kidambinya
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 1,190
- 1,728
Tilalila
Huyo Mungu wa africa yupo wapiJe wa Africa tulikua na imani kabla ya Toleo hili la pili la kiimamani? Kama jibu ni ndio ni Wazi kua tulikua na MUNGU wetu. Wengi wanafikili kwamba Ukoroni ulikuja kuchukua, madini, pembe za Ndovu na kadhalika... Kumbe Mzungu alikuja "kupola... Kila kitu... Madini yetu Imani zetu..kuvuruga tamaduni zetu... Wao wanawafinyanga watoto wao kitawala Dunia.. Sisi Ufalme wa Bwelele Mbinguni ooo My God... Niishie hapa, kataa ukibwetele.
Acha vitisho.Mtoa mada ndani ya siku chache utakufa. Tafuta mtu wako karibu aje atupe TANZIA yako. Usimjaribu Bwana Mungu na Muumba wako. Naona unachokitafuta utakipata tu.
kwa hiyo niamini liuku.ma lisilohitaji akiliImani/dini havitumii akili.
Ukitumia akili yako huwezi kupata majibu.
Akili ya mwanadamu ina ukomo.
acha woga hayupoHaya mambo ya Mungu ukihoji sana utachanganyikiwa. Hayanaga majibu ya moja kwa moja. Ila Mungu yupo!
Mwenye kuamini mungu na asiyeamini ni yupi muoga?acha woga hayupo
Mwoga ni yule asiyeamini uwepo wa Mungu.Mwenye kuamini mungu na asiyeamini ni yupi muoga?
Siyo kweli hili la Adam Mungu mwenyewe alilifahamu kuwa litakuwepo ni mipango ya kumfanya mwanadamu afanye maamuzi yake ataoona inafaa Mungu anajua kila kitu kilichopita na kijacho ndio maana sisi wanadamu ametupa Uhuru wa maamuzi huwa hatuna maelekezo tunaamua wenyewe.Hakuna lolote yote haya unayoyaona huku diniani ni sababu za uasi wa binadamu toka mwanzo.
Adamu angetii masharti aliyoambiwa na Mungu leo ungekuta tunaishi paradise life.
Binafsi sioni kosa la Adam kwa kuwa Mungu hujua yajayo na yaliyopita ndio maana alimpa Adam Uhuru wa kuchagua njia anayotakaKwani mungu hakujua kwamba adam ataasi?
Mkuu nikusahihishe kidogo hapa shida ni uelewa wako mdogo.Swali mujarabu mkuu. Yaani maelezo ya jamaa ni sawa tu na angeuliza ni kwa nini Adam hakuongeza uvumilivu kidogo. Jambo lililokuwa ndani ya uwezo wake pia.
Wazo la Mungu ni ukomo wa kufikiri. Ni namna tu ya kupata majibu rahisi kwa maswali magumu. Kila jambo lipo ndani ya uwezo wetu.
Hata kifo kimefanywa kuwa kigumu mno kueleweka. Watu wameweka dhana za roho na mwili, mambo ambayo hayapo katu.
Eti roho inaacha mwili. Hivi injini ya gari inaposhindwa kufanya kabisa na ukashindwa hata kuibadilisha na hivyo gari likashindwa kufanya kazi kabisa, tunasema nini kimeacha nini?
Kwa viumbe hai, kuna kuwepo au kutokuwepo. Hali ya mifumo ya kiumbe hai kuendelea kufanya kazi kwa ushirikiano ndio uwepo. Hali ya mifumo kushindwa kufanya kazi milele ni kutokuwepo (kufa). Ndio maana kiumbe huozaa na kupotea kabisa.
Mkuu, nina mashaka na mazingira yaliyo kukuza napata wasiwasi kwa jinsi ulivyoanzisha mada ila nisaidie kujibu hili swari kama una uelewa nalo kama hautaweza usijibu maana hapa siyo Siasa tunautaka ukweli usio na mashaka juu ya nini kimeufanya Ulimwengu.asanteni