Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Shetani akiwa anazungumza utamjua tu, wala hupati shida.

Mleta uzi unaonekana wewe ni mkatoliki na mafundisho ya dini uliyapata vyema sema umeamua kumwacha Mwenyezi Mungu na kumfata shetani akutumie na atakutumia vizuri tu, ila kumbuka shetani ana mtindo mmoja anakutumia weee then at last anakuacha kwenye ditch.

Ukisoma sentesi yako ya nne, nanukuu
"Dear god,ni kweli siku ya mwisho umepanga kuchoma watu moto
emoji28.png
emoji28.png
.?Et kwa sababu hawakutenda mema?Kwani baba mungu hukujua kwamba hawatatenda mema?We si naskia unatujua hata kabla hujatuumba?.
"

Hapo nilipopaBold panafanana kama na yule nyoka kule bustanini Eden alipokuwa akimdanganya Eva.

Trust me or not a DEVIL is talking inside you. tafuta mtumishi wa Mungu popote alipo akuombee ikibidi akumwagie na maji ya baraka utakuwa sawa kwa imani.

Mwenyezi Mungu akurehemu
 
shetani ni nini/nani?alitoka wapi?kwa nini yupo?mungu(kama yupo)ameshindwa kumwangamiza wanadamu waishi kwa amani?
 
Midhani sio shetani anataka kuonesha yeye ni msomi mzuri na nimtafiti wa mambo hata amjaribu mungu ... Kwamba kasoma sana lakini hajaona mambo makuu ya mungu katika ulimwengu huu ... nina maswali ya kumuuliza huyu bwana mengi sana ila kadai nimemtusi na hoja yangu nimeiwasilisha kwa jazba ... Noooo hawezi kuwa sawa kuna watu katika historia walimpinga mungu na tunawasoma hadi kwenye vitabu vya dini sembuse yeye asie julikana hata na watu kumi
 
Mpende Mungu wako alafu uone kama utapata shida ya namna yoyote. Mpende Mungu wako uone kama utakosa amani. Mpende Mungu wako uone kama utalala njaa. Mpende Mungu wako uone kama hayo mawazo uliyowaza yatakujia. Ww unamchukia Mungu kwa sababu moja tu. Wewe ni Muovu. Acha maovu alafu uone kama kutakuwa na shida yoyote kwako. Mungu akusaidie sana.
 
shetani ni nini/nani?alitoka wapi?kwa nini yupo?mungu(kama yupo)ameshindwa kumwangamiza wanadamu waishi kwa amani?

Sina jibu la kukupa kuhusu shetani ila naweza kukujibu kuhusu MWENYEZI MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI NA VITU VYOTE VIIJAZAVYO DUNIA NA ULIMWENGU WOTE.

MUNGU ni jina lililotafsiriwa kwa lugha ya kiswahili kutoka kwenye lugha za kiyunani likiwa na maana ENYE MAMLAKA YOTE, ILIYO TAMALAKI, ALIYETUKUKA, THE ONE WITH NO LIMIT, BEYOND SENSE OF MIND, MWENYEZI MUNGU NI ZAIDI YA UNAVYOFIKIRIA, Usitumie fikra zako za kibinadamu kumtafakari MWENYE-ENZI MUNGU MTAKATIFU MKUU NA MUWEZA WA YOTE nna uhakika utaishia unaeleaelea tu hutoelewa hata asilimia 0.001.........

Badilika mkaribishe yeye mwenyewe katika mfumo wa roho yake takatifu utapata msaada wa kumtafsiri na kumjua.

Swali dogo naomba nikuulize..... kama Unataka kubishia uwezo wa MWENYEZI MUNGU USIO KUWA NA MIPAKA, je unaamini kuhusu uwepo wa nguvu za giza?? Unatoa tafsiri gani kuhusu watu wanaofanya miujiza halisi kwa kutumia nguvu za kishetani zilizo na mipaka..??

Kwa mtindo unaokwenda nao hutoweza kumju MWENYEZI MUNGU hata kidogo, jirudi badilika na utapata kumjua.

Pia naomba nikutahadharishe kitu kimoja, Upo kwenye hatari ya kupotea, usipokuwa makini utadondokea sehemu mbaya na utajikuta upo kwenye matatizo bila ya wewe mwenyewe kujua...., Yes najua unajiuliza WHY...?? Skia iko hivi kwa sisi viumbe vyote vya ulimwenguni tumeumbwa tukiwa tumewekewa kitu flani katika ROHO kinachotutaka sisi tuwe na uamini wa kitu flani ambacho tutadhani kitakuwa more powerful than us ili kituongoze.... Wakati MWENYEZI MUNGU anatuumba alipoumba wanyama wote aliwaweka chini yetu ndio maana leo hii mtu anaweza akamchukua mnyama yoyote akam-control na akawa nae vizuri tu, Pia kwa binadamu tunaamini sisi tuko chini ya THE MOST POWERFUL KING or SOMETHING ambae tunatakiwa tu-obey odder zake na tumfate, sasa basi kama utakuwa mkristo au muislamu unaesali basi hiyo nafasi itachukuliwa na MWENYEZI MUNGU MKUU, tofauti na hapo hiyo nafasi itakaliwa na kiumbe chochote kile ambapo kwa vyovyote atakuwa ni shetani.

Na ndio maana roho yako inajaribu kupingana na hiyo ideology kwa kukuletea maswali mengi ya kupinga uhalisia ili hiyo nafasi ibaki wazi... trust me haiwezi kubaki empty ni lazima iwe covered........ so be careful shetani asije kuikalia ukawa mtumwa wake.

