Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,601
Thibitisha Mungu yupo, bila kuthibitisha shetani na Mungu watakuwa hadithi tu.Haha dah alaf uko shapu kwa jins shetan alivokutawala kichwa mwako,pole sana[emoji28] [emoji1]
Thibitisha Mungu yupo, bila kuthibitisha shetani na Mungu watakuwa hadithi tu.Haha dah alaf uko shapu kwa jins shetan alivokutawala kichwa mwako,pole sana[emoji28] [emoji1]
Hadithi za kale .Thibitisha Mungu yupo, bila kuthibitisha shetani na Mungu watakuwa hadithi tu.
Mtu hawezi kuwa mfuasi wa lucifer kama haamini Mungu yupo.Hadithi za kale .
umekula ww?mfuasi wa lucifer
Ujumbe wa kichungaji ila jina lako linanipa ukakasi kulitaja!Huyu naye ni gt hivyo unapomjibu umjibu kwa reference za kibiblia maana inajitosheleza.
Mungu anasema hapendi hata mtu mmoja apotee bali wote waufikie uzima wa milele.......Tena anawaambia waisrael ambao hawakutii wakati ule akasema Ninawajaribu ili nipate kujua uthabiti wenu.
Imagine kwa watoto wako nyumbani kwako umewazaa ili baadaye uwatese?.Hapana unawapenda wote,unawatendea haki wote na wale wanaoumia ingawa ni wanao ni kwa sababu ya kukiuka,miongozo unayotoa kama baba laiti wangeifuata wasingeumia.
Ugumu wa mioyo yetu umetuingiza ktk mateso mengi duniani.Nchi nyingi duniani zinapigana vita wanauana kwa sababu tu ya ugumu wa mioyo yao (kutokutii kujua yaliyo mapenzi ya Mungu ili tuyafanye).
Mateso mengi ni zao la kutokutii miongozo mizuri.Mkinitii na kufuata amri zangu....mkifanya yaliyo mapenzi yangu hakika sitaangamiza nchi yenu.Kwa hiyo hapa utajua kuwa tumekosa utii mioyoni mwetu mbele za baba yetu(Mungu).
Anza mazoezi mema ya kufanya utii wewe umekiri kuwa ni muovu tayari kwa ishara hiyo tu wewe umeokoka maana Mungu anasema atakayenikana mbele za watu nami nitamkana......
Je wewe ukiwa baba wa nyumba unapenda watoto wako wakudharau?.Na kama hupendi unafanyaje kuleta nidhamu ktk nyumba yako?.Je unajisikiaje watoto wako wanapoishi kwa muongozo uutakao wewe?.Je hujawahi watisha wanao kuwa wakifanya jambo fulani baya watapatwa na balaa fulani (rejea hadithi za mafunzo kwa watoto) maishani mwao?.
Mungu ni upendo kwetu,Mungu ni upendo kwa wote,endelea kuamini uwepo wa Mungu hata kama ukifika ukamkosa huna hasara compared na kutokuamini uwepo wake then ukaenda ukamkuta.
Kwa maelezo yako naona hukufuru bali hii ndiyo njia yako sasa ya kumrudia Mungu na kushuhudia atakavyokubadilisha ili uwafundishe na wengine.
Nakutakia mubaraka mwema usome matayo 11:6.Imeandikwa anayo heri mtu yeyote asiye na mashaka nami asema bwana wa majeshi.Amina.
At least u know GOD is existing....that is your salvation already.Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.
1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe Jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)
2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?
3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? Au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?
4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way he is and we have to live with it.
5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.
6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mimi nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.
Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa nitakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo.
So im just keeping it real.
Illuminator jamani si unijibu,umekula ww?Mtu hawezi kuwa mfuasi wa lucifer kama haamini Mungu yupo.
Kwa sababu ili uamini Lucifer yupo, inabidi uaminikwanzakwamba aliyemuumba Lucifer, Mungu, yupo.
Wewe uko karibu kuwa mfuasi wa Lucifer kuliko mimi.
