Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sawa bwana lucifer nmekuelewa unaonekana dini yko unaijua lkn unajitoa fahamu..
Haya kapumzike msiafu wa lucifer
Mimi kuwa na dinini sawa na kipara kusuka nywele.

Hujathibitisha Mungu wako yupo.
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe Jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? Au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way he is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mimi nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa nitakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo.

So im just keeping it real.
We endelea kuamini kwa kile unachojiaminisha,kwa kawaida nafsi ya mwanadam huwa na kiburi ktk uzima wake hasa akiwa haupati hata muwasho,ila nakuombea Kheri kabla pumzi zako kusimama,huyo usiyemwamini akudhirishie uwepo wake.
 
Khaa tubu haraka sana mkuu otherwise Mungu hadhiakiwi jifunze kumpenda na kumtumikia ili ukifa uende peponi
 
Inaonekana uko stressed muda huu (point yako ya sita) as if kuna jambo baya umefanya,linakuumiza,unalijutia

Kama iko hivyo kweli ni heri ukatubu kwa imani yako na kuamini sisi binadamu hakuna mkamilifu,wote tunamkosea Mungu

Kwa imani yangu nafahamu Mungu ni pendo na huwa hakusudii baya lolote litutokee
Sasa kama humpendi yeye manake hata ndani yako hakuna upendo

USHAURI
Usipende kumuongelea Mungu kiboya boya kama unawongelea wachumba zako huko

Hayo maswali # 1,2&3 nimeshindwa kuyajibu kwasababu sipo into dini kabisa
Cha Kumwongezea huyu kijana...Kwanza he is young and stressed hivyo unajaribu kutafuta mtu wa Ku blame...Ni sawa na mtoto amevunja glass nyumbani hajui thamani yake anajaribu Ku anticipate adhabu atakayoipata baba|mama akirudi...Alafu kumbe ilikuwa ni swala la kwenda kununua tu wazazi wakifika...You don,t know anything about God kwa hiyo usimchukie based on ulichosikia kumhusu na ukuchukua time kujifunza ili umjue vizuri
 
Umeambiwa umuabudu Mungu na usitende maovu usipotii utachomwa tu maana hakuna namna!!!!
Kitendo cha kujielewa uovu wako na kuendelea kukumbatia uovu wako kinyume na maagizo ya Mungu ni dalili ya kiburi na dharau kwa aliekuumba...
Jitafakari upya mkuu wema wa Mungu kwako ni zaid ya hayo unayowaza
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe Jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? Au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way he is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mimi nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa nitakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo.

So im just keeping it real.
"Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu, nani angelisimama mbele yako?"
 
Mungu ni chochote kilicho chema,shetani ni chochote kilicho najisi,chenye uovu na nia mbaya.
Kama unamkasirikia usiyemuona,alafu unatafuta ufumbuzi kwa usiowajua/members,tegemea mema au mabaya.
Kuanzia sasa Fanya sensa ya wanaokusupport,wasiokusapport au walio neutral,then fanya maamuzi.
 
Tukimaliza kazi tutavaloshwa taji..... inamaana tuko kwenye mitihani inatakiwa tu shine ndipo tuingie Mbinguni ambako tutaishi milele yote, bila shida, thiki, njaa au kufa lkn ni lazima upitie uchujo wa dunian ili tuvae mwili wa mbinguni
 
Kama havina uwiano sasa dini kibao za nini? Hizo imani za uwepo wa Mungu zinaanzia wapi? Wanaojifanya wanaelewa si wamesoma?Kama uliwahi kuona muislam anasoma semonari,basi dini na imani ni tofauti
Kwa mfanko naweza nikawa mkristo naenda kanisani natoa sadaka ila siamini uwepo wa Mungu.Huko nikuwa mkristo jina.Nafata taratibu za kumwabudu Mungu(yaani dini) lakini siamini uwepo wa Mungu.
Hii ndio tofauti ya imani na dini.

Kwa mfano kwenye Biblia hili Ndilo jambo Yesu alilokuwa anapingana na mafarisayo waliokuwa watu wadini zaidi.Kumbuka Yesu aliwaponya watu siku ya sabato.Alienda kinyume na taratibu yaani dini.