Ni hayo tu, MWENYEZI MUNGU AKUTIE NGUVU.
 
Wahenga walisema,
Mwenye afya hahitaji Dactari.
Matajiri wakubwa wa dunia hii, wengi hawaamuni kama Mungu yupo na hawakubali jambo hilo.
Mfano tajiri wa Facebook.
Sababu kubwa wao wanajitoshereza kwa kila kitu, hawana shida wala adha yoyote ile.
Kila kitu pesa inafanya.
Wengi wanao mwamini Mungu kwa haraka ni watu maskini wenye matatizo mbalimbali.
Mfano wakati Ulaya kwenye utajiri waumini wa Mungu wanapungua, huku Afrika kwenye masikini wengi Waumini wa Mungu wanaongezeka sana.
Mungu ni wa watu maskini.

Ukiona Mtu anampinga Mungu usishangae, ila ujue kuwa huyo mtu katosheka na mali za hii dunia. Zile ahadi za Mungu kwa mwanadamu yeye hazihitaji.
Maisha ya hapa duniani yeye ndio hatima yake.
 
Aisee kuna maswali ya ajabu..... ILA MAADAMU YEYE NI MUWEZA YOTE ATAJIBU MASWALI YENU AMBAYO HAMYAWEZI....
 
Maswal kama hayo nilkiwa najiulza kila xku hasa ninapo ona mtu anaenda kanisan nilkaa miaza kama (7) hv sijshughlishi na kanosa lolote japo me nilkuwa mkatolic

Ili uweze kupata majbu ya mwaswal yko nichek kwa namba hii Whastup _ 0767427770

Nb: hapo hamna swal gum yte hayo yanaweza jbiwa na mwanangu wa Miaka xaxa
 
shetani ni nini/nani?alitoka wapi?kwa nini yupo?mungu(kama yupo)ameshindwa kumwangamiza wanadamu waishi kwa amani?
Pamoja na mbwembwe zote jumlisha kebehi Yeye ndo tumaini letu la mwisho na mfariji tupatapo shida au vipindi vigumu vitufikapo..Amekuwa ndo mfariji wangu nipatapo majaribu hata nifanikiwapo huwa sipotezi tumaini langu kwake. Mungu ni Mungu tuu na atabaki kuwa Mungu tuu.
 
Yeye ndiye Alfa na Omega.
Na ndiye mwenye mamlaka yote juu ya viumbe wote.
Msemeni mnavyoweza mwisho wa siku yeye ndiye atakaye amua hatima na mustakabari wa maisha yetu wala hakuna pa kukimbilia wala pa kujificha asituone labda.
Yule mzee wa ukawa kakimbiakimbia na kukanusha na kujitoa ufahamu kwa miaka yote kabla sisi hatujazaliwa, ilipofika siku ya maangamizi mwenyewe kajisalimisha kwa aliyemuumba, kumbe alikuwa anazuga tu.
Hata wewe unayekanusha leo tunajua unazuga tu.
Kasalimu Amri Muhenga akiyekula chumvi nyingi itakuwa wewe mjukuu...!
Iko siku ufahamu utakurudia utaijua kweli nayo kweli itakuweka Huru.
Ni swala la mda tu.
Ombea usikate uhai ghafla kabla akili haijakurudia.
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way He is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mm nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa ntakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo. So im just keeping it real.
Wewe ni mwanadamu tu mkuu huwezi jua kamwe malengo ya Mungu. Najua kuna vitu vinakuboa na kukufurahisha ila amini nakwambia Mungu ni Mungu tuu.
Yeye anapenda binadamu wake kamwe usimkosoe yote unayoyaona sasa ni makosa yetu sisi binadamu.

Embu fikiri Adamu angekataa kula lile tunda alilokatazwa na Mungu ungekuta tuko hapa tulipo?
Wakujilaumu ni sisi wenyewe. Daima Mungu hakosei...
 
Fenesi lina radha gani.?? Nakuuliza swali hili haliyakuwa nimezaliwa na ulemavu wa kutambua radha ya vitu..(swali lisilo jibika hili naamini)..mungu yupo beyond your sense hii hali ya ukomo wa utambuzi inaconfuse ndiomaana hapo juu umesema mungu anaweza kua shangazi kwa sababu umemuomba pocket money akakupa.

Umejuaje kuwa fenesi lina ladha? Kwa nini usiulize ladha ya tofali? Kila jambo linaweza kuwa ndani ya uwezo wako mkuu, ikiwamo uwezo wa kuhoji kuhusu ladha ya fenesi. Ni zaidi ya kuwa na sense ya ladha. Binadamu akiamua, teknolojia inaweza kukusaidia kuteste ladha ya fenesi. We dont have to limit ourselves to our veryown created idea of God.
 
Unasema mungu ni dhana tu(jambo ambalo halipo kiuhalisia) halafu hapo hapo unasema mungu ni wewe mwenyewe,hauoni kuwa hata wewe haya unayoeleza ni mambo ya kufikirika tu?

Nadhani kwa kufikiri kwako kuwa anapozungumziwa mungu basi kunahusu uombaji tu,na ndiyo maana unaona ni dhana suala la mungu kwa sababu kuna watu hawaombi mungu na mambo yao yanaenda.

Tabia ni dhana, kama ilivyo jina ama ubinadamu. Mungu ni hali ya kuwepo, hii ni dhana. Ndio maana ukitazama vyema, kama usipokuwepo, hakuna kilichopo, siyo? Unaliona hili lakini? Tafakari zaidi, utaona wewe ndio mwanzo na mwisho wa kila kitu, pamoja na Mungu.
 
Back
Top Bottom