Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Where will he come from?......well if he exist then hope he has good excuse for his unnecessary, weak and destructive existence.
Hii vita yako na Mungu ni yako peke yako...Majority tunatamani kumcha na kumpendeza kila kukicha.
 
As for me and my house we shall serve the Lord. Joshua 24:15.

Those who trust in the Lord are like the Mount Zion which cannot be shaken but endures forever . Psalm 125:1.
 
Hujafika hata robo ya aliyopitia Ayubu halafu unalalamika hivyo...

Sasa hv uumzima mpaka upo jamii forum, kuna watu wako ICU wanaomba wapate muujiza walau wa kuwa kama wewe.

Mshukuru sana Mungu kwa namna ulivyo, wakati ulionao ni sasa. Na katika kumshukuru huko ndiko baraka hushuka. Yamkini kuna fursa kibao hapo ulipo sema shetani amekuziba macho usizione ili maisha yawe magumu ili uendelee kumkufuru muumba wako.
Hiyo ni fallacy ya Argumentum of Ad Misericordiam

Kutoa hoja kwa kuingiza emotion za huruma juu ya kile kinachopaswa kuwa suala la kimantiki wakati wa mjadala.

Unajaribu kutumia mihemko kwa sababu ya kumfanya msomaji akubali kile unachokilenga kama hitimisho la kimantiki, hoja hiyo ni uwongo.

Watu waliolazwa ICU hawaondoi maana yeyote dhidi ya hoja za mdau
 
Waweza fikiri ni sifa mbele za watu kuzungumza haya, Mwisho wa siku hatima ya maisha yako yako mikononi mwake. Without asking for God presence this life feels so empty even if u have all the "material richness".

Mark my word as we continue to live in this life u will come realize that nothing in this life will quench ur thirst until you come across the LIVING WATER(Jesus Christ).
Thats Argumentum of ad baculum

Ad baculum ni Hoja zinazotumia nguvu, tishio la nguvu, au upendeleo mwingine mbaya ili kuwafanya wasikilizaji wakubali hitimisho. Inaonekana kama suluhisho la mwisho wakati ushahidi au hoja za busara zinashindwa kumshawishi msomaji.

Umeshindwa kujikita kwenye hoja umeanza kumtisha mtoa hoja kwa kumuapia viapo ambavyo havina msaada wowote katika hoja zake

Kiufupi hujafanya jitihada yeyote kuvunja hoja zake kimantiki zaidi ya vitisho
 
Mungu anapenda kuulizwa maswali bila unafiki, nyakati za mwisho utakuwa high table na Mungu ili akujibu maswali yako
 
Thats Argumentum of ad baculum

Ad baculum ni Hoja zinazotumia nguvu, tishio la nguvu, au upendeleo mwingine mbaya ili kuwafanya wasikilizaji wakubali hitimisho. Inaonekana kama suluhisho la mwisho wakati ushahidi au hoja za busara zinashindwa kumshawishi msomaji.

Umeshindwa kujikita kwenye hoja umeanza kumtisha mtoa hoja kwa kumuapia viapo ambavyo havina msaada wowote katika hoja zake

Kiufupi hujafanya jitihada yeyote kuvunja hoja zake kimantiki zaidi ya vitisho
Sidhani kama kuna mahala nimemtisha mtu, the truth will remain that we are created for the sake of glorify our Almighty God and only that.


Try to live ur other lifestyle without his presence and u will start feel void and unfulfillment in ur life, this is how it works.
 
Tumia akili si kufuata mkumbo....eu dini ipo far east dini ipo kwa hii galaxy kila kona yake pana dini so wapi unapata ujinga kusema Africa umaskini umesababiswa na dini???!
Mkuu wapi nimesema nafuata mkumbo?
Na huo mkumbo namfuata nani?
Na umejuaje mimi nafuata mkumbo?

Mimi nimetumia akili kusema dini ni moja ya chanzo cha umasikini africa na wewe tumia akili zako kupinga kwa hoja kwamba dini sio chanzo cha umasikini africa.
Sasa wewe badala ya kutumia akili yako kugundua kwanini nimesema dini ni chanzo cha umasikini africa still unamuuliza huyo uliyemuita mjinga kwamba unapata wapi ujinga wa kusema dini ni chanzo cha umasikini africa.
Sasa jiulize kati ya mimi na wewe nani hajatumia akili na nani mjinga.

Na hapo ndipo tutakapothibitisha kwamba dini ni chanzo cha umasikini africa sababu hata wewe umeshindwa kutumia akili yako zaidi ya kuendeshwa na ulichofundishwa kwenye dini kunijibu ulichoandika.


Sasa nijibu.

Dini zimefikaje africa?

Prove dini ipo kila kona ya galaxy..?

Na umejuaje dini ipo kila kona ya galaxy?

Na prove uwepo wa galaxy..

Dini inawafundisha kutukana watu?

Mimi nasema Ndio dini ni chanzo cha umasikini africa.

Sasa pinga kwa hoja na sio matusi na ujibu maswali yote niliyokuuliza.
 
Teenager, nina imani baada ya kifo roho haifi, ama iende sehemu uliyoambiwa na wamisionari, au iende kuanzisha makazi mapya katika mwili mwingine .Ikienda mbinguni utakutana na Muumba ana kwa ana. Hapo kulingana na uzi utamuuluza maswali.
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way He is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mm nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa ntakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo. So im just keeping it real.
Kwa maelezo yako inaonekana unajichukia wewe na SIO Mungu.
 
Maswali mengine yapo juu ya uwezo wa kibinadamu kufikiri (Beyond knowledge)
Maswali hayo ni ya level ya Kimungu ambayo hauna uwezo wa kuyaelewa kwa human reasoning capacity.
 
Back
Top Bottom