Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Namwabudu Mungu sababu yeye ndy mmiliki wa mbingu na ardhi..

Yeye ndy mmiliki wa pumzi na uhai huo unaokufanya ujione wewe ndy kila kitu hapa duniani.

Hata wasiomwabudu hiyo hewa wanakosa?
Unadhani kumwabudu kunakufanya usife kama wale wasiomwabudu?
Unamwabudu kwa hofu ya ukifa usiende motoni, huo ni uoga maana hata wasiomwabudu bado wanapumua kama wewe tena inawezekana wanakula bata we una tanga na shida zako hata kula shida

Don’t take it too serious
 
Hatu abudu Mungu sababu tuwe na maisha mazuri.
Au tupate utajiri.

Bali tunamshukuru kwa alichotujaalia.
-- uhai.
--pumzi.
-- kutufungulia na kutulinda ktk shida mbali mbali.

Safari ya kifo ni yetu wote mkuu,,

tatizo yatakayokukuta baada ya uhai hapa duniani yatakukuta ukiwa peke yako..

Wewe tamba utambavyo,,

Siku moja utarudi ndani ya tumbo la ardhi,,

Huko ndy utakapojibiwa hoja zako.
 
All in all, kwenda mbinguni ni rahis sana, kwa Mujibu wa Biblia.
 
Mungu wangu namheshimu kwa maajabu anayotendea ulimwengu. Mungu wangu ni JUA, bila jua hakuna maisha duniani. Ninaabudu kitu ninachokiona, asubuhi anachomoza na jioni anazama kwenda kuwaangazia wengine. Huyo Mungu wako ni yupi? Huyu aliyeletwa na wamisionari?
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way He is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mm nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa ntakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo. So im just keeping it real.
Muda si mrefu utajinyonga.
 
1615389750652.png
 
Hatu abudu Mungu sababu tuwe na maisha mazuri.
Au tupate utajiri.

Bali tunamshukuru kwa alichotujaalia.
-- uhai.
--pumzi.
-- kutufungulia na kutulinda ktk shida mbali mbali.

Safari ya kifo ni yetu wote mkuu,,

tatizo yatakayokukuta baada ya uhai hapa duniani yatakukuta ukiwa peke yako..

Wewe tamba utambavyo,,

Siku moja utarudi ndani ya tumbo la ardhi,,

Huko ndy utakapojibiwa hoja zako.

Post yako imejaa maneno ya hofu, unaogopa kuishi katika mfumo flani wa maisha kwakuwa unaogopa siku ukifa utaenda kukutana na magumu.
Hofu iliyokujaa inakufanya utishe wenzio, hofu yako ndio tunaita nidhamu ya uoga. Back to the topic unamwabudu Mungu kwakuwa unataka ukifa usiende motoni. Hiyo ni hofu ndio maana unajaribu kunitishia oooh ntarudi ndani ya ardhi, we mwenyewe utarudi. Tena inawezekana wewe ukawa unaishi maisha ya kinafiki sana kuliko mimi, na inawezekana ukawa na roho mbaya kwelikweli kuliko hata mimi
 
Hi members,

Kimsingi namchukia sana mungu kwa sababu ama maswali yafuatayo ambayo yanaacha utata.Niseme tu kwamba mm sio muumini wa dini yoyote na siamini katika chochote.

kitokea nimekutana na mungu leo hii nitamuuliza maswali haya.

1.Dear God wewe ni muweza wa yote ,je ilikuwaje ukatumia siku sita kuumba ulimwengu?.Kwa maana ungeweza kuviweka vitu vyote mahala pake hata kwa sekunde moja maana wewe ni muweza wa yote.Kutumia siku sita inamaanisha kwamba ulikuwa unafikiri nini kifuate/nini cha kuumba.
Na kwa maana hiyo kuna source nyingine inayokuoa uwezo wa kufikiria(maana mungu wewe huhitaji kufikiria.Lakini Baba hivi ilikuwaje ukaamua kuumba?Wazo hilo ulitoa wapi?Na kwa nini hivi vitu havikuanza mara moja na wewe yaani vikatokea na wewe mwanzo kabisa.

Mungu lakini pia kila ulipokuwa unamaliza kuumba ulikuwa unakiona ulichoumba kwamba ni chema,je hukujua kabla kwamba kitakuwa chema.Wewe ni mungu kweli?
Pia baba ulisema hapo mwanzo roho yako ilikuwa inaranda randa kwenye vilindi vya maji je hayo maji ni tofauti na yale uliyokuja kuyaumba?au uliumba kabla.Na kwanini roho yako n k
?haikua na mahala pa kutulia?