Kwa sababu unaaminiMungu aliyemuumba Lucifer yupo na Lucifer yupo.
Mimi sikubali kwamba Mungu yupo, na hivyo sikubalikwamba Lucifer yupo, na hivyo siwezi kuwa mfuasi wa Lucifer.
Umeletwa na wafuas wa lucifer na miongon mwao wamo humu [emoji23]Huu uzi umeletwa na binadam au
Kama nimekula, hiyo niishara kwamba Mungu wako hayupo, kwa sababu hakuumba mtu asiyehitaji kula.Illuminator jamani si unijibu,umekula ww?
Lucifer yupo kuzimu, kafungwa minyororo na Mwenyezi Mungu kwa miaka 600. Lakini pamoja na hayo bado anafanya fujo duniani kupitia remote control, anatuma wafuasi wake kuja kuangamiza na kuwajaribu walio na imani haba. Mziki ni baada ya kifungo kuisha hapo ndipo itakuwa ujio wa kitu kinaitwa 666.Mtu hawezi kuwa mfuasi wa lucifer kama haamini Mungu yupo.
Kwa sababu ili uamini Lucifer yupo, inabidi uaminikwanzakwamba aliyemuumba Lucifer, Mungu, yupo.
Wewe uko karibu kuwa mfuasi wa Lucifer kuliko mimi.
Kwa sababu unaaminiMungu aliyemuumba Lucifer yupo na Lucifer yupo.
Mimi sikubali kwamba Mungu yupo, na hivyo sikubalikwamba Lucifer yupo, na hivyo siwezi kuwa mfuasi wa Lucifer.
Umejuaje kama hujafa? chizi mwenye hajijui kama ni chiziMwaka jana kuna wana JF waliniambia ningekufa kabla ya kuona huu mwaka kisa nilimkashifu huyo Mungu wao wa kufikirika...........Bado tunakutana majukwaani.
Hujaelewa na hujajibu hoja yangu na mtiririko wake.Lucifer yupo kuzimu, kafungwa minyororo na Mwenyezi Mungu kwa miaka 600. Lakini pamoja na hayo bado anafanya fujo duniani kupitia remote control, anatuma wafuasi wake kuja kuangamiza na kuwajaribu walio na imani haba. Mziki ni baada ya kifungo kuisha hapo ndipo itakuwa ujio wa kitu kinaitwa 666.
Hujambo wewe??si bora ucheke kdg utoe stressKama nimekula, hiyo niishara kwamba Mungu wako hayupo, kwa sababu hakuumba mtu asiyehitaji kula.
Kama sijala, hiyo ni ishara nyingine kwamba Mungu wako hayupo,kwa sababu kaumba mtu anayehitaji kula ambaye hajala.
Either way, Mungu wakohayupo.
Kama yupo, thibitisha.
Hujaelewa vyema biblia. Ila cha msingi kabisa mpende tu Mungu wako Kwa moyo wako wote na kwaakili zako zote. God is beyond our thinking.Kwenye biblia anaongea specific na waisraeli ...je sisi ni waisraeli? Na kwanini anapendelea taifa moja wakati tupo wengi.
Mi sicheki na wanawake nisiowajua, Bi Zuhra ananitosha.Hujambo wewe??si bora ucheke kdg utoe stress
Nmependa[emoji1] [emoji28] [emoji111]..Lucifer yupo kuzimu, kafungwa minyororo na Mwenyezi Mungu kwa miaka 600. Lakini pamoja na hayo bado anafanya fujo duniani kupitia remote control, anatuma wafuasi wake kuja kuangamiza na kuwajaribu walio na imani haba. Mziki ni baada ya kifungo kuisha hapo ndipo itakuwa ujio wa kitu kinaitwa 666.
Binti uko ngangari..embu kuja pm kwanza tuteteNmependa[emoji1] [emoji28] [emoji111]..
walucifer wakina al watan mpoo
Hahahha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Binti uko ngangari..embu kuja pm kwanza tutete