozi?Mama mariam mbona hawatokei watu tena kama kule safina?,ingekuwa vizuri atokee saiv watu tupige ma selfie tutupie fb baba kuweka kumbukumbu sawa.Ama zilikuwaga ni KIK?
Mi nadhani wakati huu ndo muafaka maana tuna satellite na cameras tunaweza tukapiga picha tukatupiana fb ama watsapp ili kuamini zaidi.Lakini cha ajabu hakuna tena baba.Baba sikuizi mtu akisema umemtokea ama sijuia mwanao kamtokea tunaenda kumpima akili Milembe maana tunajua amechizi

Baba maswali ni mengi ila kwa leo ni hayo tu.

............Free ideas..........
 
Back
Top Bottom