Halafu baba Ilikuwaje ukaumba maji yasiyo na oksjeni?.maana oksjeni umeiumba ulipomuumba mtu(Adam)huku ukiwa tayar ushaumba maji,hayo maji yalikuwaje.Halafu baba ilikuwaje baada ya uumbaji ukapumzika ?.Kwani mungu unahitaji kupumzika?Huwa unachoka kumbe?au wanatudanganya tu wala hukupumzika?

2.Dear God,Tunajua kwamba binadamu na kila kiumbe vimeumbwa wewe ,je inakuwaje mtu anazaliwa bila miguu ama mikono ama mlemavu (hasikii,haoni,bubu n.k).Je huwa unakosea ama?Kule japani watu mpka leo wanazaliwa hawana baadhi ya viungo ,sisi tunasema ni kutokana na athari za mabomu yake ya nagasaki na yeroshima baba we unasemaje ?

Je ni kweli bado unaendelea kuumba mpaka sasa ama umesitisha?.Je Swala la wanadamu kutahiriwa ikiwa ni moja ya maagizo yako unalichukuliaje?Kwa nn hukutumba tukiwa tumetahiriwa?.Je hayo ni mapungufu ya uumbaji?
Je mungu swala Appendix unaliongeaje kwenye mafundisho yako?.Isingekuwa juhudi zetu sisi wanadam kugundua operation ingekuwaje?.Je baba ukoma bado ni laana kama kitabu chako(biblia) kinavosema?

3.Dear God,Hivi ni kweli ulituumba ili tukuabudu,tukutukuze?na mwisho tuje kwako mbinguni?.Mungu wewe ni mpenda sifa kama sisi?.Je wewe sio muweza na mwenye nguvu zote?.Unafaidika nini kwa ibada zetu na nyimbo tunazokuimbia?Mungu kwani unahitaji sifa zetu?

4.Dear god,ni kweli siku ya mwisho umepanga kuchoma watu moto.?Et kwa sababu hawakutenda mema?Kwani baba mungu hukujua kwamba hawatatenda mema?We si naskia unatujua hata kabla hujatuumba?.

5.Dear god,Hivi ilikuwaje ukamtuma yesu mwanao wa pekee(ambaye pia naskia ni wewe ila katika nafsi ya pili)aje duniani kuteseka na kupigwa vile?.kwani hukujua yatamtokea yale?.Halafu naomba kuuliza hivi sababu ya yeye kuja hasa ni ipi?.Dhambi gani katuondolea?.Mbona bado dhambi zipo na watu ndo wanazidi kukukimbia.Halafu mbona kitendo kile kama hakieleweki yaani akaja kutuokoa kutoka katika adhabu yako ya moto lakini wakati huohuo unayechoma moto ni wewe huyohuyo halafu ni wewe huyo huyo uliyekuja katika nafsi ya pili,(YOU CAME IN YOURSELF IN ODER TO SAVE US FROM YOURSELF.

6.Dear god,katika amri zako ulizompa mosses kuna ile inasema usiue!.Lakini mbona mosses ulimwamuru aue kila kitu on the way back to the promised land?.Hadi watoto wazee mifugo,walikuwa na kosa gani baba?.Kwa nini hao waisrael wasingeamka tu wakute wako Kwao we si muweza wa yote?.Halafu zile amri mbona kama ziko outdated?kwa mfano ile ya kutamani na kuzini,Wewe umetuumba na kutufanya tupevuke tukiwa around 12-15yrz Halafu unasema tusitamani wala kuzini hadi tuoe ama kuolewa hivi changamoto za mtaani unazijua baba?Ikiwa nitaamua kuo nikiwa na 35 yrz muda woote huo nisizini?.si nitapiga puli kitu ambacho ni kibaya pia.

7.Dear god ,kwani wewe unajipambanua katika kitabu kipi hasa?.Maana vipo vingi sana na dini zaidi ya mia.Tukufuate wapi hasa?.Baba mungu kwani wewe ndo huyo huyo ALLAH? Mbona kule unakuwa na hasira sana lakini huku pengine hata bia poa tu ila usilewe.Kwani baba una double standard ?Hivi ni kweli wale wanajilipua kwenye kadamnasi wanakujaga kwako?.Baba hivi wali mabudha wa india wote utawachoma moto?maana wanaabudu ng'ombe ama hujastukia?

8.Dear god Hivi watoto wadogo wachanga kabisa kwa nini wanakufa hata hawajaona jua?Halafu huwa wanaenda wapi vile?Kwan baba wanakosa gani wale au ni ile dhambi ya asili?
Lakini kwa nini watoto wafe na wewe upo kwa nini huwalindi angalau wafikie miama kadhaa.