Yesu alisisitiza juu ya imani.kwamba inaweza ikainua milima.aliwasema wanafunzi wake juu ya imani haba.wala hata hakuanzisha ukristo Maana udini wala madhehebu hayakuwa na mshiko kwake.

Imani inahusisha ukombozi wa kiroho wa mwanadamu.Au kuangamia kwake.
 
Well,ungekuja na number zako accurate.But my numbers are accurate or approximate according to latest science articles.
Back to the topic,Kama unaona nlichoandika Ni childish ngoja nkusaidie kufikiri. Nilichokuwa najaribu kusema Ni kile alichokiongea Plato miaka mingi iliyopita kwamba 'self motion is prior to all motions'.Na hii ndio iliyoleta argument ya the self mover yani Mungu.
Nilitaja ukubwa wa universe ili tujiulize Kama alivyojiuliza plato kwamba motion za sayari na nyota pamoja na viumbe Lazima vina source ya hiyo movement au uhai (being) na hiyo source inabidi iwe un moved.au self moved.Ndiye Mungu aliye yai.

So you do believe in science? Good.

Ulichokisema hapo sijui self motion is just plain BS and means nothing, don't put god into this. The existence of these galaxies that you mentioned definitely prove the absence of god not his presence. I'll explain to you why, take it or leave it.

The farthest galaxy we have observed to date is approximately 13.3 billion light-years (4 billion parsecs). Which I believe is an accurate number unless huamini the method used in measuring the distance, I on the other hand do because I know exactly how it works.

Sasa kama the farthest galaxy is 13.3 billion light years which is approximately the time the big bang happened, hii biblia yenu inayosema the universe is about 6,000 years old huoni inatudanganya? Kama ni 6,000K that light that travelled 13.3 billion years from that galaxy kufika kwenye telescope zetu ulitoka wapi?

Unasema I can't understand the intelligence that created me, lol! could be true, I might as well be a computer simulation running on someone or something's machine, that still doesn't prove your god's existence, kama kweli he does exist then we are doomed maana anatetea slavery infact ana-encourage slaves kuwatii slave masters, ananyima wanawake haki zao, au hujui its written mwanamke hatakiwi ku-lead?, anatetea ukatili. He even knew what would happen to this world yet still put a test to see if it will happen. Lol! what a joke. Sorry aisee there's no way you'll convince me to go back and believe that BS. Miungu zaidi ya 3000 we una uhakika wa kwako ndiye wa kweli? Zunguka dunia uone. Najua there's no way I will convince you kua unachoamini is total bs, its something you'll have to find it in yourself ku-question kama you really think ungezaliwa ufike hata 15 then uanze kufundishwa kama ungekubali, you accepted everything as a kid ukameza now you are what we call brainwashed. Its a very hard prison to break, nilikua kama wewe for 20 years, na nilikua nabishana na atheists humu JF balaa kuliko hata wewe, kutetea uwepo wa god.
 
Huu uzi umeletwa na binadam au

Huu Uzi una maswali muhimu sana ambayo yanahitaji majibu ya kisheria (kulingana na iman ya mtu).

Mungu amewapa binadamu hiyari na akili, kisha akaweka wazi kila jambo na kutuwekea mipaka kisha akatahadharisha juu ya kupindikia mipaka hiyo...Mungu huyo huyo alijua sisi binadamu ni dhaifu sana, akatuwekea utaratibu wa kumuomba msamaha pindipo tutakapotenda dhambi na akaahidi kuwa atatusamehe, lakini katika iman ya kiislam tunaamini kuwa yapo madhambi mengine hufutika yenyewe kwa kutenda mema tu...haya yote ni mapenzi ya Mungu......Katika imani ya kiislam tunaamini kuwa mtu anapokuwa na nia ya kufanya jambo jema hupata malipo ya jambo hata kama hajafanya, lakini kinyume chake anayeweka nia ya jambo ovu hapati dhambi isipokuwa hadi atakapo tenda....Pia malipo ya jambo jema huzidishwa mara nyingi zaidi ya jambo baya ambalo malipo yake hayazidishwi....mazingira kama haya na mengine yanamweka Mwanadamu kuwa na uwezekano wa kunufaika kuliko kupata hasara......

Mungu ni Mwema, Mpole,Mkarimu, Mwenye Huruma, Msamehevu...Lakini ni mkali sana kwa watenda maovu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom