Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Kwanz nianze na haya ndug mtoa mada:
1. unaamini uwepo wa uchawi/ushirikina/majini au waganga kuwa wanatibu?? Kam n YES...MUNGU yupo tena sanaaaa...Kam n NO ila weng huwamini shirik bas pia MUNGU yupoaaa kwel kwel
2.Ukitak kuijua dini vizur husifuate DHEHEBU wala DINI ila tafuta KWELI
3.Dini wala c kaz nzito/mzigo fulan mzito ila watekelezaj wake ndio huleta UGUMU mzito
4.Najua waamin SAYANSI na vingine ving tu vya NEWTON,GALILEO,DARWIN...waamin ila c vyote wavijua bali wafaham tu
5.Tafuta asili ya mwanadam...SAYANS au DINI kuna kimoja kitakujibu tu
6.Ishara unazo nying ktk mwili wako ambapo hakuitaji kuelezwa bali ww wajua kuwa kaz ya MUNGU hakuna awezaye
7.Hizi DINI zetu n nzur na zina ukwel ila waliozielewa wanatutaabisha sana sio kutuelewesha
HITIMISHO
mungu amekupa akili itumie,
ukifuata dini utakuwa TEAM DINI/MFIA DINI yaan sio muelewa bali MBISHI CAMP
Mwisho kabsa hakika ninyi yaan ww mtoa mada MUNGU hupenda kuwatumia coz mkimjua yy huwa mnaweza sana kuokoa watu wengne kwa wingi japo kuupata ukweli n kaz kidogo
Mambo ya kiroho /Mungu ni kuamini tu... Ukitumia akili yako huwezi kupata majibu.
 
Mkuu sasa tunafanyaje huwezi kumshtaki wala kupingana nae, Let us surrender to him hatuta poteza chochote wala haitugharimu chochote hatuna njia mbadala.
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe Jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? Au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way he is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mimi nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa nitakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo.

So im just keeping it real.
nazani kuna mengi umepitia na kuwaza mpaka ukafikia hapo lakini uyo ni ibilisi tuu na ameshajua km akikuacha ukawa rafiki wa Mungu basi utakuwa kikwazo chake kikubwa sana,,nakuomba sana anza kurekebisha urafiki wako na Mungu,,hakuna aliye rafiki wa Mungu akajuta au akahaibika duniani hapa,,sijawai kuona wala kusikia tangu kuwapo kwa misingi ya dunia hii!!!
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe Jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? Au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way he is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mimi nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa nitakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo.

So im just keeping it real.
Ni vema kwa wewe kuwa wazi ili usaidiwe.

Nadhani ni vema ukapata mtu ambaye utaongea naye uso kwa uso ili upate majibu ya maswali yako vizuri. Kwa hiyo, nakushauri uwaone wasabato wakueleweshe. Hao mimi nawaamini sana kwa usomaji wa Biblia. Lazima watakuwa na majibu ya maswali yote uliyouliza.
 
hope ulishawahi chinja kuku ukala,hope ushawahi kula kuku au ushawahi mchapa mwanao au yeyote anaekuhusu..vyote hivi ulifanya kwakuwa wewe ndo mmiliiki wa kuku ,mbuzi na mtoto pia ..sasa M/mungu anamamlaka makubwa juu yako zaidi ya mamlaka wewe juu ya chochote kile anafanya atakalo ,isitoshe ametupa kila kitu akili maarifa na kabla hata ya kuja duniani kila roho iliulizwa juu ya kuja duniani na ikapewa changamoto za mitihani ya dunia ukakubali na ukakubali kutii yote...hii amana waliambiwa majabali miti na viumbe vingine vikakataa ila mm na ww tukakubali ..no way itakayokuepusha na adhbu zaidi ya kumcha Mungu wa kweli na huyo mungu unaetaka uonane ww face to face huna uwezo hata wa kuonana na malaika jibril kwa power alionayo itakuwa muumba wa ulimwengu
 
Inaonekana uko stressed muda huu (point yako ya sita) as if kuna jambo baya umefanya,linakuumiza,unalijutia

Kama iko hivyo kweli ni heri ukatubu kwa imani yako na kuamini sisi binadamu hakuna mkamilifu,wote tunamkosea Mungu

Kwa imani yangu nafahamu Mungu ni pendo na huwa hakusudii baya lolote litutokee
Sasa kama humpendi yeye manake hata ndani yako hakuna upendo

USHAURI
Usipende kumuongelea Mungu kiboya boya kama unawongelea wachumba zako huko

Hayo maswali # 1,2&3 nimeshindwa kuyajibu kwasababu sipo into dini kabisa

Joanah, hauna dini yoyote !?
 
Mtoa mada ndani ya siku chache utakufa. Tafuta mtu wako karibu aje atupe TANZIA yako. Usimjaribu Bwana Mungu na Muumba wako. Naona unachokitafuta utakipata tu.

Duuuuuuh,,,,
 
Kwanza nakuombea kwa Mungu akusamehe sana maneno yako. Kamwe usije kukufuru jina la mwenyenzi Mungu, pia tuliza akili yako
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe Jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? Au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way he is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mimi nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa nitakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo.

So im just keeping it real.
Kwa vyovyote vile wew utakuwa ndo ibilisi mwenyewe
 
Uyo zuhra umsemae ni dini gani kwani.
au mnatofautiana kilucifer eee
Hahaha, usitake kumjuajua binti wa wenzio.

Lucifer unamuamini wewe unayekubali yupo.

Mimi ambaye sikubalikwamba yuposiwezikumuamini.
 
Sawa bwana lucifer nmekuelewa unaonekana dini yko unaijua lkn unajitoa fahamu..
Haya kapumzike msiafu wa lucifer
 
Mungu hajaumba jehanamu
wala Munguhata wachoma
waovu milele.Dunia yetu hii
imezungukwa na anga la moto
ambalo Mungu ameweka
ulinzi usiiteketeze dunia.Mara waovu na shetani na malaika
waovu watakapomkataa
Mungu ataondoka.watabaki
bila ulinzi bombfire ambao ni
Moto unaouzunguka dunia
utaiteketeza dunia,shetani,malaikawaovi na
wanadamu waovu.hiyo ndio inaitwa jehanamu.Hili litatokea
baada ya viumbe hivi viovu
kumkataa Mungu na ulinzi
wake.
 
Back
Top Bottom