9.Dea god,Ile freewill unayosema kwenye vitabu vyako kwamba umetupa tuchague baya na jema una uhakika kwamba ulitupa?.Binafsi ungenipa freewill ningeomba kutokuumbwa kabisa kwa nini unaniumba bila ridhaa yangu halafu unichome moto et kwa sababu ya shetani?

Maana nabebeshwa mizigo ambayo hata siijui na wala sikuwepo..Mfano baba DHAMBI ya asili inanihusu nini mimi na wala sikuwepo?.Kwa nini hukumalizana nao hao wakina Eva na Adam,yaani kosa lao mpaka leo tunasafa.Halafu baba kwa nn hukuwasamehe ?Mbona wewe unasisitiza msamaha saba mara sabini?.Wewe kosa moja ukawahukumu mazima.Lakini hata hivyo baba si ulijua kabisa kwamba watakosa ?mbona uliwahukumu?.

10.Dear god,Baba hivi ni kweli shetani amekushinda?Huyu si kiumbe wako?.Si ulimuumba wewe sasa mbona mnatufanyia hivi.Wote hamuonekani mmetuacha tunafarakana.Kwani si umuue kabisa atoke hapa ulimwenguni?.Ama na wewe unafurahia anavotupelekea kutenda maovu.Lakini baba ilikuwaje shetani akaasi ?.Lile wazo la kuasi alitoa wapii maana hakukuwa na shetani kabla

11.Dear god hivi wanyama nao wana roho?.Hivi wakifa roho zao zinaenda wapi?.Hivi na wenyewe watafufuliwa siku ya mwisho au nn sisi tu na kwa nn?.Mbona unanifanya niamini kwamba HAUPO na hiz ni theory tu na uoga wetu.?
Je wanyama watachomwa moto?.

12.Dear god Ukishatuchoma moto sisi wakosefu utafaidika na nini?.Je kuna maisha baada ya moto maana navojua adhabu lengo lake ni kufundisha mtu asifanye tena kosa hilo!.Sasa mbona hujasema kama kuna maisha baada ya moto?

13.Dear god sasa ni miaka 10,000 tangu uumbe dunia(japo sio kweli maana hakuna ushahidi kwa kuwa carbon 14 inatuambia dunia imefanyika miaka 13.7 bilions ago.) niaje hakuna tena miracles ?kwa nini matukio ya miujiza hakuna tena kulikoni.Mbona sanamu hazitoe tena machozi?Mama mariam mbona hawatokei watu tena kama kule safina?,ingekuwa vizuri atokee saiv watu tupige ma selfie tutupie fb baba kuweka kumbukumbu sawa.Ama zilikuwaga ni KIK?
Mi nadhani wakati huu ndo muafaka maana tuna satellite na cameras tunaweza tukapiga picha tukatupiana fb ama watsapp ili kuamini zaidi.Lakini cha ajabu hakuna tena baba.Baba sikuizi mtu akisema umemtokea ama sijuia mwanao kamtokea tunaenda kumpima akili Milembe maana tunajua amechizi

Baba maswali ni mengi ila kwa leo ni hayo tu.

............Free ideas..........
Nimesoma paragraph 2 zinachosha na u childish..
Nimegundua wewe ni mkristo
Biblia ndio unayotumia kukosoa
Unafuata mkumbo...

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kama unamchukia Mungu sababu ya jehanum take from me jehanum hakuna iliingizwa kimakosa kwenye biblia kwa rengo LA kuonya watu sasa hawa evangelist wamechukulia kama kitu halisi. So love your God he is there might and good.
ingependeza ukaleta na andiko kuthibitisha statement yako
 
Mim ni mwana science,Ulimwengu una aproximately bilion 900 za galaxies,dunia hii tuliyomo ipo kwenye moja ya galaxies hizo,inaitwa milky way,.galaxies hiz zina nyota zake,(JUA LETU,ni moja ya nyota)..ukubwa wa galaxy ndio una determine uwingi wa nyota,..mfano galaxy yetu ina nyota zake nying tuu moja wapo ndo hili jua,hii tena ni nyota ndoogo saana ambayo,(jua ni kubwa kuliko dunia mara milion1),galaxy yetu ni moja ya galaxy ndogo saaaana.kuna galaxy zenye nyota zaid ya 10,..so kila nyota hubaatika kuzungukwa na sayari,mfano nyota yetu jua inazungukwa na sayar zijulikanazo ambazo ni almost 9,sayari hizi zina miaka bilion na ma bilioni,mfano sayar yetu dunia ina miaka almost 4.5bilion na ni sayar ndoogo sana kulinganisha na hizo zilizoko kwenye galaxies zingine..sasa mifumo yooote hii inalindwa na nguvu za asili ambazo inazifanya zi balance bila kuingiliana ama kuleteana mushker zenyew kwa zenyew,..nikimaanisha zna self control ambayo iko systematic.,na well balanced..kwa sayansi hii peke yake,inakupa kitu,..ok tuje kwa viumbe,tukiacha wanyama wengne na mimea na bacteria na virus na wadudu wengne amba wana mifumo yao,..kila binadam umuonae dunian hapa ana kitu kwenye seli yake kinaitwa DNA,..cha ajab kila bnadam ana aina yake pekee ya hii kitu,yan huwez fanana na mwenzio,..tuko bil.7,kila mtu ana take pekee,na mifumo yetu ya mwili iko systematic,moyo ,ubongo,mapafu,damu,mifupa etc,..hii pia ni vilevile kwa mimea na wanyama na wadudu,..pia tukija kwa vitu ambavyo sio viumbe hai,ni same thing,kila rock/miamba ina identity yake pekee.so..kwa science hii kubwa na uwezo huu mkubwa,..Mungu wa ukweli ambae huenda sio huyu tunaefundishwa au kusikia ambae kwa mafundisho yaliyopo yanamfanya awe kama wa kawaida i mean kama bnadam vile,na ndomana kunakua na controversies nying watu wanakua hawaelew, hii ni very wrong,..Huyu alietuumba ,yan original Creator of all atakua anatushangaa sana.tunahangaika inshort...huyu creator ni very powerful,na science yake na phylosophy yake si ya kitoto,hana kwanza mda wa ku kedeal na mihemko ya watu wasio elewa au niseme kaumba kila kitu kiwe na self control kwasabab hakupenda kumuingilia mtu.so haya tunayo experienc ulimwenguni ni matokeo ya the life we choose n decide by ourselves,mfano,kufa,kuzaliwa,ulemavu,njaa,shibe,..etc n thts y leo hii ukiamua kujitoa dunian ,u can do tht,or kusitisha maisha ya mtoto alie tumbon,u can do tht.so doctrine aliyonayo the creator of all,ni kuubwa kuliko unavyodhani,.na projects anazozifanya the creator(We call him GOD) ni huuge ambazo haziko kwenye upeo wa mwanadamu.so The creator hajaumizwa na alichoandika huyu bwana sabab anajua hafaham the truth..The creator hana mda wa kumchoma mtu or sjui nin,sjui jehanam,etc na story nyiing za uongo,he created,n the creation goes on and on and on kwan sis wenyew we do sub creations humu humu ulimwengun...niishie hapo,kuna meng sana
dah mzee umenifikirisha sana aseeee

emb naomba uendelee kufafanua hivi vitu aseee

au napata wapi iyoo source mkuu
 
Wel,kama umeangalia vzur nmesema sub creations,sio sub God,..yan nkimaanisha uumbaji mdogo mdogo ,.na YES,huyu sub god(in a way ili uelewe vzur)ambaye ni bnadam,ni sisi inshort,.na ndio tunaoandika hiv vitab etc bible,quran etc,tuna introduce dini mbalimbali na madheheb,tunafanya fumbuzi mbali mbali za kisayansi kwa level yetu lakin n sio mbaya,hata the great creator mwenyew anajua kua i made these people to do wonders,sasa watu wanaofaham hii knowledge wanaifanya siri,na ule usem wa tumuumbe mtu kwa mfano wetu ni kwel,binadam akija jitambua yeye nan ,anakua na uwezo wa ki mungu kabsa,ingawa hawez mfikia the great creator,ndo maana ya kuumbwa kwa mfano wetu hyo,so bado bnadam hajajijua uwezo wake ila kadiri siku ziendavyo anajitambua,ndomana unaona kila siku mambo mapya yanavumbuliwa,technology etc,.mwanadam hutafuta na huchokonoa vtu ili apate mjua huyu great creator so results za hii jitihada ya kutafta ndo znatokea tafsiri nyiingi kuhusu huyu great creator,ndomana wachina wanatafsiri yao,wahindi wana yao,muslim wana yao,christians wana yao etc,..na vitabu hiv vinavyoitwa vitakatifu vmeandikwa na wanadam katka kutafta kuujua ukweli,so kuna stori nyingne za kwenye hiv vitab ni kwel na nyingne si kwel,ila ambazo si kwel ni nyiingi kuliko za kweli.yan vtab hiv hudokeza tuu,..mfano kimaandiko meng ilijulikana jua ndio inazunguka dunia bt si kweli,mfano tuu..historia ya mwanadam,hapa ndo kuna upotoshwaj mkubwa,kila race inajivutia upande wake,.ukienda kwa wachina watakwambia mungu ni mchina,wahind watakwambia mungu ni muhind,wazungu wanakuja na yao nao kua mungu ni mweupe kama wao etc,so stor hiz,kimaandiko dunia ina umri wa miaka 6000,..bt si kweli,..kitaalamu na kwa vithibitisho dunia ina aproximately miaka bil4.5,na hii ni proven,sio hypothesis..so mambo kama hayo..the great creator aliumba vitu ki sayansi,vika develope,mfano anaumba cell ina develope into tissue,organs had mmea kamili,ndomana wana sayans waki trace back uumbaji huja na majibu hayo kua viumbe vili develope frm one stage to another,ni vile vile kwenye vtu visivyo viumbe hai,mfano,maji,ni element moja na nyingne,ndio hvyo mungu/great creator aliumba,sayans yake si ya kitoto,ni sayans isiyoelezeka kwa urahis,na aliumba vtu to its best,yan sawia kabsa,..mfano naweza diriki sema the great creator aliumba dunia maalum kwa sis kuish,yan aliiumba to the best/maximum quality,..ila sis tunaendelea kufanya hiz sub creations na by our own will,wala haingilii yeye,so ukiona sjui mtoto anazaliwa kilema,or vifo or ajali or chochote,yeye hahusiki,ni sisi tunahusika,ni uumbaji wetu sis unaofanya haya so lawama ni yetu sis sio yake.yeye alishamalizaga zamaani..tena tambua,tusidhan sis na dunia yetu peke yetu ndo the only thing the great creator amefanya,..kuna vitu vikubwa zaaidi huko,kwenye galaxies na sayar nyingne ambazo ufaham wetu na sayans bado hazija fanikiwa kujua,so great creator anafanya huuge projects n hana mda wala haja et ya kuumba/kutengeneza dunia af awauwe na kuwachoma watu moto,hiz ni fikra na roho za kibinadam ndo znaandika mafundisho haya,creator hana akil za kibinadam,he is way past that..et akuskilizie utende dhambi kimtego mtego af aje akuchome moto,hzo ni fikra za bnadam tuu.
dah we jamaa uanongea vitu ambavyo ukivirelate aseee kuna logic hapo katikati inajengwa

so tusikutute uyo the great Creator yeye haitaji kuabudiwa wala nini

dah mzee hii dunia ina siri nyingi sana aseeeee
 
Ni ngumu kupinga wazo la mtu kwenye hii mada.

kuhusu imani tutadanganyana apa.
Wote tumeikuta dini.

usilolijua ni Kama usiku wa Giza.

just believe what you believe.

bytheway, imani yangu ni hivi..
WALIOTANGULIA BAADA YA MAISHA HAYA, HAWAJARUDI KWASABABU WALIPO WANAFURAHIA ZAIDI.

lol
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way He is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mm nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa ntakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo. So im just keeping it real.
Tafuta pesa kijana utaacha kumchukia Mungu.
 
Nakuonea huruma sana,, na pole sana kwani umetaabika moyoni kiasi huoni haja ya kuendelea kuishi. Mungu anakupenda na ndo maana bado unaishi. Kwavile umekiri wewe ni mwovu ndiyo maana huoni faida ya wewe kuwepo duniani. Mataabiko yako ni kwasababu umechagua upande wa mwovu ambaye hana budi kutaabika. Nafasi yako bado ipo,, rudi utubu huenda utasamehewa na utaanza kufurahia maisha. Amen

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Point zote ulizo andika hapo... mmelishwa tangopori na wazungu na waarabu.....
Kama haujawahi kuishi kwenye imani huwezi kuelewa. Lakini nakuhakikishia Mungu ameumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo ukiwemo wewe.
Na lolote ukiomba kwa imani anakupatia. Uzuri wake ni kwamba ameruhusu umjaribu,, basi nakusihi nawe ujaribu kuishi kwa imani halafu uombe neno lolote kwa imani uone kama hautapatiwa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way He is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mm nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa ntakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo. So im just keeping it real.
Umesahau moja mkuu,,
Hili la kukuamsha kila siku usingizini,
Ni bora ulale moja kwa moja usiamke tena..
Aache kukusumbuwa ukilala..
 
Back
Top Bottom